Familia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aitwaye Manase Alphayo Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi
Amefariki Hospitali ya Machame Julai 23, alikopelekwa baada ya kupata mshtuko
Freeman Mbowe ametuhumiwa...
1. Genge la mboga mboga na matunda. Hii ni biashara ambayo mtu ataweza kuanzisha kwa mtaji mdogo kabisa na ikampatia kipato cha kujiendesha kimaisha ama kutunza familia, kulipa kodi ya pango n.k
2. Duka la reja reja. Hii ni aina nyingine ya biashara ambayo utaweka vitu vya matumizi ya kila...
Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto.
Nilichosikitika sana...
Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD!
Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi...
Ndugu Shekha Mpemba Fakhi kwa tiketi ya CCM ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba.
Ikumbukwe Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka kupitia taarifa kwa umma aliyoitoa hapo jana...
Na Joshua Deus
Miongoni mwa watanzania walio wengi wame athiriwa na Mila za makabila yao,imani za dini au madhehebu wanayo amini Hadi Mambo ya kiafya wanayahusianisha na Mila zao.
Ugonjwa wa Akili (mental disorder) umekua ni ugonjwa unao aminika kuwa hupatikana kwa kurogwa kwa Imani za jamii...
Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa.
Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu
Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha viongozi wao ktk maswara ya haki zao za kikatiba zinapo shindwa kutekelezwa na viongozi walio...
Kwa yaliyotokea Africa Kusini wananchi kutoka barabarani na kuzua vurugu kubwa dhidi ya uamuzi wa kisheria na kikatiba wa kumuweka ndani Rais Mstaafu, ni dhahiri kwamba bado hatujakomaa kidemokrasia.
Jambo lingine limetokea kule Kenya siku chache zilizopita ambapo Rais wa nchi hiyo aliongoza...
Makala haya mafupi yanaletwa kwenu na mwaandishi wenu Orkipirie lenaiterru kopp.
Ndoa za utotoni au katika umri mdogo ni pale ambapo msichana au mvulana wanapoingia katika ndoa wakiwa katika umri mdogo sana chini ya miaka 18.kwani umri mdogo huanzia 0-17miaka watoto ambao wapo katika umri huo...
Binadamu kafeli, tunaenda kwa speed ndogo sana ya maendeleo hasa kwenye suala la technologia, speed yetu ipo limited mno, kuanzia anga, majini hata nchi kavu.
Tunajisifu ujinga tu, tukigundua kitu kidogo tu makelele miaka mitano au sita,akitokea mmoja wetu na wazo la ujinga tu(mf:elon musk)...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila siku za Jumatatu, huwaletea makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambayo huchapishwa na gazeti la Nipashe la Jumapili, ambazo ziko kwa mtindo wa maswali, majibu ya maswali hayo, utayapata wewe mwenyewe, na kisha tutawatafuta wahusika, ku balance hii mada, hivyo...
HAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE.
Na, Robert Heriel.
Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOA, baadhi ya wachangiaji wa mada walimtumia zaidi Hayati Magufuli katika kutetea hoja zao kuwa hakuna ulazima wa kuvaa...
TUNDU LISU NI MSHINDI
Na, Robert Heriel
Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba za ibada wakituhadithia simulizi za kwenye misahafu kwa habari ya mambo yaliyopita miaka ya kale. Wote...
Japo ni 'Poti' wangu kabisa kutoka Mkoani Mara (Musoma) ila kwa hili na haya yanayokutokea sasa hapo Yanga SC Kipa Metacha Mnata wala sikuonei 'Huruma' kabisa kwani umeyataka Mwenyewe na tunaokupenda na Wanaokupenda tumekushauri vya kutosha na unatuona Mangumbaru (Wajinga) na Mapopoma...
Tumeshuhudia hii miezi miwili kukiwa na kauli kadha wa kadha zenye kukinzana na matendo mbalimbali yaliyofanywa na awamu ya 5 chini ya Shujaa toka kwa wateule wake wa kipindi hicho. Moja ya wateule hao ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, ambaye kwa sasa ni mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh...
1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia.
2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa...
Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa.
Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya.
Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.