Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
Lamor Whitehead, mchungaji maarufu wa Brooklyn nchini Marekani anayejulikana kama "Bling Bishop," amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela baada ya kupatikana na hatia ya kutumia akiba ya kustaafu ya mshirika wake na kujaribu kumlaghai mfanyabiashara mmoja.
Whitehead alipatikana na hatia mwezi...
Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.
Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu...
Ujumbe wake huu hapa
---
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema hana mpango wa kukihama Chama cha CHADEMA baada ya kutoshinda uchaguzi wa Kanda ya Nyasa.
Msigwa...
DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa Wagombea
Msigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari na kusema "Napendekeza katika ngazi...
Salaam, Shalom!!
Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho.
Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa,
Jambo lililonishtua zaidi ni tukio la kujinyonga Askofu Dodoma, tena ndani ya nyumba ya Ibada,kama...
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa kwa Watumishi wa Mungu sio tatizo. Binafsi niwaambie UTUMISHI WA MUNGU ni mgumu na unahitaji...
Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha
Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha
MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
YEHOVA kama Mungu wa wayahudi hatambui cheo cha mwanamke kuwa mchungaji, Nabii, au Mtume.
Unapozungumzia...
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.