mchezaji bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kilimbatz

    Mchezaji Jonathan Sowah wa Medeama apewa feni kama zawadi ya mchezaji bora wa mechi(MVP)

    Wikiendi hii timu ya mpira wa miguu ya Medeama ya nchini Ghana ilimenyana na timu ya mpira wa miguu ya Bechem Mpaka dakika tisini zinakwishwa matokeo yalikuwa Bechem 1-2 Medeama Chakufurahisha katika mechi hiyo Medeama walitanguliwa na Bechem Kwa goli moja amabalo lilisawazishwa na Jonathan...
  2. Pang Fung Mi

    Fiston Tupwisa Mayele Mchezaji Bora Africa kwa Ligi za ndani ya Africa

    Hello JF, Habari ndio hio Fiston Kalala Tupwisa Mayele ndio Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023 Kwa Kwa wachezaji wa ligi za ndani ya Africa. Hongera Sana Mwamba, The goal machine that scores with precise instinct and always focused. 🙏🙏🙏 Best wishes Mwamba sina ubaya Mimi Simba SC ila...
  3. S

    Shaffih Dauda: Saido hawezi kuwa Mchezaji Bora

    Saidoo hawezi akawa mchezaji bora, magoli 17. kafunga Hat trick 2, goli tano Kwenye mechi moja Maana yake magoli zaidi ya 11 kafunga kwenye mechi 3, na kamfunga nani, Swali la 2! Fiston Mayele anadeserve kuwa MVP kwa kuwa goli analofunga mechi moja moja ndiyo Wanakuwa Mabingwa.
  4. S

    Aziz Ki Kashinda Tuzo Mchezaji Bora wa Mwezi April

    Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga ya Dares Salaam, Stephane Aziz Ki amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya NBC huku Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdallah Mohammed, akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Kikao cha Kamati ya Tuzo za TFF kilichokutana Dares Salaam...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Chama na Kanoute wanawania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF

    Wachezaji wetu wawili Chama na Kanoute wanawania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF kutoka kwenye mashindano makubwa ya Ligi ya Mabingwa Afrika Haya sasa Wana Simba twende tukapige kura tumchague mchezaji bora wa wiki kati ya Chama au Kanoute My Take 1. Tunakuomba ingia twiter kumpigia kura...
  6. J

    Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

    Mchezaji wa Simba Clatos Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa mashindano ya CAF Champions League. Hii ni baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kumpigia kura kwa kishindo kati ya wachezaji wanne waliokuwa wakiwania. Hii inanikumbusha Messi alivyokuwa akifunika UEFA kipindi...
  7. C

    Joyce Lomalisa wa Yanga anastahili kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi 2023

    Huyu jamaa alipokuja watu wengi walibeza sana. Kwa kiwango alichonacho kwa sasa anastahili kuwa mchezaji bora wa mwezi wa NBC.
  8. SAYVILLE

    Shomary Kapombe ndiyo Mchezaji Bora Simba kwa sasa

    Kama umefuatilia uchezaji wa Shomary Kapombe toka amepona majeraha yake amekuwa anacheza kwa kiwango kikubwa na kujituma kuliko mchezaji yoyote pale Simba. Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, ni kama game moja tu ndiyo kidogo alikuwa na changamoto uwanjani. Kama kuna mchezaji wa Simba...
  9. Ituzaingo Argentina

    Beckham, kuhusu mchezaji bora kuwahi kutokea

    .
  10. sinza pazuri

    Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani). Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi...
  11. I

    Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

    Timu Ronaldo walipiga kelele nyingi sana ndani ya miaka hii michache iliyopita hadi tukaona tuwaache tu, sasa leo hii pumba na mchele vimejitenga hakika sasa wote tunaongea lugha moja. Wakati Cr7 akiwa kwenye sofa na remote sitting room nyumbani kwao mwenzake huko Qatar anaibeba timu yake...
  12. February Makamba

    Nani ni mchezaji bora kwenye timu ya ureno?

    Wakuu kabla ya kuangalia nani ni best player duniani, twende nchi kwa nchi basis. Tuanze na Ureno. Kwangu mimi pale Ureno, Best player kwenye hiyo nchi ni Bruno Fernandez, wewe unadhani ni nani?
  13. Kurunzi

    KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast

    KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas. Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa...
  14. ESCORT 1

    Mchezaji wako bora wa Msimu wa NBC PL ni nani?

    Mimi nafikiri Fiston Kalala Mayele. Wewe je?
  15. N

    Nani anaweza kuwa mchezaji bora wa Simba msimu huu?

    Huu ni mwaka wa shetani kwa klabu yetu pendwa ya Simba kiasi cha kumfurusha aliekuwa kuwa kocha mkuu Professor Pablo. Wachezaji wengi wameshuka viwango je kwa msimu huu nani atakuwa mchezaji wetu bora?
  16. Greatest Of All Time

    Nani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa msimu EPL?

    Tuambie kwa mtazamo wako, mchezaji gani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa msimu? Mimi naenda na Son wa Spurs
  17. M

    Simba SC haijatoa mchezaji bora wa ligi tokea msimu uanze mpaka sasa

    Hiki ni kiashiria kingine kuwa safari hii mambo ni mazito na kuna mambo ya kiufundi hayako sawa kwenye kikosi kizima cha Simba, mpira siku zote ni takwimu na timu bora utaipima kwa takwimu uwanjani.
  18. C

    Edouard Mendy vs Mohamed Salah Mchezaji bora wa Mwaka Afrika nan anastahili?

    NAWEKA MJADALA MEZANI: Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
  19. Greatest Of All Time

    Kati ya Ronaldo na Salah nani alistahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba?

    Baada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool! Hata mchambuzi maarufu wa BBC Match of the day, Gary Lineker amekiri kuwa Salah alitakiwa ndio awe mshindi. Je wewe mchambuzi wa JF...
  20. Greatest Of All Time

    Nani anastahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora VPL?

    Ligi ya VPL imemalizika jana, taja mchezaji anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu!!
Back
Top Bottom