Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amewataka mashabiki na vyombo vya habari kuacha kumwekea presha mchezaji wake Jean Charles Ahoua, akisisitiza kuwa kijana huyo bado ana safari ndefu ya kujifunza.
"Niliwahi kuwaambia kuwa Jean Charles Ahoua ni Mchezaji mdogo sana kiumri, alivyokuwa anafunga...
Leo Jumatano, Desemba 11, 2024, mapema katika kuendeleza hamasa za klabu ya Simba kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia, Jumapili Desemba 15, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally, akiwa katika maeneo ya Tandika, tawi la Kapu la Magori, alitoa dongo kwa Yanga...
Offen Chikola ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu. Nilipata nafasi ya kumsikia akihojiwa mara moja, na jamaa huyu sio tu kwamba anajua mpira, bali pia ana akili nyingi za maisha ya kawaida.
Anajulikana kwa kuwa mtulivu na mwenye akili timamu, iwe uwanjani au nje ya uwanja.
Legal Profession ni moja ya taaluma tamu sana ukiielewa, Yanga imewasilisha demand letter kwa semaji letu wakidai bilioni 10 eti kwa madai alipokuwa kijiweni alimtaja Pacome anamaliza mkataba lakini Yanga ni wachawi.
Guys, msiwe mnakurupuka na kujadili mambo msiyoyajua, take trouble kuomba hata...
Mchezaji wa Fiorentina aitwae Edoardo Bove ameanguka uwanjani na kupoteza fahamu wakati wa mchezo kati ya timu yake na Inter Milan kwenye Ligi kuu ya Italia.
Tukio hilo limetokea ghafla dakika chache baada ya mchezo huo kuanza.
Kapelekwa Hospital.
Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu Huwa nikileta mada hapa jamii sports, kwa mara ya kwanza watu Huwa wanaichukulia tofauti ila baada ya mda ukweli unadhibitika!!. fuatilia mada zangu za humu jamii sports utanielewa.
Sasa twendeni sambamba kwenye mada husika kama kichwa Cha habari hapo juu...
Habari za muda huu wapendwa
Mimi kama shabikia wa azam na mpenzi wa Mpira hivi kama nchi tutakuja kupata football baller kama FEITOTO kweli?
Anyway huku comment chuki utaonekana ni mwana yanga mwehu
Huyu mtu anacheza hata MADRID ni mzuri kuliko Valverde na Arder Guler combined
Its match day!!
Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu.
Saa 10:00...
Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON.
Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata.
Nadhan tuna safari ndefu kufikia Uchambuzii wa Michezo wenye tija kwa taifa
"This is the Champions League. No matter the opponent, it's impossible to come back if one of your players is sent off. We are very disappointed. We felt we had control of the game before the red card," he began.
"I prefer to concede the goal or leave the forward with a one-on-one. He played...
Naona kama hili linataka kupita bila kujadiliwa humu na wadau wa soka, sijajua kama limejadiliwa na wachambuzi wetu katika redio zetu za FM.
Nasor Saadun alicheza mechi ya ushindani akiwa na Azam dhidi ya Yanga tarehe 2/11/2024, na game ilikuwa ngumu sana.
Tarehe 3/11/2024, Nasor Saadun...
Wakati mwingine nawaza kuwa OKW BOBAN SUNZU alikuwa sahihi kusema kiuhasibu Aziz Ki ni hasara Kwa Yanga na siyo faida.
Lakini hapa chini naweka Clip mbili kuonesha kuwa Aziz Ki hana sifa za kuitwa mchezaji Profesheno.
Kwenye hii Clip ya kwanza inaonekana Ki anaongea na kocha msaidizi wa...
Unaeweza tazama maswahibu anayopitia Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania na vilabu vya Mtibwa Sugar, Pamba, Simba na Yanga.
Hapa tunamzungumzia, Alphonce Modest, beki aliyesifika kwa kukaba kwa nguvu na akili, kupandisha timu kwa kutengeneza mashambuliaji na kupiga krosi...
Wakuu,
Tuzo za Ballon d’Or 2024 zimejumuisha vipaji bora vya soka duniani, na tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume imeenda kwa Rodri (27) wa Manchester City na timu ya taifa ya Hispania.
Ushindi huu ni wa kihistoria kwa Rodri, ambaye amekuwa na msimu wa kipekee, akichangia mafanikio makubwa kwa...
Hii haitozihusu zile penati zinazopatikana kwa beki kuunawa mpira ndani ya 18.Iwapo Mchezaji kapambana na kusababisha penati alafu hapewi fursa ya kupiga yeye basi walau ahesabiwe kama ame assist.Haina maana Mtu apambane asababishe penati tatu kwa mfano alafu zote zipigwe na mwingine,sifa zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.