Note 📝 NAHODHA wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema uwepo wachezaji wa kigeni Championship, umeisaidia kuipa thamani kubwa ligi hiyo na inakuwa rahisi kwao kuonekana na timu za Ligi Kuu.
Akijitolea mfano baada ya kufanya vizuri msimu uliopita ambapo alikuwa kinara wa mabao 16 na sasa ana 11...
Nchini Uganda 1990's katika daladala 10 za kubeba abiria basi 5 kati ya hizo zilikua na picha/jina LUNYAMILA. Moja kati ya vipaji vikubwa kuwahi kutokea katika historia ya mpira.
Kuna show aliwapiga Mamelodi Sundowns pale CCM KIRUMBA 2001 mpaka kocha anauliza huyu ni Mtanzania?
Mwaka 1997...
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena.
Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza...
Wachezaji wetu wawili Chama na Kanoute wanawania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF kutoka kwenye mashindano makubwa ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Haya sasa Wana Simba twende tukapige kura tumchague mchezaji bora wa wiki kati ya Chama au Kanoute
My Take
1. Tunakuomba ingia twiter kumpigia kura...
Huyo ndiyo triple C Mwamba wa Lusaka, akionyesha vitu kwa vitendo.
Amesemekana sana ni mchezaji wa mechi ndogo. Ilivuka mipaka mpaka wachambuzi wa soka waliamua kuweka unazi na kumkosea heshima Mwamba.
Mwamba anasomeka kama mfungaji bora wa ligi, juzi tu hapa aliidhinishwa kama mchezaji bora...
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia Katika timu za vijana ya Mamelod Sundowns na kupandishwa hadi timu ya wakubwa, Khayelihle alipotea kwa mara ya kwanza mwishoni mwa...
Mchezaji wa Simba Clatos Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa mashindano ya CAF Champions League.
Hii ni baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kumpigia kura kwa kishindo kati ya wachezaji wanne waliokuwa wakiwania.
Hii inanikumbusha Messi alivyokuwa akifunika UEFA kipindi...
Simba na Yanga walimsajili Bernard Morrison wote walikiona cha mtema kuni. Faisal anaonekana kuwa ana kipaji kama Morrison lakini hana akili timamu na hatakuwa na akili timamu hata aendako. Timu inayomshawishi Fei Toto afanye hivi anavyofanya isichekelee sana kumchukua Fei Toto, maana atawaudhi...
Jamaa ni kilaza wa kiwango cha SGR, nashindwa kufahamu anaendelea kupata namaba na kucheza pale Madrid, Kwa kumtegemea yeye Real Madrid wajiandae na miakaa kadhaa bila ya mataji.
Dribbling Poor
Pass Poor
Shoot Accurate Poor
Anapenda kujitupa tupa kama mlemavu
Anapenda kulalamika na kulilia...
Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni.
Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata...
Kama umefuatilia uchezaji wa Shomary Kapombe toka amepona majeraha yake amekuwa anacheza kwa kiwango kikubwa na kujituma kuliko mchezaji yoyote pale Simba.
Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, ni kama game moja tu ndiyo kidogo alikuwa na changamoto uwanjani.
Kama kuna mchezaji wa Simba...
Philip Jones alisajiliwa na aliyekuwa kocha wa Man Utd, Sir Alex Ferguson mwaka 2011. Kipindi hiko akiwa kinda akichezea Blackburn Rovers.
Alitajwa kama mchezaji bora katika nafasi ya ulinzi wa kati kwa siku za usoni.
Phil Jones akaanza kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara. Nafasi yake ya...
Goli Moja tulilofungwa leo limetokana na Yeye hasa kwa Uzembe wake wa Kutoruka akihofia Rasta zake na Mwanaume akapiga Header ya maana Goli.
Na aliponikera zaidi amefungisha na Kipa Manula anamsema Yeye kwa Dharau anamuonyesha Ishara ya Kufunga Mdomo.
Kitu pekee alichobarikiwa nacho ni...
KIUNGO Mbrazili wa Singida, Bruno Gomes amenifikirisha mambo mengi. Mengine ya kijinga mengine ya maana. Ameendelea kutamba katika Ligi Kuu kwa mara nyingine tena. Juzi alimtungua Aishi Manula bao maridadi la mpira wa adhabu tukaishia kumkubali tu. Tungefanya nini zaidi?
Bruno alikuwa...
Pamoja na kutumia Nguvu Kubwa sana (yenye Unafiki mwingi) ya kuonyesha kuwa Unampenda Kocha Mkuu wa Simba SC (Boss wako) Roberto Olivieira na kwamba huna tatizo nae tayari wenye Akili na Maono wameshakushtukia na hata Kocha Olivieira nae Kakushtukia na wameamua Kumleta huyo Mtunisia ili aje kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.