Habari Wakuu,
nimeona nisiwe mnafiki kuwahabarisha mapema juu ya ujio wa huyu Miquissone mwingne aliyechangamka asije mkasema ohhh wana JF nyie ni watafiti mmeshindwa kufatilia Data za huyu mtu mkatuambia mapema tusiweke tumaini hewa juu ya huyu mtu.
Hii "Colombia invasion" itakuja kumuingiza...
Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo?
Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
"Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu.
Jambo muhimu kwangu ni timu sio mchezaji mmoja, ila naelewa ndio utaratibu wa timu kwa ajili ya kufanya marketing, kuwafanya mashabiki waje uwanjani na kuuelewa zaidi mchezo...
Kiungo wa zamani wa Chelsea na Nigeria, John Obi Mikel amedai Waafrika wengi waliofanikiwa kiuchumi wanakumbana na presha kubwa kutoka kwa Familia wakitakiwa kutoa msaada wa fedha kwa lazima na wasipofanya hivyo wanaonekana wabaya na wengine wanapewa vitisho.
Anasema "Hatuzungumzi sana kuhusu...
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com
Ground: Old Trafford, (Capacity: 74,994) - Pitch 105m x 68m
Co-Chairmen (Owners): Joel na Avram...
club
english
everton
kuangalia
kuhama
man
man united
man utd
manchester united
mbappe
mchezaji
mechi
miaka
miaka 24
msimu
package
premier
premier league
psg
rasmi
thread
umri
united
utd
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana Raphael Dwamena amedondoka leo hii ghafla uwanjani na kupoteza maisha, wakati timu take ya KF Egnatia ikicheza dhidi ya Albania ikiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Partizan.
Mchezaji huyo mara baada ya kudondoka alipatiwa huduma ya kwanza uwanjani hapo na...
Hafla ya utoaji tuzo Tuzo ya Ballon d'Or, ambayo inatajwa kuwa kati ya Tuzo Bora zaidi za Soka duniani inatarajiwa kufanyika leo Oktoba 30, 2023 ambapo mastaa wa Soka wa Kiume 30 wanashindana katika kinyang'anyiro hicho. Pia, kwa upande wa Tuzo ya Wanawake idadi ni hiyo ni hiyo hiyo.
Tuzo hii...
Sina iyo kumbukumbu labda mwenye nayo atujuze, hat trick kwenye derby sio jambo la kitoto eti ni mpaka uwe Bora aswaa na uwe fiti kwa 100%.
Mchezaji aliyekamilika atapimwa kwenye mechi ngumu Kama hizi za Yanga na Azam, ama Yanga na Simba, maana ni mechi ambazo uwezi pewa nafasi na mpinzani...
Hakika ngoma aliimbwa, Airport Man of The Match Super League, Jezi no 6 mgongoni
Tarehe 20, October majira ya jioni kabisa nilikuwa nimekaa na mtaalamu wa kusoma mchezaji wa mpira (scaut) kutoka Timu moja ya London, ambaye pia ni Coach na Game analyst.
Tulikuwa tumekaa kutizama mpira katika...
Msanii wa Jamaica ambaye jina lake halisi ni Sean Paul Ryan Francis Henriques (49) anatumia Sean Paul kuwa ndio jina lake la Kisanii lakini nyuma ya pazi ni kuwa chanzo cha kutumia jina hilo ni kuvutiwa na Mchezaji wa Kriketi Shivnarine Chanderpaul raia wa Trinidad.
Sean Paul amewahi kusema...
Mchezaji huyo mkongwe amewahi kuisadia Timu ya Taifa ya England kwa kucheza Mechi 106 na kufunga Magoli 49, pia alicheza michezo 758 na kufunga Magoli 249 katika kipindi cha miaka 17 akiwa mchezaji wa Manchester United, akishinda Kombe la Europa, Mataji 3 ya Ligi na Kombe la FA
Baada ya...
Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina
β France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood
β MP in France wants to revoke his citizenship
β A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
Wikiendi hii timu ya mpira wa miguu ya Medeama ya nchini Ghana ilimenyana na timu ya mpira wa miguu ya Bechem
Mpaka dakika tisini zinakwishwa matokeo yalikuwa Bechem 1-2 Medeama
Chakufurahisha katika mechi hiyo Medeama walitanguliwa na Bechem Kwa goli moja amabalo lilisawazishwa na Jonathan...
Klabu ya OGC nice iliingia katika taharuki na kusitisha shughuli zake zote baada ya kiungo mkabaji Alexis Beka Beka kutishia kujiua kwa kujitupa kutoka katika daraja refu kwa madai ya kuachwa na mpenzi wake. Polisi pamoja na jeshi la zimamoto lilifanikiwa kumuokoa kiungo huyo na hivi sasa...
Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi.
Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa akitokea masaki kula bata kwenye pati
Aidha imebainika kwamba si kweli kwamba mchezaji huyo alitoka...
MABAO mawili aliyofunga dhidi ya Power Dynamos huko Zambia, yamemfanya Clatous Chama azidi kuinyemelea rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika inayoshikiliwa na nyota za zamani wa TP Mazembe na DR Congo, Tresor Mputu.
Kwa kufunga katika mchezo huo uliochezwa...
Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani...