Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.
Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege...
Wakuu mimi nina mke na nina watoto na mke wangu. Pia nina mwanamke mwingine nilizaa naye. Mkipitia nyuzi zangu za nyuma nilishalileta kwenu hili swala, na mlinishauri vizuri tu.
Kwa kukumbushia kwa wale ambao hawakusoma uzi wangu, ni kwamba huyu sijui nimuite mchepuko, japo huwa sijisikii...
Kuna watu ukisikia wameua unaweza kudhani wana roho mbaya sana kumbe ni situation imetokea tu. Leo nilikuwa nachat na jamaa yangu, katika mazungumzo nikamuuliza hivi flani yuko wapi nina muda mrefu sijawasiliana naye kama miaka mitatu hivi. Jamaa akanijibu hata hajulikani alipo kakimbia mwezi...
"Behind every murder, there is a motive"
Wanawake wengi wa Kitanzania kama siyo wa Afrika utasikia, mimi ningetamani kuolewa na mzungu. Kwanza ni waaminifu na wana mapenzi ya kweli! Muda mwingine nawatazama nacheka kicheko cha mwenyekiti cha Hiiii! Wanaume wa kizungu wakichepuka wakata kuoa...
Nilichogundua wanaume wengi tunadanganyika saana kuliko uhalisia. Kuna watu hatuthamini wake zetu,tunathamini michepuko zaidi.
Kuna watu tunawatendea Kwa ukatili wake zetu saana na kuwalea michepuko kama mayai!
Kuna watu tunawafanya wake zetu kuona maisha hayana maana kiasi cha kuona ndoa ni...
Michepuko mna nini lakin?
Wakuu ninaandika kwa masikitiko na majonzi makubwa saana. Nimeoa takribani miezi Tisa sasa. Kama mjuavyo kwetu sisi wanaume hatuachi kuchepuka ikiwa ndo asili na hulka yetu.
Namshukuru Mungu,nimebahatika kupata mwanamke mzuri, mwenye upendo na pia Ni mcha Mungu...
Hii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke ( Mke ) huyu alivyokuwa akifoka, akipiga kelele, akitishia Kuondoka kurejea Kwao huku akimtukana huyo...
Mimi ni mwanaume wa umri wa ‘mid 30's’, nimeoa na naishi na mke wangu. Kutokana na changamoto za ndoa nimelazimika kutafuta Msaidizi wa mapenzi kwa mke wangu.
Hivyo basi nahitaji Mwanamke wa kuwa Mchepuko wangu rasmi na wa kudumu.
*Awe na miaka kuanzia 20 -40.
*Awe na uwezo wa kujitegemea...
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Derick Dambuve (26), kwa tuhuma za kuwaua Mama na mtoto wake mwenye miaka 2, baada ya mtuhumiwa kumtaka Mama huyo kimapenzi wakiwa baa na kukubaliwa, lakini baadaye alimkuta mwanamke huyo akishiriki tendo la ndoa na rafiki yake.
=======
Jeshi la...
Naongelea sehemu ya falagha tu
Mchepuko anajiandaa kwa show
Mchepuko unajua mapenzi ni uchafu haoni ajabu kunyonya diki hauoni ajabu kuipaka mate diki ya mzee ipenye vizuri, haoni ajabu kutoa denda, mchepuko anajituma kwenye kitanda utasema leo ndio mwisho wa dunia hakuna kiburi chochote...
Inakuwaje pale uko kwenye ndoa yako ya miaka kadhaa huku mkiwa na watoto, baadaye inatokea ugomvi mnaamua kuachana na mke/mme wako mliyepambana naye kwenye shida mpaka hapo ulipofikia kwenye hatua fulani ya kiuchumi, na kuamua kuishi na mwanamke/mwanaume mwingine aliyekuwa mchepuko wako huko...
Habari ndugu zangu leo naomba nifahamu kulingana na hali ya hewa hasa uhaminifu katika ndoa umepungua siku hizi.
Sasa kivi ni salama kiuchumi na kiafya kwa mwanaume kati ya kununua ngono yaani ukiwa na hamu unamtafuta mdada mkali unamlipa ambapo bei zao ni kati ya elfu 5 hadi 20 baada ya hapo...
Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza.
Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi?
pia soma:
Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe...
Habarini wakuu
Kuna mchepuko wangu anataka nimgegede bila kinga. Anasema condom ya nini sasa, yeye anataka nyama to nyama.
Nimemwambia lazima tupime zaidi ya mara moja amekubali na anadai yeye amewahi kuwa na mahusiano na mwanaume mmoja tu , tena ndiye aliyemzalisha.
Ushauri wenu wadau...
Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'
Kutokana na uzuri wa mtoto, najikuta nahudumia tu bila kuchoka ila nilichojifunza, wengine wanatelekeza uzao wao kutokana na changamoto za kutoa 'product' isiyoeleweka.
Kazi kwenu wakuu.
JESHI la Polisi wilaya ya Igunga mkoani Tabora linamshikilia Ezekiel Jonas (37), mkazi wa mtaa wa stoo Kata ya Igunga mjini, kwa tuhuma ya mauaji ya binti wa miaka 16, Ester Mahona.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa alithibitisha mauaji hayo na kusema kuwa tukio hilo ni la...
Huyu kaka mstaarabu flani umri 39. Amepata uhamisho kwenda Dodoma. Huku Dar alijiweka vizuri, mke wake ana pika mama ntilie lakini ni wale mama ntilie wa kishua ana pick up yake ya kuendea machinjioni na kwenye soko la ndizi.
Jamaa amafika Dodoma alikaa guest house wiki moja, wiki ya pili...
Nimewaza tuu, hivi ndio ukute umeenda kuchepuka na manzi kwenye hoteli kama hiyo ya themi hill alafu ndio yanatokea hayo ya mgonjwa wa corona then inafungwa. Utaambia nn mke wako au mke utaambia nn mume wako??
Tuendelee kuchukua tahadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.