Kwa mda wa miaka mitano tu Kila mmoja kaonja joto la jiwe, si mkuli, si graduate, si mfanyabiashara, mwajiliwa wa serikali na binafsi. Wote tulikuwa tunasubili Kila siku matamko yake tu as if nchi haikuwa na binge tena Wala sheria.
Nchi ilikuwa imepatwa. Sasa lazima awe reference ya viongoxi...
Ukiwa na hela, hapa naongelea utajiri na hukuwa na mwanamke kabla ni bora ukazalisha mwanamke kama alivyofanya Diamond na ukaendelea kuishi peke yako sababu utapendewa pesa na wanawake.
Mwanamke akipata uhakika wa pesa kutoka kwako, atatafuta mwanaume moyo wake unayempenda, hapo ndiyo usaliti...
Hizi pisi ukifika 30 unaweza kuzipata kwa urahisi sana, ni kama vile hata hutongozi maana una uzoefu mkubwa tayari wa maisha kiujumla hata wanawake unakuwa na uwezo mkubwa kuwamudu, ukimhitaji mwanamke hupindishi pindishi unanyooka straight na kwa bahati nzuri ni kama muujiza waanawake wana...
Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu.
Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE
Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapigwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
Vijana wengi form six leaver hawana card ya NIDA hivyo huanza kuitafuta pindi wamalizapo shule kwa ajili ya loarn application.
Hata hivyo card ya NIDA haipatikani ndani ya mda kinachopatikana ndani ya mda ni Namba. Tambueni hilo. Nyie ni ,mamlaka ya serikali hivyo mnajua kinachoendelea ...
Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
Bila shaka msimu huu anachukua utopolo tena, Mpira ni science sio sifa sifa na kuleta makocha wabovu.
Yanga wako compact sana na wameongeza watu wachache, hivi game Kama hii unamuanzisha Mwenda ambae amekosea na kuzingua tokea kipindi cha kwanza, unamuanzisha Kyombo, kweli jamani unamuacha...
Wazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu.
Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma
Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na...
kuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi
Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga...
ALERT 🚨 🚨 🚨
Huko katika kata ya kitulo mkoani njombe aliyekuwa mwenyekiti wa usahili Agizo chapel tweve ambaye ni mwl.mkuu kampitisha mke wake Vailet sanga nawakinga wenzao naanajisifia hawez waacha wazawa..
amempitisha mtu aliyeomba usimamizi wamaudhui kuwa karani Okraim ngailo majina...
Mikia noma tayari wametutime, mvua sijui hata imetokea wapi.
Wazee wetu wameshindwa kabisa kuleta jua.
Lakini hamna namna lazima mikia wafungwe hata kama ikinyesha ya mawe.
TRA Arusha mnakumbuka kesi hii
Mfanyabiashara wa usafirishaji na ukawala wa watalii alilipwa malipo ya mbele na watalii. Kabla ya watalii kufika likaja janga la Corona. Watalii wakafuta safari . Mfanyabiashara kwa uungwana akawarudishia wateja wake pesa zao zote ukiondoa gharama za banki. TRA...
-kuweka hamira kwenye wali
-kupika nyama zilizokaa mda mrefu (kuna namna ya kukata harufu),
-kupika mizoga (zipo tetesi kuku wanaotupwa hukaangwa na kuuzwa buku kipande)
-viungo viungo viliyo expire kama mchuzi mix, royco na nazi za kwenye makopo.
-kutumia mafuta ya transfoma ama ya nguruwe...
Jamani mimi niliagiza mzigo kikuu nawanasema upo tayari Dar muda wowote utatumwa mkoani niliko. Ila naona kimya hadi saizi. Anaejua anielekeze nifafanyaje
Habari zenu wana,
Siku kadhaa zimepita nilikua matembez maeneo ya bububu Zanzibar, nikakutana na binti mmoja nikaomba namba akanipa. Bas mida ya jioni nikamcheki akasema nimpigie baadae kwan bado anakaz...
Za jumapili wadau. iko hivi,
Unaweza kutana na mtu yeyote inaweza kuwa kwenye gari au njiani au kaja hapa hapo dukani au ofisini kwako kwa namna yoyote ile..
Ile katika kuongea ndani ya nusu saa ameshakuambaia kazi anayofanya, mshahara, wanawake aliopitia kama ana nyumba au gari.. au gharama...
Habari zenu wanaJF wenzangu.
Kiujumla watu weusi tumeishi 'gizani' kwa karne nyingi. Tumeishi katika mifumo kadhaa iliyolenga kutupeleka huko 'gizani' na kutubakisha huko. Mifumo hii imepitia marekebisho ya kila aina - tokea mifumo ya kutumia nguvu hadi leo kutumia mifumo ya kutufumba macho na...
USIKATE TAMAA VS MLANGO MMOJA UKIFUNGWA MWENGINE HUFUNGUKA.
Sio kila kitu uking'ang'anie jifunze kujua mda sahihi wa kuondoka na kuachilia kitu ambacho sio sahihi kwako.
Point ni hivi, kama kitu kinakufanya unakosa amani, kinakufanya unadhohofika afya yako, kinakufanya uwe mbali na Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.