Baadhi ya makanisa kupuuzia Sunday schools kwa watoto na kuwa na utamaduni wa kuwachanganya watoto na watu wazima haimjengi mtoto kimaadili, kidini, kisaikolojia na kiufahamu pia. Maana kuna mahubiri mengine yanaleta matokeo hasi kwenye ubongo wa mtoto.
Mtoto lazma afundishwe katika ranks na...
Naomba mawazo ya Great thinkers yatumike hapa.
Yaani unakuta mtu Katika familia hana uwezo wa kuwafanya watoto au kuwaandalia maisha kipindi akiwa Mdogo hadi kuwa mtu mzima yaani unazaliwa bila kuoneshwa njia yakupita na wapi utokee ili ufike salama.
Mfano Mimi binafsi kipaji changu cha asili...
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
=====...
Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin
Kuna kitu huwa kinaitwa probability, hii ni kipimo cha uwezekano wa kitu kuwa.
Nikija kwa mrengo wa maana yangu ni kwamba wapo wasanii...
Wakazi wa Kata ya Muriet, eneo la Barabara ya Nado, mitaa ambayo ni maarufu kwa jina la Muriet au Barabara ya East Afrika Mkoani Arusha, wamelalamikia kitendo cha wazazi wawili (mume na mke) kuwatelekeza watoto wao ambao wamejikuta wakiingia katika matatizo ya kimaadili.
Inaelezwa kuwa Wazazi...
Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya"
Chanzo: Jambo TV
Ndugu Humphrey Polepole,
Tarehe 28/11/2020 Ndugu Hamphrey Polepole aliteuliwa na Hayati Rais Magufuli kuwa Mbunge, hapo awali alikua ni Katibu Mwenezi wa CCM Taifa.
Baada ya kifo cha Rais Magufuli mambo yakabadilika.Tarehe 14/3/2022 Rais Samia akamteua Ndugu Polepole kuwa Balozi nchini Malawi...
Habari ya uzima,
Nina Mdogo wangu yupo chuo kikuu anasoma Education mwaka wa pili English na Kiswahili.
Kama mnavyojua changamoto ya Elimu yetu unaweza kutoboa Hadi chuo kikuu lakini bado ukawa haupo smart au competence katika kudadavua Mambo ya Maisha na career yako. Huyu Mdogo wang yeye ni...
Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada.
Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu vingi, vingine hatuwezi hata waambia watu maana ni chafu sana ila nyingine tunaziishi.
Nimeanzisha uzi...
Habari wakuu, nina mdogo wangu wa kike ambaye ana shahada ya HR miaka 26, naomba msaada wenu apate kazi yoyote ndani ya Dodoma au Dar(sababu ya sehemu ya kuishi) pia ni mzoefu kwenye kazi za mahoteli na kuuza mafuta (sheli), kwasasa yupo tuu nyumbani naona anakata tama, atayeguswa naomba...
Ingekuwa poa sana kama mngefuatilia mwenendo wake. Maana katika michezo 19 ya Ligi yao pale Kenya mpaka sasa, tayari ameshatupia goli 19!! What a striker katika umri wake huo wa miaka 21 tu!!
Dogo ana nguvu, anafunga kwa miguu yote!! Imagine ameanza kucheza ligi kuu akiwa bado ni mwanafunzi wa...
Wakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa tu
Shida yangu Kila siku naota ndoto Niko pamoja...
Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam.
Kufika pale kulikuwa na vijana watoto wamjini hakuna aliyezidi miaka 50,walikuwawakicheza draft,bao,zumna na kunywa kahawa
Vijana...
Mbunge Viti Maalumu Mkoa wa Singida Matha Gwau amesema;
"Tunamshukuru Mama Samia Suluhu Hassani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kujengea shule nzuri zenye miundombinu mizuri inayowawezesha watoto wa kike kupata elimu; Hivyo niwaombe sana wadogo zangu, watoto wangu msome kwa bidii...
Hivi kwanza hujashtuka tu mara zote hizo kukimbiwa na wanasheria wako?
Ulianza na wale wa Bernard Morrison.
Ukaja na Shangazi Mwanasheria Mwanasiasa.
Na sasa Umefika kwa Mwanasheria wa msuva.
Shtuka mdogo wangu, hao wote wanatambua kuwa hutoboi dhidi ya Yanga SC na ndio maana mwanasheria...
Ndugu zangu habari za Wakati, poleni na majukumu ya kujenga Nchi n.k.
Mimi na tatizo naombeni msaada hasa Kwa wale wajuzi wa mambo.
Mwaka jana nilifanya mapenzi na mdada mmoja, Baada ya kuwekeana vidudu nilianza kuwashwa sana uumeni na ktk pumbu zangu, Ile hali iliendelea Kwa mwaka mzima na mm...
Nilikuwa nasoma or rather nilikuwa naisikiliza hii sutra (katika read aloud), halafu ilipofika kwenye hii passage, The Ten Powers of the Tathagata ikasimama yenyewe. Ndio muujiza uliotokea, kwamba simu yangu ilisimama yenyewe ikawa kimya.
Sasa, hizi Ten Powers of the Tathagata, the powers of...
Wanajamvi, salaam!
Iko hivi nina mdogo wangu (rafiki) naishi nae kwakua anaumwa, tunaheshimiana sana. Tunaishi kisela kila mmoja anaweza kuleta demu wake maghetoni.
Dogo ana mademu watatu ambao najua yupo active nao na wote wanakujaga maghetoni kwa wakati tofauti, sasa kumbe ana wa nne ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.