mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Kiongozi wako wa dini hatakiwi kuunganisha ukaribu wako na MUNGU, hilo ni jukumu lako

    Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
  2. sky soldier

    Kwangu ni kituko kuona mtu anamwamini mchungaji anaejinadi kufufua watu, wao kwanini walishindwa kufufua watu wao wa karibu?

    Kinachotokeaga ni kwamba mchungaji anaejinadi anaweza kufufua mtu huwa ni filamu inachezwa mbele ya watu weye imani kubwa kuzidi akili, kila kitu kimepangiliwa na wahusika wanapewa script. Wenye imani na hisia kubwa kuzidi akili hasa wanawake ndio huwa wanachotwa akili hapa na ndio maana...
  3. Lior

    Mama na Baba Mchungaji Walinitega

    Ni mwaka mpya, amani kwenu Zingatia: Kuna jamaa yangu ameniomba ushauri, na mimi natumia nafasi hii kuwaomba ushauri/ mawazo kwa niaba yake. Story yake iko hivi.... Binafsi kuna changamoto nimekutana nayo ya kuzama kwenye penzi zito sana na mke wa mtu, ila mazingira ya kumpata yalikuwa...
  4. K

    Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

    Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia gesti akiwa na ji binti la miaka 32 watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana... haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Mkataba wa Taikon na Mchungaji Jonathan Kanjunju kuhusu ushirika wangu katika kanisa lake

    MKATABA WA TAIKON NA MCHUNGAJI JONATHAN KANJUNJU KUHUSU USHIRIKA WANGU KATIKA KANISA LAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya kukutana na Mchungaji Jonathan Kanjunju wa Kanisa la Cherubim of paradise "The Church of the Cherubim of Paradise" lililoko jijini Dar es salaam. Huu ni mwaka...
  6. J

    Mchungaji Paul Mackenzie akutwa na hatia, afungwa Mwaka mmoja Jela

    Ni mchungaji Paul Mackenzie wa nchini Kenya ambaye pia shambani Kwake walikutwa wamezikwa Waumini wake zaidi ya 400 Kinyume cha sheria --- Kenya court jails cult leader Mackenzie for one and half years Controversial Kenyan preacher Paul Mackenzie has been jailed for a year and a half for...
  7. JORDAN GADI TWARINDWA

    Sifa na kazi za Mchungaji wa kanisa, huduma au taasisi ya dini

    Zab 23:1-7, Mithali 3:1-4, Zab 1:1-3, 1Kor 2;6-15, Kut 3:1-9 ========================= Mchungaji aliyeokoka anayeongoza kundi au waumini, ni lazima awe na sifa zifuatazo: i. Awe mfano kwa tabia na mwenendo. ii. Asitamani mali za anasa zitakazo mtoa nje ya kusudi alilopewa. iii. Aepuke fedha...
  8. GoldDhahabu

    Ushauri kwa Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile na Kikosi Kazi cha Injili

    Ninajua kuwa upo gerezani kwa sasa, lakini naamini hutaliruhusu gereza kuingia moyoni mwako. Ni kwa sababu hiyo basi, nimechukua hatua hii nikiamini kuwa hata kama hutakuwa na simu gerezani, wapendwa wako wataweza kukufukishia huu ujumbe kwa wakati sahihi. Awali ya yote, ninakupa pole kwa...
  9. Mohamed Said

    KAMARA KUSUPA NA FALSAFA YA DINI Kuna maneno ukiyasoma sharti uingie hofu. Dini za Kigeni. Dini za Asili. Kutoka kwa Mchungaji. Uh

    KAMARA KUSUPA NA DINI ZA KIGENI NA DINI ZA ASILI Kuna maneno ukiyasoma sharti uingie hofu. Dini za Kigeni. Dini za Asili. Kutoka kwa Mchungaji. Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa chini ya msaada mkubwa wa Waislam. Kitabu changu, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold...
  10. R

    Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali. ================== ================== Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39)...
  11. DR Mambo Jambo

    Waumini wacharazwa fimbo za upako na Mchungaji kanisani ili kupokea Roho Mtakatifu!

    Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako. Hata hivyo hivi...
  12. ChoiceVariable

    Mahakama yastukia utapeli wa Mchungaji, yaamuru arudishe milioni 15 alizotaka kumtapeli muumini wake kwa kusingizia zaka

    My Take Wachungaji wa Makanisa ya Voda fasta tafuteni kazi za kufanya badala ya kutapeli Waumini Kwa visingizio vya Zaka za bwana. ==== Mgogoro wa ama ni mkopo au sadaka ya fungu la kumi (zaka) baina ya Mchungaji John Mtuka wa Kimara na muumini wake, Neema Wawa umehitimishwa na Mahakama Kuu...
  13. Roving Journalist

    Wawili akiwemo mchungaji washikiliwa na polisi kwa kulaghai mchawi kadondoka na ungo kanisani kwenye mkesha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashilika watu wawili akiwemo Emanuel Paul Karata (35) mchungaji wa kanisa la PENTEKOSTE GOSPEL MISSION lililopo Kibaha kwa ulaghai wa kutaka kupata waumini kwa kusingizia mchawi amedondoka kwenye maombi ya mkesha wake na waumini. Wamewashikilia kwa mahojiano...
  14. R

    Askofu Gwajima anatofautishaje mapato ya sadaka na matumizi ya kufanya siasa?

    Nimeona Gwajima amekusanya vijana wa kumlinda na kushiriki naye kuzunguka jimbo la Kawe. Naamini hawa vijana wamepangisha nyumba, wanakula na pia wanayo matumizi mengine mengi. Kwa mantiki hiyo hawa vijana wanalipwa na mlipaji maana yake ni Pastor Gwajima. Lakini Gwajima chanzo chake cha...
  15. Chachu Ombara

    Mchungaji ahukumiwa miaka 70 kwa kubaka watoto

    Mahakama ya Nairobi imemhukumu mchungaji, James Njuguna kifungo cha miaka 70 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo wawili wenye umri wa miaka 11 na 14 katika nyakati tofauti kati ya Desemba 24, 2014 na Januari 7, 2015. Mahakama imebaini kuwa mchungaji huyo alitenda makosa...
  16. F

    Video: Mchungaji Anthony Lusekelo awaonya wakristo madhehebu mengine wasiende kwenye makanisa ya maombezi watatapeliwa!

    Ujumbe huu umenishtua kidogo lakini naamini ni ujumbe wa dhati, unabeba ukweli mkubwa sana kuhusu makanisa yanayoibuka hovyo kila siku. Mchungaji Lusekelo anasema ni afadhali wakristo wa madhehebu ya zamani wabaki kwenye makanisa yao kuliko kukimbilia miujiza kwenye makanisa ya maombezi kwani...
  17. L

    Nahitaji mchungaji mwenye upako/ miujiza ya kutosha mahali nitaona matokeo

    Nahitaji mtu mwenye sifa tajwa,Kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa changamoto zangu. Ni vizuri asiwe mwamposa Wala kuhani musa Wala manabii uchwara. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  18. GoPPiii.

    Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

    Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa. Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji. Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi. Nadhani ile...
  19. Suzy Elias

    Hivi karibuni nitakuja na kisa cha kusisimua kuhusu JPM, Kasesera na Mchungaji Msigwa

    Ulishawahi kujiuliza, kwa nini JPM alibaki na Kasesera ambaye ni mwandani lia lia wa Benard Membe?! Utaamini kwamba pamoja na mbwembwe zote Mchungaji Msigwa alikuwa mlisha habari wa JPM kutoka upande ule?! Kwa nini JPM alimrejesha RAS yule kuwa DG....?! Simulizi hiyo ifuatayo itakufanya...
  20. M

    Mchungaji kanisa la Wasabato Kahama afukuzwa

    Palikuwa na habari humu kumhusu mchungaji wa kanisa la wasabato na ofisa wa Takukuru kahama: https://www.jamiiforums.com/threads/mchungaji-wa-kanisa-la-wasabato-kahama-na-familia-yake-wasoteshwa-rumande-kwa-kesi-ya-dawa-za-kulevya.2071776/ Habari mpya ni kwamba lengo la mtakukuru hatimaye...
Back
Top Bottom