Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin.
Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia...
Kulikuwa na akina Okwa, Jobe, Funga Funga, Oprah na wengine ambao tuliwasifia sana ni Akpan, Sawadogo, Babacar, Chikwende, Micquissone tukasema mh safari hii mtu atakula 10 hakyamungu.
Walipoanza tu msimu kila cku zilipokuwa zinakwenda tukaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, mfano Jobe...
Klabu ya wanywa wanzuki kariakoo simba
Ipo kwenye mazumgumzo ya mwisho kunasa saini ya mchezaji raia wa zambia ndugu Debora .
Kiungo huyo machachari kabisa anayemiliki dimba la chini atakuja kuongeza nguvu za kike pindi simba itakapokutana na yanga yenye wanaume shupavu na wenye ugwadu kama...
Huyu ni beki aliyesajiliwa na club ya Yanga ambae usajili wake unaweza kutangazwa muda wowote.Jambo lililoshangaza wadau wengi hasa Sudan kusini anakotokea ni kipi kimewavutia Yanga kumsajili huku akiwa na rekodi ya kuwa na kadi nyingi nyekundu?
Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.
Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni utani tu ndugu zangu hivyo msiwe na hoja za mihemuko!
Nauliza hicho kiatu hapo chini astahili kupewa mchezaji yupi hasa?
Karibuni tujadili utani!
Naaaje wazee!
Kwa Sisi wadau wa soka la nyumbani uhondo wetu unafikia mwishoni.
Mpaka sasa Wananchiiiii wamesepa na kikombe Chao huku watani zao wakiendelea kujitafuta kupambania nafasi ya pili na dhidi ya wana lambalamba.
Tukirudi kwenye mada, msimu huu ni miongoni mwa misimu Bora kwa Young...
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
Naaaje wazee,
Ligi ya NBC inaelekea ukingoni huku Bingwa akiwa ameshafahamika tayari. Kwa sasa vita ipo sehemu nne tu:
1. Nafasi ya Pili
2. Nafasi ya nne
3. Kujinasua kucheza Playoff
4. Kujinasua kushuka daraja
Tutakuwa tunakutana kwenye nyuzi kujadili mambo mbalimbali ya msimu huu unaoisha...
Yaani unamuacha MP unachukua garasa kama Freddy Michael kweli? Faida ni ndogo kuliko Hasara binafsi sijawahi kumkubali tangu aje.
Ni wa kuachana naye haraka sana, hawezi kuwa mchezaji mzuri hata apewe miaka 100 maana nna wasiwasi kichwa chake hakipo sawa.
Lakini pia waambieni wachezaji...
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)
Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .
So katika taifa letu hili la...
Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni;
1. Mikel Arteta - Arsenal
2. Unai Emery - Aston Villa
3. Pep Guardiola - Man City
4. Andoni Iraola - Bournemouth
5. Jurgen Klopp - Liverpool
Pia kuna orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu pale EPL ambapo...
Kinavyosema kipengele namba 13 cha kanuni namba 11 ya Ligi Kuu toleo la mwaka 2023 kuhusu tuzo ya mfungaji bora kwenye NBC Premier League.
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda, unaiona ikienda kwa nani msimu huu?
Imeandaliwa na Anoth Paul, mhariri ni Amosi Masoko
1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo.
Tulichoshuhudia MUNGU anajua.
2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.