Edwin Odemba: Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika...
Wanadodi
Nimesikia nia ya kuandaa mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema.
Huu ni uzi wa swali la ushauri wa bure kwa Chadema, Je wakubali au wasikubali mdahalo wa wagombea Uenyekiti wa Chadema?. Wenzenu CCM huwa hawakubali midahalo!.
Kwa sisi tuliosoma zamani, tulikuwa tunafundishwa midahalo...
Naunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?
Kuelekea uchaguzi wa uenyekiti CHADEMA utayarishwe mdahalo mahsusi ukijenga, nini wanataka kuifanyia CHADEMA!
Mdahalo utatoa majibu ya moja kwa moja nani anatufaa na nani hatufai.
Watanzania na wanachadema, wapenda mageuzi, wapenda mabadiliko, wachague mwenye hoja na sio blah blah, I'li tuone democrasia ndani ya chadema inafanyika
Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi.
Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
Tumefanya mdahalo wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu kilimo cha umwagiliaji kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Akina mama walioshiriki walitoa ushuhuda wa jinsi kilimo hiki kimewasaidia kuboresha maisha yao na kuleta mabadiliko ya kijamii.
Kupitia vipindi kama Nijuze, tunaendelea...
CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake .
Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo .
Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko
Muwe na siku njema
Ndugu zangu Watanzania,
Sasa mnaweza kuelewa ni kwanini Edwin Odemba alilia na kububujikwa machozi hadharani kama mtoto mdogo pale alipoona Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ameshindwa kufika na kuhudhuria kwenye mdahalo kutokana na kutingwa na majukumu ya chama ,ambapo alikuwa anaendesha vikao vya...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kuimarisha mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania. Moja ya njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kuandaa mdahalo wa wagombea urais kutoka vyama vyote vya siasa, ambao utawapa fursa wagombea kujieleza kwa uhuru bila kuwakilishwa na chama chao...
Mdahalo wa kwanza baina ya Donald Trump na Kamala Harris katika kinyang'anyiro cha urais wa USA umefanyika usiku wa kuamkia leo huko marekani, baadhi yetu tulifanikiwa kuufatilia kwa kina katika kujifunza nk.
Mbali na sera za wagombea kuna vitu vingi mnoo huangaliwa katika midahalo hiyo ili...
Harris campaign wants a second debate
Harris’s campaign has almost immediately called for a second debate against Trump.
“Under the bright lights, the American people got to see the choice they will face this fall at the ballot box: between moving forward with Kamala Harris, or going backwards...
Mdahalo (debate) utaanza saa 10:00 alfajiri ( Saa za Afrika Mashariki) siku ya Jumatano na itaenda hadi around saa 12asubuhi..
Kwa watakaotaka kufuatilia, TVs zote za dunia CNN, BBC, FOX NEWS, ALJAZEERA, CBS, ABC, SABC, SKYNEWS nk nk zitarusha live mdahalo huo...
Mtoto wa Tandale, Diamond Platnumz, Mswahili aliyepitia changamoto nyingi kwenye safari yake ya muziki, lakini akatoboa na kuwa nyota mkubwa wa Bongo Flava. Tangu enzi za wimbo wa "Kamwambie" mwaka 2010, uliompa umaarufu mkubwa na kufungua milango ya mafanikio yasiyopimika.
Ndoto zake...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv, na kuratibiwa na Ndugu Edwin Odemba tarehe 31 Agosti, 2024.
CCM inautaarifu umma kuwa Katibu Mkuu...
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga
hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa...
TUFANYE KWAMBA WOTE WALIKUBALI WATASHIRIKI MDAHALO HUU.
SWALI
Je kulikuwa na makubaliano yoyote kwamba kama hatoshiriki Dr nchimbi basi waliobaki wote wasishiriki ?
mjadala huu haukuwekwa maalumu kwa ajili ya Dr nchimbi,bali ni wananchi na makatibu wa vyama.
kitendo cha makatibu wakuu...
Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kutokushiriki mdahalo huru, huu huenda ukawa mtazamo Wangu binafsi tu.
1. Nchimbi aliona sio vyema kubeba Aibu kama yeye binafsi
2. Huenda haamini Sana kwenye uongo (msisitize "huenda")
3. DHAMBI ya Uongo ni Mbaya na karma yake haiwezi kukuacha huru KAMWE
4...
Wakuu,
Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho.
Kazi kwelikweli!
===
Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo...
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo
Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.