Hii Yanga ipo siku itakuja ifanye watu wazima wazichape tena Live na camera za Azam tena watu wenye heshima zao kama wachezaji na kocha.
Leo kocha alinyakua chupa akataka kumtwanga nalo mchezaji aliekua anaonekana ana mshutumu kocha kua yanayotokea pale uwanjan kosa ni yeye
Hii imenikumbusha...
Tuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika.
Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,..
Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA
Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na...
Sebastian Haller, mshambuliaji wa Ivory Coast aliyefunga magoli muhimu katika mechi za mwishoni zilizoipa Ivory Coast ubingwa wa AFCON 2023 amerudi kwenye klabu yake ya Borussia Dortmund na kupokelewa kwa staili hii.
Mchezaji wa AFCON wa nchi yako amepokelewaje aliporudi klabuni kwake...
Huyu ni mchezaji ambaye amepata nafasi ya KUSAJILIWA na kocha mmoja katika nyakati tofauti kwenye klabu tatu.
Ni mchezaji wa Daraja la Juu na hata kocha aliyemsajili pia ni wa Daraja la Juu, je, Mdau umemtambua mchezaji huyo?
Phil Chisnall anabakia katika vitabu vya kumbukumbu kama mchezaji wa mwisho kuhama direct toka Man Utd kwenda Liverpool baada ya hapo haijawahi kutokea tena. Alifanya uhamisho huo mwaka 1964.
Man Utd & Liverpool ni wapinzani kweli katika mpira na uhasama wao ulifanya mechi zao ziwe zinachezwa...
WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU
Ebwanaee nilikuwa napitia stats za Joyce LOMALISA Mwaka 2016 alibeba ndoo chan 2016...
Mshambuliaji nyota wa klabu ya Asec Mimosa ya Cote D'Ivoire Sankara Karamoko, ameamua kwenda kucheza mpira wa kulipwa nchini Austria na kuachana na timu ya Young Africans ya Tanzania.
====
Mshambuliaji aliyekuwa akiwindwa na Yanga, Sankara Karamoko amekamilisha uhamisho wa kutua katika Klabu...
Katika bara ambalo linavituko na linawatu ambo hawako serious bas ni Africa ndo maana umaskini umetamalaki na uongozi mbovu in general.
Mwaka jana 2023 pacome alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya ivory coast kupitia tuzo.
Swali la kujiuliza mchezaji bora waziri humjui kabisa hiki ni...
Zaki Khellaf huyu ni mmoja wa wasakata kandanda 'mahiri' zaidi kuwahi kutokea duniani. Ni mraibu wa soka anayetokea nchi ya Algeria anayefahamika kwa jina la Chouchaa(Shusha) maarufu duniani kote.
Choucha ni mchezaji wa 'ajabu' ambaye aliweza kutambulika kwenye mitandao kutokana na mapenzi yake...
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba...
Huyu ramadhani Mbwaduke ni moja kati ya wachambuzi waliojipatia sifa katika uchambuzi hasa eneo la takwimu.
Mchambuzi huyu ni mzuri lakini ana mapungufu makubwa mno, kwanza hataki kabisa kuonekana ni shabiki wa timu Gani, japo Mimi najua. Na uchambuzi wake umejikita fair kabisa.
Kutokana na...
Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani.
Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika box to box.
Anatakiwa acheze kama matic, butt, lkn huwez mtegemea katika box to box japo amazon...
Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars.
Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba...
Here it is, kwanza
1. Kadanganya Miaka yake kwa wikipedia today changed his age 32 To 26
2. Anatafutwa as an international fugitive.
3. Out of all players, wameenda kwa mtu ana history ya ubakaji. Why?
Kama wewe unajua mpira na unafuatilia soka la Tanzania huenda utakubaliana na mimi. Ni vigumu mnoo kuwa na mchezaji mwenye sifa hizi.
1. Usikivu wakati wote.
2. Utulivu wakati wote.
3. Umakini wakati wote.
Kukosea kupo, lakini standard za uchezaji wa Chemalone zimebakia katika kiwango kile kile...
"UKISHAMJUA MNAFIKI ISHI NAE KINAFIKI"
Kama kuna Mtu niliyeyapenda hayo (haya) Maneno basi ni Mimi GENTAMYCINE kwani hata hapa JamiiForums na kwingineko kuna watu naishi nao hivyo hivyo kinafiki huku wao wakidhani wamefanikiwa walichokilenga kwangu wakati kumbe mimi ndiyo nawasanifu kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.