Eee bwana eeh, stori za mtaa ni noma sana! Basi ebwana, ulikua utotoni kwetu mtoto wa kike mrembo alikua mmoja tu, Leah yule kapisi keupe, si unajua tena sisi wanaume tulivyokuwa tunamuwania. Sasa Leah huyu alikuwa ndo kidume, yeye ndiye anachagua leo rafiki yake awe nani. Na ikifika zamu yako...