Habarini za leo wana MMU, katika utafiti wangu nimegundua kuwa kuwa michepuko namba D ( mabinti waliozaliwa 1998-2002)wanachangamoto zifuatazo
1. Wana tamaa ya pesa , Kuna tofauti ya kupenda pesa na kuwa na tamaa ya pesa
2. Wana tamaa ya maisha mazuri bila kujua maisha mazuri ni process ya muda...