Leo mchezaji Bora wa mechi Kati ya Simba na Dodoma jini ametangazwa kabla ya mpira kumalizika!! Binafsi naona kama wanaingia na jina mfukoni...utamtangazaje mchezaji kabla ya mpira kumalizika?! Vipi akishatangazwa hivyo halafu akatolewa Kwa Kadi nyekundu kwa makosa ya nidhamu....ataendelea kuwa...
Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO
HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
Jana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. Defence yupo, forward yupo.
Boka ana nguvu ana speed, hawa watu Yanga wanawatoa wapi??
Yanga mna uhakika huyu ni mchezaji sio bodaboda? 😂
Klabu ya Hapoel Petah Tikva inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Israel umeachana na kiungo Kelvin Kapumbu ikiwa ni miezi miwili tu tangu nyota huyo raia wa Zambia atue klabuni hapo mnamo Julai 30, 2024 akitokea Zesco United.
Chanzo: maulidkitenge
Na kilichowaumiza zaidi siyo Yeye kuwafunga...
Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo.
Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
Muonekano wa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Senegal Keita Balde, baada ya kuacha kujichubua na kurudi kwenye rangi yake ya asili.
Pia, soma: Naby Keita mchezaji wa mpira zamani liverpool kasimamishwa kucheza mpira kwa kiburi
Wadau hamjamboni nyote?
Mounir Nasraoui anaripotiwa kuwa katika hali mbaya baada ya kushambuliwa katika mji ulioko kaskazini mwa Barcelona.
Mounir Nasraoui, baba wa nyota kijana wa timu ya taifa ya Uhispania na Barcelona, Lamine Yamal, alidungwa kisu Jumatano usiku, kwa mujibu wa ripoti kadhaa...
Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya kujiunga na timu iyo ya ubelgiji na kurudi kwao Congo. Nawasihi viongozi wa Simba kama kweli wanataka...
Klabu ya West Ham imekamilisha usajili wa beki wa kulia, Aaron Wan-Bissaka kutoka klabu ya Manchester United kwa mkataba hadi Juni 2029.
Aaron Wan-Bissaka mwenye umri wa miaka 26 alijiunga na klabu ya Manchester United Juni mwaka 2019 akitokea klabu ya Crystal Palace.
Alicheza mechi yake ya...
Football mchezo wa muda mfupi sana. Sasa shangaa Shomari Kapombe ambaye wakati anajiunga Simba aliwahi kupewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi na bodi ya ligi.
Ni jana juzi tu lakini kwa sasa pale kambini anapewa shikamoo na wachezaji karibia 20 kasoro Mzamiru na Shabalala, wengine wote ni...
Leo kuna jambo nitalisema kwa sababu nimelitafakari muda mrefu hasa baada ya msimu uliopita kuisha.
Katika msimu wa 2022-23, msimu wa mwisho wa Che Malone Fondoh akiwa na Coton Sport ya Cameroon, timu hiyo ilishika nafasi ya mwisho katika kundi lake kwenye CAFCL, ikiongoza kwa kuruhusu magoli...
ELie Mpanzu miaka 22 kutoka congo atatambulisha hivi karibuni mitaa ya msimbazi
Elie Mpanzu alikuwa mchezaji wa As Vita club ambaye mkataba wake umetamatika msimu huu,Kwa mujibu wa manager wa Mpanzu na taratibu za Congo mkataba ukitamatiki mchezaji ni mali ya club yake ya kwanza ambayo pia...
Ninapata mashaka sana kwenye hiki kinachofanywa na KIBU DENIS, kwanini ANAJIAMINI sana na kufanya mambo ya ajabu namna hii? Mchezaji umesaini mkataba mpya ata mwezi aujaisha alafu unagoma makusudi kujiunga na Kambi ya timu yako na unajua kabisa Sheria zinazoongoza mpira duniani zilivyo unapataje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.