mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno

    Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni Kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno. Ureno inasonga mbele zaidi na inaonekana ni wazi bila hata Ronaldo timu inaweza kufanya vizuri tu,
  2. S

    Mawazo ya kutoka kimaisha kwa mtaji mdogo

    1. Nunua pikipiki ya dhamana ukaanza biashara ya boda boda. 2. Fungua saluni. 3. Mradi wa tofali za kuchoma. 3. Fuga kuku. 4. Somea ujuzi wowote. 5. Mradi wa kushona nguo. 6. kijiwe cha kuchomelea. 7. Kijiwe cha milango na madirisha ya aluminum. 8. Mgahawa mdogo. 9. Kijjwe cha kahawa. 10...
  3. Watu wenye uwezo mdogo wa kiakili ndiyo huchepuka

    Haina ubishi, sababu ni kama zifuatavyo; 1. Wanakua na uwezo mdogo wa kudhibiti hisia zao. 2. Hawana jambo linaloichangamsha akili like having intellectual project to be solved and fulfilled. 3. Uwezo wa ku reason ni mdogo hivyo ana act on feelings and not logic. 4. Wanauwezo mdogo wa...
  4. Baada ya baba kufariki, watoto wa mke mdogo wanataka mali, tufanyeje?

    Ipo hivi mzee wetu alikuwa na wake wawili mkubwa ndio mama yetu sisi na mdogo alikuwa ana watoto wake. Sasa huyo mke mdogo alishafariki muda mrefu amebaki huyu mkubwa ambaye ni mama yetu sisi. Muda si mrefu mzee naye kafariki baada ya kusumbuliwa na ugonjwa kwa muda mrefu. Tumefanya msiba na...
  5. Wataalam wa uchimbaji dhahabu (maduara) ni eneo gani bora kuwekeza kwa mtaji mdogo?

    Nimeona watu wanamiliki maduara, wengine wanamiliki crushers tu, wanasaga mawe ya watu, wengine wanamiliki plant au elusion plants. Wengine wanamiliki detectors wanakodisha, wengine ni wanunuzi wa dhahabu end products, wengine wanarundika michanga (marudio) yenye PPM nzuri na kuuza. Kwa mtaji...
  6. Ujuzi mdogo wahudumu wa DStv

    Wakuu bila shaka ukiacha wakazi wa Dar wengine wote MMEOGA. Kuna kitu kimenishangaza sana.Nililipia kifurushi Dstv lakini Channel hazikufunga ndani ya siku 9.Kila nikiwasha TV yangu nilipokea ujumbe huu THIS CHANELL IS BLOCKED BECAUSE IT MAY NOT BE PART OF YOUR PACKAGE (mwisho wa kunukuu)...
  7. Kijana ukitaka kuoa, oa binti aliyezaliwa miaka ya 2000 hadi 2004

    Wahenga wanasema ukitaka kupata urahisi wa kufanya jambo lako washirikishe wazee, ukubwa dawa. Wiki iliyopita nilikuwa na wazee wetu kijijini, tulikutakana kwenye ndoa ya kijana mwezetu kutoka kwenye ukoo. Katika kupiga soga za hapa na pale kuna mzee mmoja akawa anasitiza na sisi vijana wengine...
  8. Ikangaa, Kiganja na Nyambui Wajitosa kwenye Uchaguzi Mdogo RT

    Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) inatarajiwa kufanya uchaguzi Novemba 27 mwaka huu jijini Dodoma, nafasi zinazowaniwa ni Makamu wa Rais na Mjumbe wa Kamati Tendaji Kanda ya Pwani, ambazo waliokuwa wakizishikilia, John Bayo na Robert Kalyahe, walijiuzulu kutokana na sababu mbalimbali. Zoezi la...
  9. Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

    Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka baada ya kuapishwa ndiyo ukajua kumbe umeingizwa chaka, na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, kwa haraka ni kwamba kuna mambo umetofautiana na akina Mdee. Kwa umri wako ili kutengeneza tena heshima yako na imani kwa watu wengi basi jiuzulu huo...
  10. Serengeti Breweries kudhibiti wanywaji wenye umri mdogo

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye kundi la watu wenye umri mdogo wanaotumia pombe kwa kiwango kikubwa, wakiwamo wanafunzi. Hivyo, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua programu ya kupambana na unywaji pombe kwa watu wenye umri mdogo, ikilenga kudhibiti tabia hiyo. Utafiti...
  11. Nisaidieni kuziondoa hasira za mdogo wangu/dada yangu...

    INTRODUCTION Ni mdogo angu (family friend). Kwao ni wa mwisho kuzaliwa (last born). Ana miaka 26 na ana mtoto mmoja wa kike. Yeye na huyo baba mtoto waliachana ila mtoto anatunzwa fresh. SCENARIO Huyu binti Wana JF ana hasira sana. Na hapo mwanzo nilishawahi kumuhoji akasema ""Muda mwengine...
  12. Hakuna uume mdogo kwenye maumbile ya mwanamke aliejitunza lakini kwa mabinti wa sasa huo msemo umepitwa, wenye uume mdogo wanadhihakiwa sana

    Ni kweli hakunaga uume mdogo kwenye maumbile ya mwanamke anaejiheshimu, Ishu ni kwamba katika Tanzania hii ya sasa kuendekeza huu msemo ni tofauti na uhalisia wa sasa. Kuna wanaume wanadanganyana kwamba uchi ni elastic”.. Ndugu zangu k*ma inapotumika sana na mishedede dizaini ya tango...
  13. Hizi njemba(hawa ma-legend) za JF zinatufanya kizazi cha sasa tuonekane tuna upeo mdogo wa kufikiri

    Kwema Wakuu! Nimeanza kufuatilia JF tangu 2010 hivyo mpaka sasa ni miaka 12. Hivyo ninauzoefu WA kutosha na mambo ya humu ndani. Ingawaje kipindi kile yaani 2010-2013 nikiwa sekondari nilikuwa Kama msomaji tuu lakini bado ninakumbukumbu nzuri ya mambo yalivyokuwa. Nakiri kuwa humu JF kuna...
  14. Kwetu mimi pekee sijaelimika ila useremala unanibeba, kaka na mdogo wangu walioelimika wanasota, nashauri VETA kabla ya chuo

    Sisemi kwamba watu wasisome, La Haha! bali wawe na "back up a.k.a Plan B, Sio vibaya mtu mwenye degree awe na ujuzi wa kushona, ujenzi, useremala, upishi, n.k. huu ujuzi una uhakika zaidi wa kumlisha kuzidi nafasi za kazi ambazo wachache huajiriwa, anapomaliza chuo awe na uhakika wa kuanza...
  15. Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

    Habari humu, mdogo ameshachaguliwa kujiunga C.O pale TTCIH morogoro, ila anataka aache ili akasome short course ya miezi mi3 flight operation pale TCAA uwanja wa taifa. Kwa wanaoifahamu hii kozi, vipi ajira zake ndani na nje? Wanasema Kupata nje dubai ni rahisi. Points za dogo kuacha medicine...
  16. Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Kwa miaka mitatu mfululizo niliamua kufanya utafiti wa kina maeneo ya Arusha, Mbeya na Mara, utafiti huu ulikuwa hasa ukiangalia kwa ukaribu maisha ya Nyokaa, Kenonke na Jombi. Nilikaa maeneo hayo yote kwa miezi 6, kuzungumza na watu waliokaa na hii miamba, wahanga wa matukio ya hawa jamaa nk...
  17. Ushauri Mdogo wangu Amepata Disco chuo mwaka huu namsaidiaje?

    Kama picha inavyojieleza nipo katika mtanziko mkubwa baada ya huyu Mdogo angu Kupata Disco mwaka huu je namsaidiaje wakuu ?!! Je utaratibu wa kufata baada ya hii Disco!? Ni upi?
  18. Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

    Anaandika Robert Heriel, Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi. Licha ya kuwa Ukristo ulitangulia kabla ya Uislam lakini Uislam kwenye ishu ya maadili upo makini zaidi kuliko Ukristo, na dini hizo zote mbili baba yao ni dini ya Kiyahudi (Judaism). Ukisema Ukristo ni mtoto...
  19. Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

    Haya mambo yasikieni tu. Mwanamke ni nyoka ambayo inafanyakazi wakati wote. Wanawake wakiwa na changamoto iwe ya uzazi atasingizia mumewe. Nyumba ikiwa haina pesa kosa la mwanaume, mwanaume usipotoa show safi kosa. Nimeacha kutembelea nyumbani kwa ndugu kisa hawa wanawake, nashukuru sana ikiwa...
  20. Wanawake wenye hadhi ya mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho?

    Wanawake wenye jina la mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho? Ni jina la yule mama mdogo ambaye wamezoena zaidi na mama ukiachana na wadogo zake wengine wawili wa kike. Nakumbuka sekondari form 3 hadi 4 kuna binti alikuwa na hilo jina aliniganda na tulipendana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…