Kwa Propaganda Machine iliyoko Yanga SC kwa Usajili wa Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata vya Mbinguni kwake Mwenyezi Mungu kutoka nchini Hispania kulihitajika kuwe na Taarifa ya Kushtua na kufanya Counter ili kuweka Mizania na kuhamisha Fikra za Watu na Stori...
NAWEKA MJADALA MEZANI:
Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
Hizi kadi nyekundu zimewanufaisha Sana mikia na kuvuna point 3 muhimu, mechi ya Dodoma jiji, mechi ya leo na polisi, pia mechi ya fainali kombe la shirikisho kigoma dhidi ya yanga, bila hizo kadi awa mabwana wangeondoka patupu kwenye izo mechi, kadi nyekundu zimekuwa mkombozi wao kwa sasa!
Nimemfatilia huyu Duncan Nyoni, japo huwa anaingizwa dakika za mwisho lakini kila akiingia anaonekana kubadili mchezo na kuleta uhai katika ushambuliaji.
Kocha ampe nafasi zaidi..
Jana kwenye mechi ya Biashara united na Al ahal ya libya ( speling) kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani afrika, tuliona mchezaji mmoja wa Al ahal akitapika maji uwanjani.
Sababu zilizotolewa japo sio za kitaalam ni kwamba mchezaji alikunywa maji mengi, baada ya kukutana na joto kali...
Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa Chelseafc, @MichaelEssien kushuka kiwango.
Mganga huyo wakati anafanya interview na mtangazaji Arnold Mensah Elavanyo katika kipindi cha Vibes in 5, alisema kwamba alishusha kiwango cha Essien...
Baada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool!
Hata mchambuzi maarufu wa BBC Match of the day, Gary Lineker amekiri kuwa Salah alitakiwa ndio awe mshindi.
Je wewe mchambuzi wa JF...
Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha.
===
Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco
WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana.
Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh!
Wao wanataka watu na siyo magoli,hhhhhh!
Hongereni watani zangu yanga kaa ushindi wa jumapili.
Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie yaani tokea Mwezi wa Saba ( 7 ) tena mwanzoni mlijua kuwa Mwezi Septemba mtacheza CAF CL kwanini hamkujiandaa vizuri na Kimkakati zaidi?
Sasa hivi nikikutana tu na Mpuuzi anasema kuwa Kufungwa Kimoko ( cha Nguruwe ) Dar es Salaam na Kufungwa tena Kimoko ( cha...
Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga.
NB:
Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
Very stupid football player. Anaongea mbele ya wenzake akidhani sisi wote hatufahamu Kifaransa. Kuwa yeye ameamua kuchezea Yanga sababu kule Simba kuna ushindani sana wa namba.
Hivyo anaona akija Yanga kuna uhakika na watampa namba wakati wote. Yaani professional player anakimbia changamoto...
Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa.
Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
Yule mchezaji alievunjika miguu na jeshi la Polisi kumtelekeza
Akiongea na Hili Game ya Clouds FM Dada wa Mgonjwa aitwaye Rabeka Mdamu amesema kuwa Jeshi la Polisi halijasaidia chochote kwenye matibabu ya mchezaji huyo wa timu ya polis Tanzania aliyeumia akiwa kazini. Aliongeza kuwa familia...
Tangu muda mrefu pamekua na hali ya mfananisho wa nani zaidi kati ya Lionel Messi na wachezaji wengine hasa Christian Ronaldo wa real Madrid. Na clip hii imeweza kutatua mjadala wa mda mrefu na naamini itafunga mabishano yasiyo na maana.
[emoji116] [emoji116]
Update
Wachezaji wenye thamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.