mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ‘Mchungaji’ Paul Mackenzie aachiwa na Mahakama, akamatwa tena. Kushtakiwa upya juu ya Ugaidi

    Controversial pastor Paul Mackenzie was on Tuesday freed by the Malindi court and then rearrested to face fresh charges in Shanzu High Court. Principal Magistrate Ivy Wasike released Mackenzie and his six co-accused even as the prosecution sought 90 more days to complete investigations The...
  2. R

    Kwanini viongozi wa Dini Tanzania hawajakemea mauaji yaliyosababishwa na Mchungaji Kenya? Wanaogopa nini kukemea Imani potofu?

    Tulitegemea viongozi wa Dini wakemee mauaji huko Kenya, lakini wamekaa kimya means wanaona ni sawa alichofanya mwenzao? Soon wachungaji wa Tanzania nao wataleta crisis kama ya Kenya kutokana na kukosekana Kwa udhibiti wa mahubiri. Hiki alichofanya mchungaji Kenya, alikifanya kibwetere Uganda...
  3. Kenya: Kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero lafungwa, zaidi ya watu 100 waondolewa

    Zaidi ya watu 100 wamehamishwa kutoka kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero, la New Life Prayer Centre and Church, baada ya Mchungaji huyo anayedaiwa kuwa Mshirika wa Paul Mackenzie Nthenge kukamatwa mapema Aprili 27, 2023. Paul Mackezie anatuhumiwa kwa mauaji ya Waumini wake baada ya Miili 98...
  4. Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu. Huyu ni Paul McKenzie Nthenge

    Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha Waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu. Huyu ni Paul McKenzie Nthenge wakati kanisa lake la Good News International huko Malindi lilipoimarika miaka michache iliyopita. Hakuwa mtu aliyechanganyikiwa, kama...
  5. My Theory juu ya waumini kufungishwa saumu hadi kufa na mchungaji huko Kenya, its financially Motivated

    Utaahira aliowafanyia waumini wake huyu mchungaji wa huko Kilifi Kenya ukishawahi kufanywa Uganda na mtu anaeitwa Kibwetere. Financial gains are at the heart of these ludacris acts! Kibwetere aliwaambia waumini wake wakiandae kwenda mbinguni siku flani ya tarehe fulani, hivyo wauze kila kitu...
  6. Kenya: Mchungaji akamatwa baada ya Waumini Wanne kufa njaa katika Mfungo

    Polisi katika Kaunti ya #Kilifi wamemkamata Paul Makenzie Nthenge wa Kanisa la Good News International baada ya vifo vya Waumini 4 na kuwaokoa wengine 11 wakiwa mahututi msituni ambapo walidaiwa kudanganywa na kufunga hadi kufa na Mchungaji huyo. Nthenge alianza kufuatiliwa mwishoni mwa Mwezi...
  7. Mchungaji Kimaro amelewa urafiki wake na matajiri

    Wasalaam JF, Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu. Yawezekana KKKT imemfanya Mch...
  8. Kwanini Muumini akiomba gari Kanisani anaombewa ila Mchungaji akiomba gari anachangiwa?

    Kama utoi sadaka hauzikwi? Kweli nyumba za ibada ni kuzikana, Imani yako ndio itakayokuponya!
  9. Nimefumaniwa Na Mchungaji Usiku Huu

    Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya...
  10. Unamkumbuka Taribo West wa Nigeria, siku hizi ameokoka na ni mchungaji

    Taribo West mchezaji wa zamani wa Nigeria kwa sasa ameokoka na ni mchungaji kanisani kwake. Kanisa lake ni la miujiza na limeanza kuwa na waumini wengi siku baada ya siku. Taribo alijipatia umaarufu akiwa anacheza soka, huku akiwa na style yake ya kusuka nywele na kuzipaka rangi ya kijani.
  11. Mchungaji Zumaridi ameenda mbinguni kwa andiko gani?

    “Ameenda mbinguni kwa andiko lipi? Tunarudi kwenye Biblia, inasema juu ya habari ya kwenda mbinguni, aliyeenda mbinguni kwa mara ya mwisho ni Yesu nae alibadilishwa sio kwa mwili huu wa chipsi na soseji. Hiyo ni changamoto ya afya ya akili."- Mchungaji Richard Hananja
  12. Mchungaji Eliona Kimaro arejea KKKT Kijitonyama

    Leo ikiwa ndiyo hitimisho la likizo ya siku 60 alizopewa Mchungaji Kimaro akiwa pia amepewa msamaha na Kiongozi wake mkuu Dr Malasusa Mchungaji Kimaro amerejea tena Kanisani Kijitonyama ambapo waumini wake wamemlaki kwa nderemo na vifijo Pia, soma: - Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT...
  13. Naomba wakristo tuungane kumpinga mchungaji Masisi

    Mimi kama Kristo niliolelewa nikijua Biblia ni kitabu kitakatifu, nimesikitishwa sana na huyu mchungaji Masisi kwa makufuru yake kuhusu Biblia. Masisi hana tofauti na wakristo wengi ambao tumekuzwa tukielewa Biblia ni neo la kweli la Mungu, ila kiburi anachokionyesha sijui kwa usomi wa...
  14. Binti wa miaka 16 afia kwa Mchungaji akiombewa

    BINTI aitwaye Consolata Pius (16) anadaiwa kufariki dunia, wakati akiwa nyumbani kwa mchungaji akifanyiwa maombi. Akizungumzia tukio hilo baba mzazi wa mtoto huyo, Charles Pius amedai mtoto wake amekua akisumbuliwa na maradhi ambayo hata baada ya kumpeleka hospitali hayakuweza kutambulika...
  15. M

    Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

    Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi? Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande. Kadhia hii imemkuta mchunga...
  16. Gari Hiace namba T936 AJU ya ruti ya Mbezi - Boko Mnemela iondolewe barabarani

    Gari, tunatoka mbezi Gari inasukumwa mpaka round about ili iwake, Gari tumefika karibu na kwa Komba imepasuka Tairi. Konda hataki kurudisha nauli Ajali ikitokea tutamtafuta mchawi nani? Kemea ajali
  17. J

    Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi Chanzo...
  18. Nigeria: Mchungaji apanda madhabahuni na silaha aina ya AK-47

    Polisi nchini Nigeria wanamshikiria mchungaji wa kanisa la 'House on the rock' kwa kupanda madhabahuni na bunduki aina ya Ak-47. Mchungaji huyo anayetambulika kwa jina la Uche Aigbe alitenda kosa hilo mnamo tarehe 13 februari 2023 katika misa ya pili ya kanisa hilo. Polisi jijini Lagos...
  19. Mchungaji Gwajima: Elimu bila connection ni sawa na kontena la maarifa yasiyo na matumizi

    Nimekutana na hii video mtandaoni, Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma. Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
  20. M

    Wanaokwenda kwa waganga wana hoja, wasibezwe

    Jumatano njema! Kuna ubaya kusema kila mtu anakula anakopeleka mboga? Wapo WaRC na Walokole wengi hukimbilia kwa waganga wa kienyeji na miilini wana chale za kutosha. Wana hoja, miaka ya leo utapeli umekuwa mwingi. Mchungaji anafukuza muumini kwa uzinifu wakati mwenyewe anazini. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…