Habari wana JamiiForums.
Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.
Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye...