Hello, mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27 niko Dodoma, nahitaji mchumba/girlfriend mwenye age 18 - 25 ambaye yupo serious na ana real love coz nitampenda na kumpa nafasi anayostahili. Anicheki kwa 0782 855 136.
Mimi ni kijana wa kiume, 29yrs mkazi wa DSM. Natafuta rafiki wa kike/mchumba umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja.
Aliye tayari anicheki inbox. Itapendeza kama atakuwa Dar au mkoa jirani. Awe anajiweza kidogo kiuchumi (awe na...
Hello everyone,
Natafute mtu wa kufunga nae pingu za maisha.
sifa zangu, umri miaka 24, kabila mnyambo, dini mkristo, rangi yangu chocolate naishi Dsm Tabata, elimu yangu ni chuo, kwa sasa nimejiajiri.
sifa za mme, asivute sigara, awe na hofu ya mungu, sichagui kabila, asiwe na mtoto, asiwe...
Natafuta mchumba wa kike ambaye aliye ni muelewa awe maeneo ya Pwani hususani Dar es Salaam au Bagamoyo
Mwenye upendo wa kweli umri wake uanzie miaka 21 na kuendelea dini awe mkristo itapendeza zaidi awe tayari kuja tuishi wote Bagamoyo.
Kwa maelezo zaidi aje PM
Mchumba wa mwandishi wa Saudia Jamal Khashoggi aliyeuawa nchini Uturuki amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya mwanamfalme wa Saudia, akimtuhumu kwa kuagiza mauaji hayo.
Inaelezwa kuwa Kashogi aliachana na Kundi la wasomi wa Saud Arabia tangu mwaka 2017 na baadae kuhamia Washington ambao...
Nimekaa nae karibu mwaka mmoja sasa, tulikua fresh tu, mambo yote ya kidunia hadi pombe sometimes wote tulikua tunakunywa tukiwa pamoja hasa hizi softies.
Ana mapenzi ya kweli na ni mzuri kweli kweli, ni mwanamke flani hivi mgumu kuingia kwenye mahusiano na mtu hata mie nili hustle sanaa...
Habari, nina stori moja leo ambayo inaniumiza kichwa kabisa kuhusu mama wa mchumba wangu simuelewi hata kidgo ana nia gani na mimi.Juzi flani hivi nilikwenda kumsalimia alikuwa anaumwa nikafika kwake kwenda kumjulia hali ila kwa mda huo nilioenda mpenz wangu hakuwepo ambae ni binti yake alikuwa...
Habarini za usiku wanaJf,
Mchumba wangu alienda Mpanda kipindi cha Corona. Huko mambo yakabadilika ikathibitika pasiposhaka kuwa amenisaliti.
Aliporudi akaenda kwa jamaa mwingine ambapo tena akanisaliti. Nilipokuja kumbana na ushahidi wa picha za majamaa wakiwa naye live bed. Amelia kilio...
Habari za usiku JF.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na binti miaka mitatu sasa. Tumeamua kwa dhati tuoane, wazazi wake hawataki. Wamefikia kunitishia maisha. Ukweli ni kuwa nampenda sana, nae ananipenda Sana.
Tumeamua kuishi kwa pamoja bila kujali. Maana kisheria tuko salama maana siyo...
Wakuu natumaini mko poa mimi ni kijana nina umri miaka 25 natafuta mwanamke aliye serius awe mchumba na baadaye mungu akijalia ndoa
Mimi nimejiajiri, mrefu wastani, mweusi na ninajitegemea naishi Dar es Salaam, elimu yangu ni Diploma kabila langu mchaga.
Naitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo...
Haijalishi una marafiki wangapi na ni mabest kivipi, ila tu jiandae kisaikolojia kuwa pale unapopata mchumba...na mchumba yule akawa mzuri basi maadui huongezeka sana.
Binafsi ilinitokea kama miaka 2 hadi 3 iliyopita, na nikawa nachati na maadui zangu bila wao kugundua kuwa wanachati na nani...
Kila anayechumbia anakuwa na malengo na mipango yake na sifa alizojiwekea kuwa lazima nioe au nioelewe na mtu mwenye sifa kadhaa!!
Je unaweza kumuacha mtu wako kisa maneno ya wanaosema hata kama amekidhi vigezo vyako?
Mfano wakwambie
Ni mwizi
Ni malaya
Ana mtoto usioe mwenye mtoto
Kwao...
Mimi ni kijana wa kitanzania,nina umri wa miaka 26, ninaishi Mbeya kwa sasa na ni mkristo kwa dini, elimu yangu ni ya chuo(degree), sina kazi bado naangaika na maisha najishughulisha na shughuli zangu binafsi huku nikiangalia ni wapi pa kutokea, nahitaji msichana kati ya miaka 20 - 24, tutaanza...
Habari za asubuhi wakuu, kuna dada nipo naye kwenye group moja la whatsapp la mambo ya dini nimekuwa nikichart nae sana mpaka usiku wa manane nilimuomba awe rafiki yangu akakubali bt lengo langu nilitaka nimsogeze karibu kisha nimtokee kweli tumezoeana sana full kumsifia sifia status zake zote...
Teknolojia imekua, na mambo mengi yanafanyika kutokana na ukuaji huo wa teknolojia ili kurahisisha mambo. Kwa upande wa uhusiano, unaweza kutafuta mchumba popote pale duniani na mkaonana kwa kutumia vifaa vya mawasiliano.
Kumekuwa na wimbi la kutafuta wachumba kimtandao, na wakati mwingine...
Naitwa Iman
Umri miaka 26
Nimejiajiri nb. Mkurugenzi wa Kampuni
Makazi: SHINYANGA
SIFA ZA MSICHANA HUYO
- Awe mkristu
-black beauty
- awe mtiifu
- awe mkweli
-urefu wa kati
-umbo la kati
- watsapp ni 0682375285 piga na tuma text
Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!
Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na...
Natafuta rafiki wa kike ambae huenda baadae akawa mke wangu.
Sifa zangu ni:
1. Mtaratibu
2. Mkarimu
3.Mrefu wastani
4.Mwenye ya mungu
5.Mwenye heshima na upendo
6.Umri wangu miaka 23
Awe na sifa angalau kati ya hizi
1.Awe na hofu ya Mungu
2.Mwenye kuvalia kawaida
3.Mkarimu
4.Mwenye...
Habari wana jf, mimi ni kijana wa miaka 32. Nipo kwenye mahusiono ya miaka 5 na binti wa watu mmoja. Nimekuja hapa jf kuomba ushauri kwa wakubwa zangu wenye uzoefu wa hili jambo maana linanitatiza.
Kipindi tuna miaka 3 kwenye mahusiano, mpenzi wangu alipata mimba ila bila kunipa taarifa aliitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.