Controversial pastor Paul Mackenzie was on Tuesday freed by the Malindi court and then rearrested to face fresh charges in Shanzu High Court.
Principal Magistrate Ivy Wasike released Mackenzie and his six co-accused even as the prosecution sought 90 more days to complete investigations
The...
Tulitegemea viongozi wa Dini wakemee mauaji huko Kenya, lakini wamekaa kimya means wanaona ni sawa alichofanya mwenzao? Soon wachungaji wa Tanzania nao wataleta crisis kama ya Kenya kutokana na kukosekana Kwa udhibiti wa mahubiri.
Hiki alichofanya mchungaji Kenya, alikifanya kibwetere Uganda...
Zaidi ya watu 100 wamehamishwa kutoka kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero, la New Life Prayer Centre and Church, baada ya Mchungaji huyo anayedaiwa kuwa Mshirika wa Paul Mackenzie Nthenge kukamatwa mapema Aprili 27, 2023.
Paul Mackezie anatuhumiwa kwa mauaji ya Waumini wake baada ya Miili 98...
Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha Waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu.
Huyu ni Paul McKenzie Nthenge wakati kanisa lake la Good News International huko Malindi lilipoimarika miaka michache iliyopita. Hakuwa mtu aliyechanganyikiwa, kama...
Utaahira aliowafanyia waumini wake huyu mchungaji wa huko Kilifi Kenya ukishawahi kufanywa Uganda na mtu anaeitwa Kibwetere.
Financial gains are at the heart of these ludacris acts! Kibwetere aliwaambia waumini wake wakiandae kwenda mbinguni siku flani ya tarehe fulani, hivyo wauze kila kitu...
Polisi katika Kaunti ya #Kilifi wamemkamata Paul Makenzie Nthenge wa Kanisa la Good News International baada ya vifo vya Waumini 4 na kuwaokoa wengine 11 wakiwa mahututi msituni ambapo walidaiwa kudanganywa na kufunga hadi kufa na Mchungaji huyo.
Nthenge alianza kufuatiliwa mwishoni mwa Mwezi...
Wasalaam JF,
Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu.
Yawezekana KKKT imemfanya Mch...
Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya...
Taribo West mchezaji wa zamani wa Nigeria kwa sasa ameokoka na ni mchungaji kanisani kwake. Kanisa lake ni la miujiza na limeanza kuwa na waumini wengi siku baada ya siku.
Taribo alijipatia umaarufu akiwa anacheza soka, huku akiwa na style yake ya kusuka nywele na kuzipaka rangi ya kijani.
“Ameenda mbinguni kwa andiko lipi? Tunarudi kwenye Biblia, inasema juu ya habari ya kwenda mbinguni, aliyeenda mbinguni kwa mara ya mwisho ni Yesu nae alibadilishwa sio kwa mwili huu wa chipsi na soseji. Hiyo ni changamoto ya afya ya akili."- Mchungaji Richard Hananja
Leo ikiwa ndiyo hitimisho la likizo ya siku 60 alizopewa Mchungaji Kimaro akiwa pia amepewa msamaha na Kiongozi wake mkuu Dr Malasusa
Mchungaji Kimaro amerejea tena Kanisani Kijitonyama ambapo waumini wake wamemlaki kwa nderemo na vifijo
Pia, soma:
- Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT...
Mimi kama Kristo niliolelewa nikijua Biblia ni kitabu kitakatifu, nimesikitishwa sana na huyu mchungaji Masisi kwa makufuru yake kuhusu Biblia.
Masisi hana tofauti na wakristo wengi ambao tumekuzwa tukielewa Biblia ni neo la kweli la Mungu, ila kiburi anachokionyesha sijui kwa usomi wa...
BINTI aitwaye Consolata Pius (16) anadaiwa kufariki dunia, wakati akiwa nyumbani kwa mchungaji akifanyiwa maombi.
Akizungumzia tukio hilo baba mzazi wa mtoto huyo, Charles Pius amedai mtoto wake amekua akisumbuliwa na maradhi ambayo hata baada ya kumpeleka hospitali hayakuweza kutambulika...
Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi?
Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande.
Kadhia hii imemkuta mchunga...
Gari, tunatoka mbezi Gari inasukumwa mpaka round about ili iwake, Gari tumefika karibu na kwa Komba imepasuka Tairi. Konda hataki kurudisha nauli Ajali ikitokea tutamtafuta mchawi nani?
Kemea ajali
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote
Askofu Malasusa amemtangazia msamaha
Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo
Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi
Chanzo...
Polisi nchini Nigeria wanamshikiria mchungaji wa kanisa la 'House on the rock' kwa kupanda madhabahuni na bunduki aina ya Ak-47.
Mchungaji huyo anayetambulika kwa jina la Uche Aigbe alitenda kosa hilo mnamo tarehe 13 februari 2023 katika misa ya pili ya kanisa hilo.
Polisi jijini Lagos...
Nimekutana na hii video mtandaoni,
Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma.
Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
Jumatano njema!
Kuna ubaya kusema kila mtu anakula anakopeleka mboga? Wapo WaRC na Walokole wengi hukimbilia kwa waganga wa kienyeji na miilini wana chale za kutosha.
Wana hoja, miaka ya leo utapeli umekuwa mwingi. Mchungaji anafukuza muumini kwa uzinifu wakati mwenyewe anazini.
Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.