mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bado nakumbuka hili tukio japo nilikuwa mdogo

    Habari za kutwa wana jamii forum, Poleni na pilika za kusaka mkate wa kila siku, Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi, Baba na mama walitengana kitambo nikiwa na miaka 2, hivyo sisi tumelelewa na mama pekee, Mama alikuwa akijishughulisha na kazi mbalimbali kama vile kufanya vibarua kwa...
  2. Je, vijana wa kitanzania wanafahamu juu ya faida za kuwekeza katika umri mdogo?

    Habari za Kazi Wana JF, niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Vijana wengi hatufahamu kabisa umuhimu WA kuinvest katika umri mdogo, miaka 20+/- ndio wakati sahihi wa Kuanza kufanya uwekezaji. Hii ni Kwa kwa sababu zifuatazo; 1. Ni vizuri kupata uzoefu WA kutosha katika uwekezaji, hivyo ni vyema...
  3. Wakristo tushukuru sana ndoa zinaweza kuvunjwa mahakamani, Makanisa hayana msaada, Sheria zetu za ndoa zipo mdomini tu ila si kwa uhalisia

    Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine? -Mke au mume wako ni mwema kabisa tabia njema wala hana tatizo, mara paap! Kapata kazi huko Marekani, likizo yake ya kurudi ni wiki 2 tu mwaka...
  4. S

    Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

    Jifunze Kusoma Alama za Nyakati.. Siku Zote Ukiona Ulinzi ni Mkubwa Basi Jua Kuwa Usalama ni Mdogo.. Na Laana Yako Inaweza Kuwa Mwanzo wa Njia za Baraka Yako Pia. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Kaini mtoto wa Adamu alilaaniwa baada ya kumuua Ndugu yake Habili. Alilaaniwa Ktk...
  5. Mipango na mbinu za kibiashara kwa mjasiriamali Mdogo, Kati na hata Mkubwa

    Dunia leo hii inawataja mabilionea wafanyabiashara wakubwa kama vile Bilgates, Carlos Slim, Abraham Markovich, Trump, Mc Donald, Jeff Bezos na wengine wengi waliofanikiwa kifedha na kupata umaarufu mkubwa kupitia biashara. Imekuwa ni changamoto Kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo...
  6. Watanzania wengi akili zao ni kama za watoto wadogo. Unapowaeleza jambo elezea kama unamueleza mtoto mdogo.

    Umewahi sikia kitu kinachoitwa The curse of knowledge(Laana ya maarifa)? Ni ile mtu anafikiri kuwa maarifa aliyonayo au mambo anayoyafahamuu basi kila mtu wa kawaida anayafahamu. Hii inapelekea watu wengi wenye maarifa na wasomi waonekane hawawezi kujieleza au kuongea kwa ufasaha, au...
  7. F

    Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

    Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar. Anadai yeye huwa hapendi sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki. Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi...
  8. Uchaguzi Mdogo wa Kata 14 Tanzania Bara

    Tume ya taifa ya uchaguzi (nec) imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 14 tanzania bara utakazofanyika julai 13, mwaka huu. Kuwepo kwa uchaguzi huo kumetangazwa leo juni 14, 2023 jijini dodoma na mkurugenzi wa nec, ramadhani kailima ambaye ameeleza kuwa unafanyika baada ya kupokea...
  9. W

    Unapataje ujasiri wa kumuacha mke mwenye mtoto mdogo unayempenda?

    Mke mmeshashindwana kwa kila namna; kiuchumi hamuendi, kisocial hamuendi, kinidhamu n.k hamuendi, yaani ni tabu tupu na umeshafanya maamuzi kichwani ya kumrudisha kwao mara baada ya mavuno maana si kwa kutoelewana huku. Yaani katika wiki maelewano yanaweza kuwa ya siku mbili tu, siku zingine...
  10. Ukiangalia ukwasi waliokuwa nao wafanyakazi wa bandari na ufanisi ni mdogo ni bora bandari ipewe mwekezaji

    Mod nakuomba huu uzi usiunganishe Ukiangalia hapa duniani management ni tatizo kubwa tuliokua nao waafrika sehemu yeyote katika nchi za kiafrika watu wanapigania matumbo yao na sio uhai na ufanisi wa taasisi au kampuni husika. Ukiangalia ukwasi waliokua nao wafanyakazi wa bandari binafsi...
  11. R

    Mdogo wangu kamkataa mke mtarajiwa: Baada ya kujua mama yake alizaa na shemeji yake. Dogo anaona kama anaoa laana

    Habari wana FF. Nina ndogo wangu wa kiume hapa ana 27 years. Sasa alikuwa na rafiki wa kike yani yeye aliona huyu ndo mtarajiwa. Mwaka jana mwanzoni dogo aliitaji kufahamiana sana hasa kifamilia na mpenzi wake. Sasa baadae akaja kujua Baba yake haishi na mama yake. Yeye alisema kuwa kwa Baba...
  12. J

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine. Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu...
  13. R

    Ziada Seukindo (Meneja Programu JF): Uelewa wa Sheria za Mtandao kwa watu bado ni mdogo

    Picha: Ziada Seukindo Meneja Programu JamiiForums Ziada Seukindo, Mtetezi/mchechemuzi wa haki za kidigitali na mtaalamu wa ushiriki wa wananchi mtandani na program meneja jamiiForums ashiriki mahojiano na Redio ya Kiss FM katika mjadala unaosema, Sheria za mitandao kutofahamika vizuri miongoni...
  14. Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

    Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma. 1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa 2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe 3. RPC Geita 4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake 4. Waziri wa Afya-Chanjo...
  15. Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  16. Licha ya kuwepo kwa madini ya kutosha, bado mwamko wa Watanzania kuijua JamiiForums ni mdogo

    Tangu nijiunge rasmi JamiiForums kiukweli sijawahi jutia, lakini bado watu wengi hawaijui. Yaani unaweza pita mtaani kati ya watu kumi utaowauliza ni mmoja tu ndo anayeijua, mwingine anakwambia "ndo nini hiyo". Mpaka sasa, hata posts tu hazifikii idadi ya watanzania maana posts zipo 43 million...
  17. Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

    Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa, Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama...
  18. Vijana acheni kulalamika pale mdogo anapoadhibiwa na mkubwa wake kisayansi. Hii ndio siasa na mkumbuke kuwa sikio huwa halizidi kichwa.

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu. Ndugu yetu mh Lisu baada ya kuishi ulaya miaka miwili mitatu, na kupata watu wawili watatu wa kumlipia kodi ya nyumba na hela ya...
  19. TBT: Tujikumbushe filamu hii ya Baby's Day Out iliyopata umaarufu mkubwa sana kwenye deki za mikanda enzi hizo

    Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi. Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike. ITAENDELEA!!
  20. Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…