Wewe endelea hivyo hivyo kumchukulia poa Maguire.
Kwa taarifa yako, kibiashara Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote pale Man U ndio maana haachwi wala hawekwi benki.
Kwanini ? Uwepo wa Maguire kikosini umeongeza maradufu mapato ya Man U kwa sababu sasa hivi mabilioni ya watu duniani...
“Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu. AmaZulu Football inajulikana sana kwetu Zambia kwa sababu watu wengi wanatazama PSL," kauli ya Rally Bwalya wakati akitambulishwa kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini.
Timu hiyo...
Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi kile.
Mnaacha kutuambia Kocha Mkuu anakuja lini, Usajili utakuwaje na kwanini Msimu huu tumetoka...
Wadau wa Sports mwanzoni mwa Juma hili tulishuhudia Yanga Sc kumuongezea mkataba mpya mchezaji wake Farid Mussa,
Kuliitishwa Press conference na msemaji wao Bw.Haji Sunday Manara, na katika press hiyo pia ilitamkwa au alitangazwa manager mpya wa mchezaji Farid Mussa, ajabu sasa ikaja ambapo...
WALE WANAOSEMA AZIZ KI NI WA KAWAIDA....SOMA HII PROFILE YKE JIBU BAKI NALO MWENYEWE
PROFILE STEPHANE AZIZ KI.
▪️Name - Stephane Ki Aziz
▪️Date of birth - March 6, 1996.
▪️Citizenship - Burkinafaso
▪️Position - Attacking midfielder
▪️Age - Twenty six years old
▪️Height - 1,75 Meter
Ki aziz...
HABARI ZA KUSIKITISHA.
Kiungo mshambuliaji wa USM Alger na timu ya taifa ya Algeria 🇩🇿 B Billel Benhamouda (24) amefariki dunia kufuatia ajali ya gari.
Benhamouda alicheza na kufunga katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya DR Congo 🇨🇩
إنا لله وإنا إليه راجعون
Allah amjaalie qauli...
Huu ni mwaka wa shetani kwa klabu yetu pendwa ya Simba kiasi cha kumfurusha aliekuwa kuwa kocha mkuu Professor Pablo. Wachezaji wengi wameshuka viwango je kwa msimu huu nani atakuwa mchezaji wetu bora?
Kumbe hili jina linaweza kutumiwa na muumini kama jina lake?
Huyu ni mwenyeji wa Morocco. Na leo kwenye fainali namuona hapa.
Muongozo tafadhali FaizaFoxy adriz Kisai
Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.
Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni...
Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini
Hili suala si la kidini...
Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili (Mtanzania) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
Uyu bwana mdogo ni hazina ya taifa hapo badae akiendelea kujitunza vizuri, Ujio wa beki wa kimataifa Djuma shaban wengi tulijua tunakwenda kumpoteza uyu bwana mdogo lakini alituonyesha kuwa tunakosea kwani alikuwa na uwezo wa kuangalia fursa nyingine upande was kushoto na kufanikiwa kuwaweka...
Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka.
Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa Wazungu) waliona fursa na kuigeuza kuwa kati ya biashara kubwa sana Ulimwenguni.
Hivyo basi kama...
Niliwaamini akina Abdi Banda wa Mtibwa Sugar FC, Kelvin Yondan wa Geita Gold FC na huyu Bwege wa juzi Andrew Vicent wangenifanyia vyema hii Kazi yangu Maalum kumbe ndiyo Kwanza wakawa Wanawachekea tu mpaka hata Kuwazawadia Magoli ya Michongo na sasa hatukai kwa Amani hapa Mjini.
Natamani mno...
Timu bora siku zote huwa na wachezaji bora wa akiba. Baadhi ya makocha huangalia utayari wa mchezaji aliyepo benchi wakati mechi inaendelea. Miongoni mwao vitu wanavyofatilia ni;
Timu yake inapopata bao anaonesha hisia gani
Timu yake inapofungwa anaonesha hisia gani
Timu yake inapokosa bao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.