mchepuko

Mtu yeyote (mwanaume au mwanamke) anaekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanandoa!
  1. SPACE CADET

    Kwa mambo haya mnataka tuoe kweli?

    Hiki kisa nimekichukua FB asee Mimi ni mama wa watoto 2 mimi na mume wangu tulikua vizuri shida ni huyu mwanaume ambaye niko naye. Nimfanyakazi mwenzangu na ni mume wa mtu. Mwanzo mahusiano yalikua ya kawaida tu tunafurahiana lakini baadaye nikajikuta naanza kumpenda nikabeba mimba yake na...
  2. kwisha

    Nampenda mchepuko wangu kuliko mke wangu

    Pamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye anatambua nafasi yake vizuri, yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa, kama walivyo kuwa mama zetu wa zamani. Lakini kuna mwanamke nimempata nilimtongoza kwa nia ya kutaka kula...
  3. sajo

    Usidanganywe na stori za vijiweni, ijue Sheria ya Ndoa na Talaka

    NDOA NA MATOKEO YA NDOA (TALAKA, UGONI) Mambo ya ndoa sio mageni sana masikioni mwetu kwani wengine tupo ndoani na wengine marafiki zetu wapo ndoani na hata wazazi wetu wamekuwa ndoani. Kwa hiyo baadhi yetu ni matokeo ya ndoa za wazazi wetu na wengine tumepata matokeo ya ndoa zetu wenyewe...
  4. DeepPond

    Nikishatofautiana na WIFE, Michepuko naiona kama takataka

    Wakuu, Tangu wiki ilopita nmetofautiana na MKE Wangu mamaG, chanzo Ni mm mwnyw na upuuzi upuuzi wangu, kujitia ujuaji mwingi, kutokufuata ushaur wa MKE wangu mpk nmeyaharibu mambo. (Sio cheating, ni mambo tu kimaendeleo ya familia) Binafsi najua mm ndo nilimkosea, Ila Sasa ule Ubabe ubabe na...
  5. Makonde plateu

    Najiandaa kwenda Canberra Australia kwa mchepuko wangu,Tuombeane

    Bwana yesu asifiwe, Kesho natarajia kwenda Ile safari yangu niliowaambia wiki iliopita ila nitapanda ndege za emirate mpaka Ethiopia 🇪🇹 pale nitakaa kama siku moja hivi kwa sababu pale pia kuna mchepuko wangu mwingine tena nilikuwa naishi nae kipindi nafanya kazi 🇪🇹 makao makuu ya umoja wa...
  6. Makonde plateu

    Mchepuko wangu wa Australia anataka niende kukutana nae inshort kumla mbususu

    Ama kweli huyu demu ananipenda sana sijui kwanini halafu ukistaajabu mimi sijawahi kumpa chochote kile zaidi ya kumla mbususu ttu yeye ni mzungu na hapa bongo alikuja kama internship katika taasisi moja ya kimataifa hapa bongo nilimla show mara kadhaa ila alioneka ameelewa shoo yangu Baada ya...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kisa cha Marehemu Pele na mtoto wa mchepuko

    😳 Mapya yaibuka!! Licha ya Pele(82) kumkana mwanae huyo pichani wa nje ya ndoa maisha yake yote hadi alipofariki miaka 17 iliyopita, lakini kwa mujibu wa taarifa mpya kwenye mirathi aliyoiacha Pele yenye thamani ya £13 million ambazo ni zaidi shilingi bilioni 37.5 za Tanzania, amelijumuisha pia...
  8. IBRA wa PILI

    Mbinu niliyotumia kumrudisha mchepuko

    Mambo vipi wakuu, Twende kwenye mada direct, wiki chache zilizopita mchepuko wangu, nilimchana ukweli Kwamba Mimi Nina mke, isipokua toka niludi kutoka nchi jirani simuelewi kabisa ajanipokea kwa furaha (Ntaleta kisa cha wife) Na siku niliorudi uyu mchepuko alinifata stendi na kuniambia...
  9. MamaSamia2025

    Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

    Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku. Nikapokea simu ya ndugu mmoja...
  10. dracular

    Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

    Habarini za majukumu ndugu zangu. Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana na sijui la kufanya ni nini. Nina mchumba wangu ambae tunapendana sana ila kutokana na nature ya majukumu yangu hatukuweza kuonana nae kwa almost miezi 9, so katika harakati zangu za kupunguza genye nikapata demu...
  11. sanalii

    Mshauri wa ndoa nataka kufanywa mchepuko

    Binadamu wanapenda kujaji watu kwa kuangalia sifa za nje kitu ambacho mara nyingi siyo sahihi, katika neighborhood ya kazini, one of colleague aliniomba nimshauri kwa yale anayopitia, kwa moyo mkunjufu nilijitahidi kua positive juu ya ndoa yake na bila kupindisha rula, so ikawa kama counselling...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Nimeambiwa nikiri kuwa nilitafuna mchepuko ili nisamehewe

    Nilitafuna mchepuko flan sasa manzi wangu akagundua baada ya sms kuonesha nilikuwa mahala na mchepuko. Akachukua simu yangu na akaupigia na kuupiga biti baya. Ili nisamehewe nimeambiwa nikiri kosa la sivyo sipewi tena mbususu.
  13. Replica

    Mume ampeleka mchepuko wake nyumbani akidai binamu yake

    Bi Mercy Banda amepewa talaka yake na mahakama baada ya kumburuza mumewe Chipo Lukena kortini akimdai talaka kutokana na kukithiri uzinzi. Bi. Lucy katika madai yake ametolea mfano mumewe kumpeleka mchepuko wake nyumbani na kumtambulisha kama binamu yake. Mume alikiri tuhuma hizo. Baada ya...
  14. Unique Flower

    Umeoa unamke mchepuko wanini??

    Tuambiane mchepuko wanini??
  15. okiwira

    Niukatae vipi mchepuko wa zamani?

    Moja kwa moja kwenye lengo la uzi. Nipo ndoani miaka 7, miaka 3 nyuma nilikuwa na mchepuko ambao nilidumu nao miaka 3 baadaye mchepuko ukaja ukaolewa. Tukapotezana hewani mwaka mzima sasa umerudi upo kwao hautaki kurudi tena kwa mumewe. Kabla haujaolewa tuliahidiana kuja kuzaa watoto wawili...
  16. Choosen85

    Siuelewi mchepuko wa dogo

    Dogo ana mchepuko wake umenizoea sana, mpaka imefikia hatua una wivu na mimi. Yaani usiponiona siku 2 unalalamika hatari. Nilimkuta na rafiki yake mmoja nikamwambia namtaka anifanyie mpango wa namba, akakubali lakini hakuwahi nambia chochote na kama alipotezea. Juzi nulisafiri kikazi, wakati...
  17. 44mg44

    Mchepuko akikuuliza maswali yafuatayo kuhusu mmeo au mkeo unatakiwa umjibuje?

    Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole. Nisiwapotezee muda niende kwenye mada: Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto...
  18. N

    Baada ya kufuma messages za kumtumia muamala mchepuko, mke aja juu nae achukua kiasi cha pesa huku akiapa kutokirudisha. Busara ni kufanya nini hapa?

    Ndo hivyo wadau! Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya...
  19. Equation x

    Imebidi nitumie njia ya kisayansi kuupiga chini mchepuko unaonifilisi

    Huyu mrembo amekuwa akiniongezea gharama katika matumizi ya kila siku, na hii ni kutokana na kuwa anapenda vitu vya anasa anasa. Kutokana na uzuri wake, pamoja na mizinga aliyokuwa akinipiga, niliamua kupandikiza ujauzito ili siku zijazo niweze kujifariji pale tutakapoachana. Kwa sasa, ujauzito...
  20. R

    Anayedaiwa kuwa Katibu Wa UVCCM wilaya ya Chemba Dodoma acharangwa mapanga na Mchepuko wake

    KATIBU wa {UVCCM} wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma,Ramadhani Kiula amejeruhiwa vibaya kichwani kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali na Mwenyekiti wa UWT ,Fatuma Ramadhani anayedaiwa ni mchepuko baada ya kumkuta na mchepuo mwingine aitwaye, Hamida Kondo akilishwa chakula. Kama habari...
Back
Top Bottom