Yule mwanamke bana pamoja na kwamba mchumba ake anapita kwenye tanuru la moto, lakini ameamua kusimama upande wa Sabaya.
Kuna haya mashankupe ya mjini sasa,jitu uko nalo kwenye mahusiano, likasikia umetiwa ndani hata kwa kesi ya uzururaji tu, nalo ndio linakukimbia mazima hata kukuletea sabuni...