mdahalo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ifike time, uitishwe Mdahalo kati ya Mwenyekiti wa CCM vs Mwenyekiti wa CHADEMA.

    Salaam Tanganyika! Issues nyingi zinaibuliwa wakati huu na zinaonekana ni za upande mmoja, Na anayeibua HOJA nyingi ambazo hazipati majibu ni huyu Mwenyekiti mpya wa chama Cha upinzani TUNDU Lissu. Sasa Kwa kuwa anayetakiwa kuzichambua ni mwananchi, ni muhimu wenyeviti Hawa wawili...
  2. K

    Pre GE2025 Mzee Wassira Mdahalo tayari umefanyika

    Mzee wasira ni lazima aelewe kwenye No election no reform hakuna mdahalo bali utekelezaji. Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 zime maliza mdahalo na maswali yeyote ya kwamba chaguzi kwa sasa zinaweza tena kuwa za haki kwa sheria zilizopo sasa. Sasa unaposema unataka mdahalo na Lissu ni wa nini hasa...
  3. RIGHT MARKER

    Mdahalo kati ya daktari na mgonjwa aliyekwenda kupima VVU

    DOKTA: "Kabla ya kukupatia majibu ya vipimo vyako vya VVU, naomba kwanza nikupe ushauri nasaha". MGONJWA (Kimoyo moyo): "Lo! Neema ushaniambukiza ugonjwa wako. Kama sio Neema ni Halima". DOKTA: "UKIMWI ni kifupi cha Upungufu wa Kinga Mwilini. Zipo njia kadhaa zinazoweza kuambukizwa ugonjwa huu...
  4. Akilindogosana

    Andaeni mdahalo kati za Mzee Wassira na Heche. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni

    Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri Mdahalo uzungumzie 1. Masuala ya vijana 2. Hali ya kiuchumi 3. Ukosefu wa ajira 4. Nyingine muongezee
  5. B

    Mbowe na wafuasi wake hoja, ufafanuzi, kujitetea nk wangeyasema jana kwenye mdahalo.

    Kwamba mdahalo wameukimbia? Kwani Nchimbi walisema je? Kwa hiyo mwamba ameulaza u nini? Kama alikuwa na hoja au kujitetea au kutoa ufafanuzi ilikuwapo fursa bora kwake kuliko jana? Viva CDM kuanza safari mpya free from "chawa wala viroboto!"
  6. B

    Ukweli mchungu, "Nchi nzima itasimama leo kufuatilia Mdahalo, uchaguzi mkuu Chadema." Hasubiri mtu kusimuliwa!

    Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu: Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao. Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa...
  7. chiembe

    Ni makosa ya kiufundi kuandaa mdahalo katika jengo la TLS ambalo Mwabukusi ni Rais wake, na anamunga mkono Lissu hadharani, haki isingetendeka

    Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke. Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
  8. T

    Pre GE2025 Baada ya Mbowe kukacha mdahalo, Lissu asema ingependeza kama mdahalo ungewahusisha wote watatu

    "Tukutane kwenye Medani Kuu Live na Chief Edwin Odemba kujadiliana juu ya 'Uongozi Wetu na Hatma ya CHADEMA 2025 & Beyond'! Katika kuelekea 'Fainali' ya tarehe 21 Januari, 'Mdahalo wa Wenyeviti' ni utamaduni wa kisiasa unaopaswa kujengwa na kukuzwa kama sehemu ya ujenzi wa utamaduni wa...
  9. Jaji Mfawidhi

    Mdahalo wa Mbowe Vs Lissu uongozwe na Stephen Sucker wa HARD TALK-BBC !

    mnamo 16-1-2025 chombo kimoja kikubwa cha habari kimefanya mahojiano na Tundu Lissu nyumbani kwake Tegeta -Dar es salaa, Tanganyika. Waandishi / Watangazaji watatu wamemuhoji :- Sam Sasali PJ Kijja Katika hali ya Kusikitisha, Kijja ambaye ni kada wa VEGGIE PARTY amekua akiuliza maswali kama...
  10. mkuruga

    Mgombea wa Baraza la vijana anayemuunga mkono lissu ajitoa kwenye kinyanganyiro uamuZi huo ameufanya ktk mdahalo uliokuwa unaendeshwa na Odemba

    Ktk Hali ya kushangaZa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti bavicha ndugu shija amejitoa na kumuunga mkono mgombea mwenZake ndugu manyila ambaye pia anamuunga mkono lissu
  11. M

    Live: mdahalo wa wagombea wa Bavicha taifa na Chief Odemba

    === Fuatlilia Mdahalo wa wazi wa Vijana wa CHADEMA wakifanya mdahalo wa wazi katika kutekeleza Demokrasia kwa Vitendo. https://www.youtube.com/live/YtIJ2C2X2Pg?si=ouOhJNbacE7DLlke
  12. M

    UCHAGUZI CHADEMA: Mahojiano ya Mbowe leo Clouds yamesitisha moja kwa moja Mdahalo wa Lissu na Mbowe

    Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu. Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha...
  13. MamaSamia2025

    Ninawapa alama 0/100 washiriki wote wa mdahalo StarTv kuhusu uchaguzi wa CHADEMA. Tazama video.

    Huyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100. Yericko anastahili na viboko kabisa. Ntobi aliyesema CHADEMA imeanzishwa 2019 anastahili kuwekewa...
  14. Even MOre

    MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

    Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa. 1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika...
  15. Wakusoma 12

    Mambo muhimu ya kufanya kwa mwanaume mwaka huu wa 2025

    NB nimeikopi kutoka X 1. Mpangilia wa kuamka saa 12 Asubuhi kila siku, (Epukua kuamshwa na Alarm). 2. Fanya mazoezi ya "KEGEL" kwa usahihi Walau nusu saa kila siku asubuhi na jioni. 3. Kunywa maji lita 3-5 kila siku iwe kwenye ratiba yako. 4. Pata bakuli mbili ya mchuzi wa bamia changa kwa...
  16. Mr Why

    Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
  17. ngara23

    Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

    Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa...
  18. Rula ya Mafisadi

    Tetesi: Freeman Mbowe kukacha mdahalo wa Januari 18, 2025

    Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo. Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya? Happy New Year 2025 in advance
  19. milele amina

    Ushauri: Mdahalo wa Wagombea Uwenyekiti Chadema Taifa

    Utangulizi Mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa unatarajiwa kufanyika tarehe 18/01/2025, na ni tukio muhimu linalohitaji maandalizi makini ili kuhakikisha kwamba wagombea wanajitambulisha vyema kwa wajumbe na wapiga kura. Katika muktadha huu, tunatoa ushauri kwa Chief Odemba ili...
  20. Bezecky

    Pre GE2025 MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi

    Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi, Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025. ==== Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali...
Back
Top Bottom