Ukubali ukatae huu ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli,
1) Ukiwa umetoka kula bata na mume wa mtu,
Wewe utaenda nyumbani kwenu lakini yeye atarudi nyumbani ambapo anaishi na familia yake.
2) Kumbuka kua mkimaliza ku sex nae hutupa condom ambazo mlitumia mbali zaidi,
Ili mke wake...
Aman iwe kwenu akina mama na akina Baba wote wa jamiiforum
Huko kwa wakuitwa TIWA SAVAGE kimeumana
Baada ya mchepuko kumpiga sound naye akajaa leo ndo kaanza kulia Lia na kumkumbuka mume wake wa ndoa
---
Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amesema anajutia kuachana na mume...
Jumanne njema watafutaji wenzangu,
Baada ya kusaka nyau ya big booty kwa wiki 3 mfululizo hatimae nikaangukia kwa dodo lenye msambwanda wake basi baada ya kukusanya stress za wiki nzima jumapili ya juzi nikaamua kuliomba gemu basi halikukataa wala nini.
Of course tulisasambuana vya kutosha...
Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu
Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya?
Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised
Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
Salaam wakuu
Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa.
Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza kila kitu nineshaonja za kila aina kumbe nilikua najidanganya maskini mimi.
Nilikutana na huyu binti...
Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana.
Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa.
Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
Mara mbona uniweki status, mara meseji za uko wapi sasa hivi, mara mbona haunipigii mara kwa mara, mara mtoto wangu anaumwa, mara kodi ya nyumba inakata kesho (kwani ulikuwa unaishije kabla yangu👽).
NIKIFANYA MAPENZI NAHUYU MCHEPUKO NAPATA SANA WATEJA SIKUHIYO.
Habar Mr magical power! Mimi nimwanauume mwenye umri wamiaka 37 naishi tanga.Naomba unifikishie kwa members wako wanishauri jambo fulani linaloniumiza kichwa.Mimi nimfanyabiashara wa samaki hapa soko la samaki tanga ninamke nawatoto...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Wanaume wengi huoa Mwanamke anayempenda kwelikweli. Yàani ukiona Mwanaume amekuoa ujue huyo Mwanamke anampenda Sana.
Kwa Mwanaume unaweza kugusa kîla kitu kwèñye Maisha yake, ukamuibia Pesa, sijui ukamtapeli mashamba au Ardhi akaumia na Wakati mwingine anaweza...
Kwema Wakuu!
Najua Wanaume wengi suala la kuwa na Mwanamke mmoja NI kipengele. Hiyo siô tatizo.
Raha ya mchepuko úwe pisikali iliyonyooka, yàani Mtoto matata, kiuno thelasini, hipsi thelasini na Saba, kifua thelasini na tatu.
Mtoto laini kama nyama ya ulimi. Dadeki!
Yàani ukimtazama hivi...
Mimi ni Baba wa watoto watatu, nimeoa ndoa yenye miaka 12 sasa. Kuna sehemu niko nafanya kazi mke wangu naye ni mfanyakazi na ni ngumu kuhama basi tunahisi tofauti.
Hapa ofisini kuna dada nimeanza naye mahusiano ni mwaka 4 sasa, ni kama nimehamia kwake nilipokuwa nimepanga mimi naweza kukaa...
MWANAMKE ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUWA MCHEPUKO AU MKE WA PILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Binti yàngu, kwetu Watibeli ni mwiko Kwa Binti zetu kuolewa Mke wa Pili au Uke Wenza au Kuwa mchepuko. Huko ni kutojitambua, kujidhalilisha na dalili ya umaskini na uvivu.
Wewe sio mzuri mpaka úwe Mke...
Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee
Kila nikirudi kwenye mishe mishe...
Wakuu habari?
Mnavyojua wakuu, wanaume tumeumbwa kutamani na kupenda watoto wazuri waliopo hapa duniani.
Katika pita pita zangu, nikanasa na mlimbwende mmoja ambaye aliweza kuuteka moyo wangu, mpaka nikiwa natembea mwenyewe mapigo ya moyo yanakuwa yako juu.
Kutokana na uzuri alionao, nikaona...
Nimeachana na Baba wa mtoto wangu mwaka wa tatu sasa. Likizo hii akaomba nimpeleke mtoto kwake maana tayari kaoa. Nilipo mpeleka nikamkuta mke wake yeye alikuwa bado kurudi, basi nikamkabizi Kisha nikampigia simu kuwa mtoto tayari kafika Mimi naondoka. Akaniambia nisiondoke, niende hotel fulani...
Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko?
Mawazo yenu ni muhimu
Najua wengi mnapambana na hii roho huoo kwenu
Kuna mdada khangu yaan kalijitunza kakaolewa
Kakazaa sasa kakachika kanagawa hatare mbaya kalishachika kakarudi hme wazazi wakiwemo
Kakabadili dini kakavutwa na kakazetu wenye ruksa wa4
Majuzi amerudishwa na mamboyetu talaka
Nahisi anapoelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.