Dkt. Tulia Ackson amewakilisha vyema katika mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge duniani IPU.
Tunamtakia kila la heri katika uchaguzi utakaofanyika kesho 27.10.2023
Mungu ibariki Tanzania
Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini.
Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD.
Yaani kuwe na room ya makundi haya...
Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali.
Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge.
Hivyo...
MDAHALO - DAWATI LA JINSIA LIFIKE MPAKA VIJIJINI
Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Martha Gwau mnamo tarehe 06 Machi, 2023 katika wiki ya kuadhimisha Siku ya Mwanamke Duniani alishiriki mdahalo wa Wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari Mwanamwema.
Mhe. Martha Gwau, Mbunge wa Viti...
Kuna mjadala unaendelea ITV hapa kuhusu tatizo la panya road kuibuka tena, watu wanatiririka maoni yao hapa ila muongozaji wa mdahalo ambaye ni mtangazaji Maulid Kambaya ni kama akisikia mtu akitoa maoni ambayo hakubaliani nayo anaanza kumkaba hoja yake kabla hajamaliza
Achani watu watoe maoni...
William Ruto amekosoa uamuzi wa Mpinzani wake, Raila Odinga kutoshiriki Mdahalo wa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Agosti akisema kitendo hicho ni kuepuka Uwajibikaji
Amesema Raila si Mgombea halisi na hajashiriki Mdahalo kwasababu anaepuka Maswali magumu. Ruto amedai Mpinzani wake hana...
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha wa Roots, Profesa George Wajackoyah amesema hatashiriki kwenye Mdahalo unaotarajiwa kufanyika leo kwa kudai kuwa Mdahalo umepangwa
Wajackoyah ni Mgombea wa Pili kujitoa kwenye Mdahalo huo baada ya Raila Odinga kutangaza kujitoa mapema Jumapili kwa kuwa...
Kuelekea Mdahalo wa Wagombea Urais wa Kenya unaotarajiwa kufanyika Julai 29, Raila Odinga amesema hayupo tayari kushirikiana na Mpinzani wake mkuu, William Ruto. Mdahalo kati ya Wagombea Wenza ulifanyika siku kadhaa zilizopita
Sekretarieti yake ya Kampeni imesema ni wazo baya kuungana na Ruto...
Napenda sana siasa za kihivi, pale ambapo hakuna uhakika nani ataukwaa urais, wagombea wote kila mmoja anajinadi kwa kila namna. Mdahalo umeandaliwa baina ya wagombea urais ambapo watapambanishwa kwa hoja kila mmoja aeleze kwanini tumchague yeye.
Watatumia jukwaa moja na itakua mwendo wa...
Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa.
1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais)
2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo...
"Sina muda wa kukaa kwenye Mdahalo na yeye (Bulembo), simuwezi, historia yake inajulikana si tu ni Mhuni bali tapeli. Kubwa alilofanya ni kutudhoofishia Taasisi ile (Jumuiya ya Wazazi ya @ccm_tanzania ) " @hpolepole https://t.co/y8F1t3J0Y9
Wamekosea sana kumpeleka kuhojiwa kwenye kamati za vitisho na polisi kwa sababu huko ataibuka mshindi tu kwani hawataweza kujibu hoja zake. Na kwa kuwa wameshamtisha na akaonyesha ushupavu wa kutotishika atazidi kuwa maarufu.
Na wakikosea zaidi wakamuumiza popote, au hata wakimfukuza ubunge...
“Msimamo wa Serikali ni kwamba shughuli ziendelee kama kawaida lakini Watu wachukue tahadhari, Wizara ya Afya imeandaa Mdahalo kesho pale Muhimbili wale wote wenye hoja waende wakatoe hoja zao watajibiwa, hoja inajibiwa kwa hoja”
Msemaji Mkuu @MsigwaGerson
My take:
Tusaidieni kuwaambia...
Timu "chanjo Yes" iongozwe na Dr Gwajima na timu "chanjo No" iongozwe na Askofu Gwajima!
Huo mdahalo mtoto hatumwi dukani. Kuna timu moja naiona haiwezi kuthubutu kutia mguu kwenye mdahalo huo, naiona ina hali mbaya.
Wamiliki wa luninga jaribuni kuzikutanisha timu hizo mbili ili watu wote...
Nchi zetu za Afrika nani katuroga sisi? Hivi tunaweza je kufika huku?
Barikiwa sana Mh. Tundu Antiphas Lissu. Mshangao wako ndiyo ulio mshangao wetu na pia kwa kila mpenda haki.
Barikiwa sana beberu, kwa maana makwetu kusikokuwa na mihimili ya uongozi iliyo huru, utamu wa madaraka...
Inawezekana ikawa sikubaliani moja kwa moja na kila analolihubiri Tundu Lissu ila kwa kiasi kikubwa naheshimu sana uwezo wake wa kujenga hoja. Zaidi ya mara moja Tundu Lissu ameomba mdahalo na mgombea wa CCM ambae ndie rais lakini ombi hilo ni kama vile Bw. Magufuli hajalisikia, ila nina yakini...
Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
Kwa wale watu wanaofuatilia siasa za kimataifa ili kutanua uelewa wa siasa fuatilia US Presidential Debate 2020 Cleveland, Ohio saa 10.00 usiku. DSTV ALJAZEERA channel Namba 406 na News Room Afrika Channel Namba 405 watakuwa Live kukuletea Debate hii. Hii itakuwa debate ya kwanza kwa uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.