Palitokea mtu mmoja afahamikaye kwa jina la Marco Marcusio, kijana huyu mwenye asili ya kinyamwezi akiwa ni chotara wa kimakabila Babaye mnyamwezi mama yake mnyakyusa, kijana huyu alizaliwa Tabora liliko chimbuko la kabila la Baba yake. Na kwa kuwa Baba yake alipata kisomo cha...