Habarini wakuu,
Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki.
Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha ya tendo inapungua yaan utamu wa siku za nyuma haupo tena sikuhzi.
Hivi hii ishawahi kuwakuta...
Kwanza natoa pongezi kwa uongozi wote wa awamu ya sita kwa jitihada kubwa inayofanywa hasa ya kuondoa ujinga kwa watoto wetu kwa kuwekeza nguvu kubwa kwenye kujenga shule na hospitali kila mahali kwa speed ya hali ya juu na kuendana na mahitaji na muda unaotakiwa, jambo ambalo limelazimika hadi...
Habarini!
Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu.
Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini?
Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane...
Niaminini ninachowaambia!
Misingi ya kesi ya makonda ni tofauti kabisa na ilivyokuwa kesi ya Sabaya!!
Ikumbukwe kwamba Punde tu sabaya baada ya kutenguliwa u DC, aliwekwa kitimoto/mahabusu chini ya Takukuru kabla ya kushitakiwa!
Sasa ishu ya makonda ukiitazama unaona kabisa waziwazi hakuna...
Salaam Wakuu,
Juzi kati nimeenda kumtembelea Mzazi mmoja huko Kijiji cha Lyamkena Makambako. Nikakuta ile Jamii inampa Chai ya bangi Mama mzazi ili maziwa yatoke.
Wanachemsha maji wanaweka majani kadhaa machanga ya bangi kama vile mchaichai then wanaweka Sukari anakunywa kama chai.
Wachagga...
Nimeona mapovu mengi sana yakiwatoka mashabiki na wadau wengine juu ya penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo, Ni ajabu sana kuitolea macho penalty ya jana wakati matukio kama ayo yanatokea Sana na watu wanakaa kimya kwakuwa tiyali anaefaidika anakuwa keshavuna point zake.
Matukio kama haya...
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
====
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
Nafikiri niwakati sasa umefika Zanznibar wafanye referendum kwamba wanataka muungano Ndio/Hapana. Baada ya hapo ndo tutakuwa na jibu sahihi la kupata ufumbuzi wa kudumu wa hiki tunachoita muungano.
Nashauri kama hari ndio hii basi vyuo visiwe vinafunguliwa hadi pale Loan Board inapokamilisha ugawaji wa mikopo na kuhakikisha kila anayestahili kupata amepata na kisha kutangaza kufunga dirisha la kupanga mikopo.
Wanafunzi wanateseka hawajapewa mikopo/accommodation huku masomo yameshaanza...
𝙁𝙊𝙍𝙈 4 𝙈𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀 𝙉𝘿𝙊𝙏𝙊 𝙕𝘼 𝙆𝙐𝙎𝙊𝙈𝙀𝘼 𝙄𝙏 𝙐𝙎𝙄𝙋𝙊𝙏𝙀𝙕𝙀 𝙈𝘿𝘼 𝙒𝘼𝙆𝙊 𝙆𝙒𝙀𝙉𝘿𝘼 𝙁𝙊𝙍𝙈 6, 𝙉𝙄𝙈𝙀𝙆𝙐𝘾𝙃𝙊𝙍𝙀𝘼 𝙍𝘼𝙈𝘼𝙉𝙄 𝙉𝙕𝙄𝙈𝘼 𝙃𝘼𝙋𝘼
Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali uliyochaguliwa ili umalize form 6 na ujaribu bahati yako kuomba mkopo wa serikali ili usome chuo, Post hii...
Kwa wenye madogo wanaomalizia msoto wakujitakia ndani ya JKT, Bodi imewaongezea siku 10 kuanzia tar 20 hadi 30 ili waweze kuomba mikopo ya elimu ya juu.
Habari Ndugu zangu popote pale mlipo
Leo nimeingia Ofisini kwangu Mida ya saa 3 asubuhi ninakuta umeme umekatika. Na mpaka sasa ninapo andika ujumbe huu saa 7 na Daakika 55 mchana bado pakavu. Ndo najiuliza je, Tumesharudi Misri kwenye swala la upatikanaji wa umeme Mjini?
Maana katika kipindi...
Kwa uzoefu wangu mdada akikuzungusha wakati wa ww kumtongoza bhas huyo Mdada hana hisia za kimapenzi na wewe na kakuona wewe ni option yake ya 867 kama uhusiano alionao ukibuma, akikuzungusha mda mrefu hata akija kukubali baadae, atakukubali kwasababu ya pesa zako akuchune hela yako wee, au...
Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie.
Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password.
Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
Katika Hali isiyotarajiwa na wengi, C.E.O wa Next Level Music Rayvanny aka vannyboy mtu mbaya amezid kumvuruta mmiliki wa label ya Konde gang Harmonize Mzee wa picha za utupu
Rekodi mbali mbali zinaonyesha jinsi Rayvanny anavyomburuza konde boy kuanzia kwenye mziki mpak kumiliki watoto wa zuri...
Habari wakuu,
Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.