mchepuko

Mtu yeyote (mwanaume au mwanamke) anaekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanandoa!
  1. Mjanja M1

    Umepanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi wako msimu huu wa sikukuu?

    Habari zenu Wakuu, Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU. Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi...
  2. Teslarati

    Huu mchepuko siuachi hata mke wangu afanye nini

    Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady). Iko hivi, nampenda sana mke wangu na anajua hilo ila ana yeye ana chembechembe za...
  3. mlinzi mlalafofofo

    Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

    Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus. Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Mbinu za kumuaminisha shemeji yenu kuwa sina mchepuko kabisa

    Unajua kama kuna wajinga (sio tusi bali ni kutokuwa na ufahamu) wanaamini waume zao hawana kabisa mchepuko? Wapo, ndio hawa mnaowasikia kanywa sumu baada ya kujua ukweli. Nakwambia hivi wewe mdada, hakuna kitu kama hicho, Labda mume wako awe na matatizo ya kiafya. Hata kama hana hela atakula...
  5. K

    Nimechoka kulipia lodge, leo naupeleka mchepuko home ili wife akome kuninyima mbususu

    Nimechoka kulipia lodge, nataka nipeleke mchepuko nyumbani ili wife akome kuninyima mbususu. Wakuu naombeni ushauri! Nina mke lakini amekuwa mtata Sana kwenye kunipa mbususu Hali iliyopelekea nitafute mchepuko. Sasa shida ni hela ndugu zangu,yaani kila ninapotaka kwenda kuuzagabua mchepuko...
  6. W

    Jinsi mchepuko wangu alivyotaka kuniambukiza gonjwa la UKIMWI

    Sehemu ya 1 Mimi ni mfanyakazi katika taasisi mojawapo iliyopo chini ya wizara ya elimu iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha (Tengeru). Makazi yangu yapo jijini Arusha. Muda mrefu nimekuwa kwenye mgogoro mkubwa wa ndoa na mke wangu jambo lililonipelekea kutafuta mchepuko wa kuupooza moyo...
  7. King Kong III

    Botswana: Luteni wa Jeshi aua Mkewe na Mchepuko wake

    Umoufia Kwenu wana JF, Ofisa wa jeshi Mogomo Sepopa(35) kutoka Botswana ameua mkewe Bogolo Sepopa Jaone(34) na mchepuko wake Same Moapare kwa pamoja na kisha kuwashikilia mateka watu wawili. Mtuhumiwa alijisalimisha mwenyewe polisi na jana amesomewa mashtaka mawili ya mauaji yanayomkabili. He...
  8. Teslarati

    Mchepuko wangu angekua na akili ningemfungulia hii biashara

    Habarini wanajamvi. Nimegundua kuna biashara moja akitokea mwanamke au hata mwanaume akaamua kuifanya itamlipa sana. Mimi niko bize siwezi anza kukimbizana nayo ndo maana nasema mchepuko wangu(sio mke wangu) angekua na akili nzr ningemfungulua hii biashara. Biashara yenyewe ni kusambaza...
  9. sanalii

    Tofauti ya mwanamke na mwanaume katika kushughulika na mchepuko

    1. Mwanaume akifurahishwa na mchepuko, mara nyingi hakuna mabadiliko kwa mwandani wake. Inakuwa kawaida tu. 2. Mwanamke akifurahishwa na mchepuko, anazidisha furaha nyumbani na ana act unusual, too existed, extra caring and unnecessary story. Remember: few professional cheaters acts normal...
  10. Moronight walker

    FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

    Mke wa doctor amemfumania mume wake kituo cha kazi (cha afya), akiwa na mchepuko, Huku mchepuko akilala utupu kitanda cha mgonjwa kama mgojwa. Ili achepuke na doctor.
  11. Equation x

    Siku mchepuko uliponiambia ana ujauzito wangu

    Ilikuwa kama siku ya alhamisi hivi, mwaka juzi; rafiki yangu mmoja akanipigia simu, na kunijulisha ana ujumbe wangu, nikamuuliza ujumbe gani? akasema kuna dada fulani anakutafuta sana, anasema kwenye simu yako hakupati. Nikamuuliza ana tatizo gani? akajibu, ''anasema ana ujauzito wako, pia yeye...
  12. 6 Pack

    Je, nitumie njia gani ili niachane na mchepuko wa mwanajeshi bila matatizo yoyote?

    Nipeni mbinu ndugu yenu, maana kila nikijaribu kumkwepa kiaina beauty huyu inashindikana. This girl she's very beautiful na pia ana sifa muhimu zote ambazo zinamfanya aonekane bora mbele ya bora wengine. Ndio maana mjeshi yupo tayari kumpa kila anachotaka ilimradi asimkose mrembo huyo. Mimi...
  13. O

    Camilla kutoka kuwa ‘mchepuko’ hadi Malkia wa Uingereza

    Historia inaonyesha mke wa sasa wa Mfalme Charles III wa Uingereza ambaye pia ni Malkia wa nchi hiyo, Camilla Rosemary Shand alikuwa kwenye mahusiano ya siri ya kimapenzi na mfalme huyo kwa kipindi cha miaka 15 huku wote wakiwa katika ndoa zao. Historia ya mahusiano ya Mfalme Charles na Malkia...
  14. Teslarati

    Wanawake acheni ubinafsi, mwanaume kuwa na mchepuko inasaidia pande zote mbili

    Niliandika uzi fulani ndani ya huo uzi nikacomment mahala kwamba nina michepuko watatu. Baadhi ya members wameni-attack sana na wengine kuniita mkoloni, mbabe na majina mengine. Ila niwe mkweli, wanawake acheni ubinafsi. Takwimu zinasema wanawake ni wengi kuliko wanaume, tukienda mbali zaidi...
  15. USSR

    Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
  16. D

    Mziki wa kupata mchepuko?!

    Straight to the point. Bro wangu alizinguana na mke wake, home kwake akueleweki kabisa, alafu kukununua anaogopa magonjwa, akawa anatafuta mchepuko, kahustle sana, akanishtua mdogo wake . Ni mlink na University girls na watu nawajua, tukaanza mission tembelea bar na vijiwe vyote Dodoma...
  17. P

    Inawezekanaje mtu anataka kuwa mchepuko!

    Hii inawezekanaje Dada zangu? Majuzi Dada mmoja kaniomba namba. Baada ya kumpa akaanza texts. Mwishowe akauliza kama nina gf. Pamoja na kwamba sina nikasema ndio maana sikutaka mambo mengi. Naye akasema ananitaka. Nikamwabia haiwezekani maana nina mahusiano. Cha kushangaza eti aniambia eti...
  18. Okrap

    Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

    Mimi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuhangaika na mwanamke mwezio. Mwanamke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko.
  19. K

    Mchepuko umeninunia kisa nimeandika hivi kwenye status.

    Huu mchepuko bana ulikua ndio my first girl kumjua ila kutokana na sababu za hapa na pale tukajikuta hatukuweza kuoana ila tumebaki kudinyana tu kimya kimya. Sasa bana leo ilikua ni anniversary ya ndoa yangu mimi na wife,nimepost WhatsApp picha yangu na wife ya siku ya ndoa yetu na nikaandika...
  20. Mohammed wa 5

    Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

    Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa. Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi...
Back
Top Bottom