mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    Habari za humu ndugu zangu. Poleni kwa majukumu. Changamoto inayonirudisha nyuma sana: Ninachangamoto ya usikivu mdogo(Hard hearing, Hearing loss), kushindwa kuelewa kinachozungumzwa kwa kiasi fulani (Word deafness) hasa kwa sauti za besi sana sometime ninaweza nisikuelewe maneno utamkayo...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Huyu mdogo wangu anakipaji cha Muziki wa Kimarekani afenyeje ili aingie U.S?

    Wakuu huyu mdogo wangu anakipaji cha Kimarekani afanyeje aweze kuingia U.S. kuimba Muziki wa namna hii. Kama una marafiki ni producers huko US, au American Got Talent, au Wasanii wakubwa US, nisaidieni contacts zao wakuu. Najua kuna wengine wapo US uko saivi.
  3. sky soldier

    Napenda kuishi sehemu yenye mji mdogo ila sio jiji kubwa au bush

    Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi. Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji, Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi...
  4. MsemajiUkweli

    Zitto Kabwe ''awashukia'' vikali wanaozodoa ACT-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi mdogo Kigoma

    Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba. Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa wakati walisusia uchaguzi na chama chake kikaheshimu uamuzi wao wa kususia uchaguzi. Maelezo haya...
  5. J

    CHADEMA hongereni kwa kuweka mpira kwapani mdogo wenu Zitto Kabwe analialia huko Muhambwe!

    Heri nusu shari kuliko shari kamili. Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi. Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya uchaguzi Leo wakati wananchi wanapiga kura kwa utulivu na amani Zitto Kabwe anaturejesha kwenye...
  6. mkalamo

    Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA. Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa...
  7. Roving Journalist

    Tume ya Uchaguzi yawataka mawakala wa vyama vya siasa na wasimamizi kuzingatia sheria za Uchaguzi katika Uchaguzi mdogo wa muhambwe, buhigwe na kata 5

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma na Uchaguzi wa Udiwani katika kata tano za Tanzania Bara, vina wajibu wa kuweka mawakala kwenye vituo vya kupigia na kujumlisha kura lakini mawakala hao...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Propaganda? Hao wasomi waliojaa pomoni wapo wapi? Mbona mimi siwaoni!!!

    Amani iwe nanyi wakuu! Kutokana na maoni ya watu na maneno ya mtandaoni na Bungeni kuwa wasomi wamejaa mtaani, basi Taikon niliamua kufanya kauchunguzi kadogo tangu mwaka jana mwezi wa nne kama huu. Nimeita kauchunguzi kadogo kujiepusha na masuala ya takwimu. Uchunguzi wangu na wala usiitwe...
  9. Gepard

    Sikutegemea kama ningeishia kuchapwa kama mtoto mdogo

    Ndio ivo uzi wangu asilimia 90% unajieleza kupitia kichwa Cha habari. Ilikuwa mwaka juzi tumeenda kwenye harusi ya kaka wa rafiki yangu kule Meru. Nianze kwa kusema Meru ni pazuri Sanaa kwa mazingira yake Migomba na miti pia ukijani uliotawala ulionifanya nifurahie kwa mda wa siku 5 nilizo kuwa...
  10. Kibosho1

    Mji mdogo wa Himo usipopewa hadhi ya Halmashauri chini ya Rais Samia wananchi watamkumbuka sana Hayati Magufuli

    Kupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa)...
  11. C

    Ushauri kwa mdogo wangu: Alioa akiwa na umri wa miaka 23 sasa anamkataa mkewe akidai yeye bado mdogo

    Mdogo wangu umri miaka 23,mwaka jana tu alimuomba mzee na marafiki kumuandalia harusi ili aweze kuaga ukapera. Wazazi na marafiki wakafanya michango na kuandaa harusi kubwa tu na dogo akaoa. Mchumba wake wamesoma naye hadi kidato cha nne shule moja na hivyo wanafahamiana kila kitu. Miezi 6 tu...
  12. Miss Zomboko

    Geita: Kaka amuua mdogo wake baada ya kufanya vibaya kwenye mtihani wa majaribio

    Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Shibutwa wilayani Mbogwe mkoani Geita, Ziada Masumbuko (15) ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na kaka yake kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kufanya vibaya katika mtihani wa majaribio. Kamanda wa polisi mkoani Geita, Hendry...
Back
Top Bottom