mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Four-Star General

    Mtaje mchezaji ambaye hujawahi kumuona akicheza ili wakongwe wakuchambulie sifa zake

    Huu ni uzi maalum wa kutaja wachezaji wa zamani ambao hukuwahi kuwaona wakicheza. Ukishawataja subiria wakongwe waliomuona akicheza waje wakuoe sifa zake. Mimi sijawahi kumuona George Magere Masatu akicheza, naombeni mnitajie uwezo wake maana yupi hyped sana
  2. GENTAMYCINE

    TP Mazembe ya Katumbi niijuayo Mimi haiwezi kuacha Mchezaji mzuri na ikimuacha jua huyo ni 'Kapi' na hafai Kwingineko

    Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto Mkongo (Bandeko Nangai) Baraka kutoka Namungo FC halafu tukampata na Kipa wa Kigeni wa Kumtia Adabu...
  3. Achraf Hakimi

    Simba kumtambulisha mchezaji mpya leo usiku

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah 'Try Again' ametuma ujumbe kwa mashabiki wa timu hiyo kupitia mitandao ya kijamii akiandika; "Wa mwisho kufurahi, hufurahi zaidi. Mtafurahi kwelikweli," Simba itatangaza mchezaji mwingine mpya leo saa 5 usiku zikisalia saa chache kabla ya...
  4. kavulata

    TFF kusema Fei Toto ni mchezaji halali wa Yanga haitoshi, itangaze adhabu kwa wahusika

    TFF ndio baba wa mpira Tanzania, ndicho chombo kikuu cha mpira nchini, ndio wenye mpira wao. Kama TFF imethibitisha kuwa Fei Toto ni mali ya Yanga haitoshi kuishia hapo tu, bali lazima waseme ni nini kinafuata kwa wale wote (kama wapo) waliohusika na kufanya mazungunzo na mchezaji na hadi kumpa...
  5. Suley2019

    Mchezaji wa zamani wa Zambia auliwa na mbwa wake

    “Baada ya umeme kurudi, niliingia ndani kumtafuta mume wangu lakini sikumpata. Niliendelea na upekuzi kisha nikamuona akiwa amelala nje kwenye bustani. Nilipotoka nje kupeleleza kulikoni, nikagundua mume wangu alikuwa hatikisiki baada ya kuumwa na mbwa wetu watatu." Kiungo wa zamani wa timu ya...
  6. Sumu Boy

    Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

    Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona. Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa...
  7. sinza pazuri

    Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani). Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi...
  8. May Day

    Wachezaji walipwe vizuri sambamba na elimu ya kifedha

    Nimekutana na hii hoja kuwa baadhi ya Wachezaji Wastaafu wanalalamika kuwa hawakuwa wanalipwa vizuri ndio maana maisha sasa yanawawia magumu. Bila kujiingiza kwenye sakata hili la Fei Toto na wala sina tatizo na Mtu kupigania haki yake ya kulipwa vizuri na ikiwezekana alipwe vizuri kwa kadri...
  9. I

    Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

    Timu Ronaldo walipiga kelele nyingi sana ndani ya miaka hii michache iliyopita hadi tukaona tuwaache tu, sasa leo hii pumba na mchele vimejitenga hakika sasa wote tunaongea lugha moja. Wakati Cr7 akiwa kwenye sofa na remote sitting room nyumbani kwao mwenzake huko Qatar anaibeba timu yake...
  10. J

    Picha ya mchezaji wa Argentina yachafua ulimwengu mzima

    Jamaa baada ya kupewa golden globe akafanya ishara Kama Ana**MBA vile mbele ya watu bilioni 4
  11. NetMaster

    Messi anaenda kuchukua Balon d'Or ya nane, ndiye mchezaji pekee wa kumrithi Pele

    Yes, perfect timing for Messi kuchukua Kombe la Dunia, hili kombe lina uzito kuliko UEFA Champions na ndio maana ni mara moja tu kila baada ya miaka minne, hakika Messi anaenda kuizoa Ballon d'Or. Kwa hakika messi anaenda kujiweka level sawa na za kina Pele kule juu kabisa. Huku chini wapo...
  12. Pdidy

    KITU PEKEE MESSI ANAWEZA ONDOKA NACHO WCUP N MCHEZAJI BORA/MFUNGAJI BORA VINGINE ATAONA KWA MACHO

    DJ NIPE KWANZA NYIMBO YA SINA UBAYA SINA UBAYA NAE UKWELI HALISI EO TUNAISHIA TAMATI TA MASHIDANO YA WCUP NAJUA WENGI WMECHEPUKA SANA KUSINGIZIA WCUP KBW ZAIDI NDUGU YANGU MESSI KITU PEKEE ANAWEZA ONDKKA NACHO LEO N MFUNGAJI BORA HII N 75% MCHEZAJI BORA 90% UBINGWA ASAHAU KABISA NA KAMA...
  13. February Makamba

    Nani ni mchezaji bora kwenye timu ya ureno?

    Wakuu kabla ya kuangalia nani ni best player duniani, twende nchi kwa nchi basis. Tuanze na Ureno. Kwangu mimi pale Ureno, Best player kwenye hiyo nchi ni Bruno Fernandez, wewe unadhani ni nani?
  14. NetMaster

    Kuna tetesi ligi kuu yetu wapo wachezaji wa nje wanakunja mpaka milioni 10 kila mwezi. Je, kuna mzawa yeyote anealipwa hata milioni 5 ?

    Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata. Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi? Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
  15. Chizi Maarifa

    Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa

    Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa. Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na...
  16. S

    Mtangazaji kumsifia mchezaji muda wote ni sahihi?

    Mtangazi mmoja wa mechi ya leo kati ya Argentina na Australia, anaonekana kuwa ni shabiki wa Messi na Argentina kwa jumla. Muda mwingi anatumia kumsifia Messi hasa katika kipindi cha kwanza. Kweli Messi ni mchezaji maarufu ila kumsifia kupita kiasi wewe kama mtangazji ni sahihi? Mchezaji...
  17. NetMaster

    Kibongo bongo, Kwa maslahi kiuchumi yupi ana nafuu kati ya mchezaji wa timu ya kawaida ligi kuu au msanii wa levo za kawaida?

    Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike. A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya kawaida, mfano mchezaji awe anaichezea Kagera Sugar, Mtibwa, Mbeya city, Dodoma jiji, n.k. B. Msanii...
  18. M

    Ronaldo wa kombe la dunia kama mchezaji wa ureno anaonekana ni tofauti kabisa na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U: Hii imekaaje?

    Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U. Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana...
  19. LegalGentleman

    Lionel Messi ni mchezaji wa ajabu

    Baadhi ya makocha na wachezaji wa zamani wamemzungumzia Messi Kwa aina tofauti: 𝐌𝐢𝐜𝐡𝐚𝐞𝐥 𝐎𝐰𝐞𝐧: "Sifikirii mtu yeyote anaweza kucheza mchezo wa soka kama vile Messi." 𝐅𝐫𝐚𝐧𝐤 𝐑𝐢𝐛𝐞𝐫𝐲: "Messi ni darasa. Kuna yeye, halafu kuna wengine." 𝐒𝐚𝐦𝐮𝐞𝐥 𝐄𝐭𝐨’𝐨: "Lionel Messi ni Mungu, kama mtu na hata zaidi...
  20. Diversity

    SI KWELI Mchezaji Thomas Langu Sweswe alicheza mpira dakika 90 bila kugusa mpira

    Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa zamani wa Zimbabwe, beki wa kati anadaiwa kushikiria rekodi ya kucheza dakika 90 dhidi ya Keiza Chiefs bila kugusa mpira Soma (hapa).
Back
Top Bottom