mchongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtengenezee Mwanao kesho yake. Asije kuwa chawa wa hawa chipukizi wa leo

    Mtengnezee Mwanao kesho yenye furaha, mafanikio, malengo n.k. Asitarajie kuishi kwa kuamini Serikali yake itamfanyia Jambo zuri kwa ajiri yake, Mfanye awe wa kujiamini awe wa kujitegemea, ajue furaha yake mtengenezaji ni yeye, ajuae kuna disappointments nyingi sana huletwa na uliowategemea...
  2. Huu mchongo wa Ukraine ukitiki tushtuane jamani, mjini pangumu

    Ukraine inahitaji vijana kama 450,000 hadi 500,000 toka nje ya nchi kwa ajili ya kupambana na Urusi. Sasa huu mchongo ukitiki wana wenye connection tushituane wajameni. ====== Ukraine could begin recruiting refugees living in Europe in a bid to boost its battle-stricken armed forces. Rustem...
  3. Misingi 21 Ya Biashara Itakayo fikisha Buashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako [ MBA YA MCHONGO]

    Hello! Habari za muda huu.... Wazaramo wanasema "Kidire Mwali" Kama hujui kizaramo basi fahamu maana yake ni Mwali yuko uwanjani... Leo ndo ile siku yetu maalumu ya kuanza darasa letu lile la MBA ya MCHONGO Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha Biashara yako kwa wajukuu zako...
  4. Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

    Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa. Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes) Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi...
  5. Ushamba sio dhambi skendo ya Loveness Tarimo jibu jepesi kwa sisi Tuliofika nchi za Asia hasa Thailand huyu ni Ladyboy wa mchongo

    Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu. Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza...
  6. B

    Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

    Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi: 1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita. ==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake tokea kwenye ile kambi pendwa ya wale wasiojulikana. 2. Wamejielekeza kuonesha dunia kuwa watoto wao...
  7. Kwanini Timu hajapewa mgunda? Viongozi wa simba wanajiandaa tena kupiga ela ndefu kuchukua kocha wa mchongo.

    Kumpa simba Matola na Cadema ata kwa siku 3 ni ujanja ujanja tu. Kama mgunda akipewa timu mechi ya kwanza tu atafanya wonderful na na Mo atamuelewa hivyo viongozi kukosa upigaji mwingine ws kutosha kupitia. 1. Kugawana posho na marupurupu na kocha huyo. 2. Kupiga dili kupata sehemu ya...
  8. Naomba kufahamishwa kuhusu mchongo wa viazi vitamu kuuza ramadhani

    Mfano; unalima VIAZI VITAMU sasa hivi target ni mauzo muda wa ramadhani na ndiyo mda wa kuvuna huo. Bei zinakuwaje? Gunia shiling ngapi? Nahitaji ya kulima yapoje?
  9. Matatizo ya Simba yameanzishwa na Mo na kipa wake wa mchongo. (Wa billion 3). Wachezaji hawana morali kuanzia kambini

    Wachezaji hawana morali kabisa. Hii Ni kutokana na timu kutumia fadha nyingi Sana kukamilisha sajili za kimadili dili. Wakati Caf wakitoa billion 5 za usajili Simba. Viongozi walitumia pesa hizo zote kusajili wachezaji wazuri na kuweka timu kambi uturuki. Baada ya Mo kuona kilakitu kimeenda sawa...
  10. Kumbe kuna hadi Mwanya wa mchongo? Wadada sasa wamezidi

    Nilishangaa nilipokutana na mdada ambae tunajuana miaka na miaka, leo nashangaa ana mwanya, khaa, haya kautoa wapi? Wanachonga meno au wanatanua? Lakini pia wanatafuta nini?
  11. Sold out ya mchongo imebumbuluka Simba Day

    Waliojinunulia tiketi kwa hela Yao walibaki nje ya uwanja na wenye tiketi za boss walikuwa ndani ya uwanja. Kuna swali tena hapo?
  12. Clouds FM imeshakuwa Radio ya Kubet, vipindi vyote ni "Tuma Buku, Cheza na Buku, Buku Mchongo,"

    Ni aibu kwa level ya Radio kama Clouds kuwa na matangazo yanayohamasisha watu kubet kila dakika. Ubunifu wa kupata mapato umeisha wamebaki kutegemea Buku Buku za wasikilizaji. Clouds imekua radio ya ajabu sana kwasasa. Kama hali imekuwa ngumu wauze hisa tu ili wapate mwekezaji mwingine. Mbona...
  13. M

    Wachambuzi bongo hakuna tena, wanatumia artificial intelligence kuandaa makala za mchongo

    GOLI KIPA ILI AWEZE KUWA BORA ANAHITAJI KUWA NA VITU VIFUATAVYO⚽ . 1. Uokoaji: Hii inahusu jinsi golikipa anavyoweza kuokoa michomo inayoelekezwa kwenye lango lake. Uokoaji mzuri unahitaji muda wa mwitikio, uamuzi sahihi, na ufundi katika kukabiliana na mipira inayoingia. 2. Mawasiliano...
  14. Msimu mpya wa ligi za mchongo! Tunaache kuwa kichwa cha mwendawazimu kitaifa?!

    Ligi ya diwani! Ligi ya mbunge! Uzinduzi unaendelea.... Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira mbadala nchini. Wanazindua ligi za kusakia "kura"?! Hii ndo bongo, kila kitu mchongo, kwa mipango...
  15. Wanaume Tusijiaibishe: Eti kuna mchongo unausikilizia hebu toa Pesa

    Hivi unajisikiaje kumtumia mtoto wa watu siku nzima halafu unashindwa hata kumpa hela kidogo hata laki 2 tu ya nauli inakushinda? Akikuomba masikini unamjibu eti kuna mchongo unasikilizia. Hii inatuaibisha jamani. Kwanza inakuwaje mpaka inafikia unaombwa pesa? Hujui kuwa wewe ni mwanaume na...
  16. Mchongo wa Urubani: Je unatapenda kuwa rubani? Vijue vigezo unavyotakiwa kuwa navyo

    JE, NI VIPI VIGEZO VYA KUSOMEA URUBANI? Unataka kuwa rubani? Je, umekosa ndoto nyengine ambayo haitafirisi mzazi, mlezi au mdhamini? Usijali, huu ni utani wenye ukweli ndani yake. Kabla ya kupata dokezo la huko tuendapo, Kwanza tuanze na matumizi matatu ya msingi ya Usafiri wa Anga...
  17. I

    Naombeni Mchongo

    Habari za Asubuhi watu wa MUNGU Naomba kwa aliye kwenye Mchongo wa kazi ambao ni rahisi kuingiza Kibarua mwengine, Tafadhali naomba anivute huko. Niko kwenye kipindi kigumu ever. NB: KAZI yoyote halali Niko tayari kuifanya. Makazi yangu ni DSM
  18. J

    Natafuta mchongo wa Medical Doctor (MD)

    Nipo full registered medical board na nina Active License. Nipo Dar kwa sasa ila popote nakuja, part time or full time.
  19. Tuzo za mchongo (TMA)

    Yapi maoni yako kuhusu hizi Tuzo Tanzania Music Awards. Maana kinachoendelea ni kuonesha kuwa baraza la sanaa haliko makini kabisa. NAIBU WAZIRI 'HAMIS MWINJUMA' Mwana FA sijui saumu kali au veep maana naona Baraza ni genge la wahuni tu. Madudu tu naona... ... Tukianza na Kategori ya...
  20. Ile tume ya sayansi na teknolojia ni ya mchongo

    Hivi ile tume ya sayansi na teknolojia ina kazi gani ? Mimi siielewi maana unaweza ukapeleka proporsal ya kuomba kupewa support ya development ya project yako ,wakaipitia wakakwambia ni nzuri ,but we have no money!! Na utakuta project yenyewe hai gahrimu hata 20M kwa ajili ya development kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…