mdomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Q

    Unawezaje kudhibiti mdomo wa mtu mzima usikae wazi muda wote?

    Kichwa kimejitosheleza. Na je hiyo ni "unconscious"/involuntary au ipo more psychological?
  2. S

    Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

    Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Yeye mwenyewe alijitetea kwa mkono wa chuma, Wewe unaweza kumtetea kwa mdomo?

    Ni ngumu sana kumtetea Magufuli kwa mdomo mtupu. Mambo yaliyoendelea katika utawala wake dhidi ya haki ya kutoa maoni, dhidi ya haki ya kuishi na kufikia hatua ya kudhuru wengine, ni dhahiri ilikuwa katika harakati za kujitetea. Magufuli mwenyewe alijitahidi kujitetea kwa mdomo akashindwa...
  4. Dr PL

    Fahamu kuhusu Kupooza Uso/mdomo (Facial Paralysis): Mdomo kusogea upande: Visababishi na Matibabu

    Picha kwa hisani ya Google. Kupooza uso/mdomo ni hali ya mdomo kusogea pembeni au kwenda upande mmoja (kitaalamu huitwa Facial nerve paralysis/Bell's Palsy) ambayo husababishwa na matatizo ya mishipa ya fahamu ya uso/mdomo (facial nerve) ambayo husimamia na kuendesha utendaji kazi wa misuli ya...
  5. Tajiri Sinabay

    Tatizo la mdomo kulemaa/kusogea upande huwa linasababishwa na nini?

    Kuna hili tatizo la mdomo kusogea pembeni ambalo humpata mtu akiwa na umri mkubwa kubisa. Kuna watu wawili ambao nawafahamu vizuri tu wamewahi kukutwa na hiya hali, kimtaa hakuna jibu nimeweza kulipata zaidi ya kuwa wamerogwa/wametupiwa majini. Wakuu naombeni majawabu kwenye hili. Kwa...
  6. M

    Graduates waambiwe ukweli , Career nyingi hasa za kutumia mdomo hazitambui degree zenu. Mjiongeze

    Habari wadau. Nimekutana na graduates wa UDSM analalamika ajira hapati na yeye ana degree ya Journalism & Mass communication from school of Journalism ya UDSM. Baada ya kumsikiliza nilimuuliza swali. Kwamba kama ndio yeye anafungua media yake yenye radio na Tv wanakuja watu kuomba kazi.. mmoja...
  7. L

    Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

    Imepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI
  8. BRAZA CHOGO

    Mzee ananuka mdomo: Kero usafiri wa umma

    Ulimhola! Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones. Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi ukiwa mwanana kabisa. Pembeni yangu aliketi babu mmoja ana miaka kama 60 hivi kwa kumtazama...
  9. G

    ATC kuzuiwa kutumia anga la nchi za EU, vyombo vya habari vimezibwa mdomo tena?

    Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe udanganyifu wa watawala hauishii kwenye uchaguzi tu
  10. T

    Itakuwa nchi haina wazee kama kuna mtu atanyanyuwa mdomo kumjibu Jaji Warioba

    Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba. Pili sio kila Mzee ni wakumjibu Jaji Warioba ameona mengi na anonyesha amekuwa kiongozi alie penda haki hata pale wakuu wake walipo fanya maamuzi yalikinzana na taratibu. Jaji Warioba hatupaswi...
  11. M

    KWELI Ukila nanasi na kisha kunywa maji mdomo unakuwa mchungu

    Imekuwa ikinitoea mara kwa mara kila nikila nanasi na kisha kunywa maji nahisi uchungu mdomoni, Je hii ni kwangu tu au watu wote mnapata hali kama hii? Kama ni wote, Kwanini baada ya kumaliza kula nanasi na ukanywa maji unasikia ladha ya uchungu mdomoni? Je kuna uhusiano gani kati ya nanasi na...
  12. Loimata

    Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

    ,,,
  13. Suley2019

    KWELI Mbwa Laika ni kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia

    Nimekutana na stori inadaiwa kuna Mbwa wa Urusi anayeitwa Laika ndiye kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia? Kuna ukweli kuhusu historia hii?
  14. Mwachiluwi

    Mdomo wa mtu wangu unanuka, namwambiaje?

    Hi Mtu wangu ananuka mdomo nashindwa mwambia kila nikikutana nae feeling zinakata kabisa nashindwa kumwambia nafanyaje?
  15. Dumuzii

    Mwanaume jua thamani ya mdomo wako

    Kabla mambo hayajawa mengi ni ufala kwa mwanaume kuanzisha mahusiano yoyote kwa gia ya pesa. Kifupi ukianzisha hayo mahusiano jua umesaini mkataba wa kutumika. Na utatumika kama kondom vile. Yaani ponea yako labda upasuke. Hata vitabu vitakatifu vinakuambia hapo mwanzo kulikua na neno. Ndio...
  16. Juice world

    Mdomo unaponza sana Tanzania, hii nchi haihitaji uwe kiherehere

    Tanzania hii ukiwa kiherehere kuingilia shughuli za watu lazima upotee. Kuna wale wanaojiita eti wanapigania haki hahahaha hivi haki inapiganiwa kwa mdomo! Ndio maana mtaendelea kutupwa ufukweni sababu ni viherehere kuingiliwa mingo za watu Ukitaka kuishi kwa amani hapa Tanzania ni kutafuta...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Watu wanaodharau Kazi za Watu Wengine ukiwafuatilia walikuzwa na kusomeshwa na Wazazi au walezi waliofanya Kazi Zenye mazîngira ya Kúpiga Dili

    WATU WANAODHARAU KAZI ZA WATU WENGINE UKIWAFUATILIA WALIKUZWA NA KUSOMESHWA NA WAZAZI AU WALEZI WALIOFANYA KAZI ZA KUPIGA DIL Bado naendelea na utafiti wàngu. Lakini Mpaka Hapa nilipofikia nakaribia kufanya hitimisho. Sidhani kama kitakuwa na badiliko lolote Kwa haya Majibu niliyonayo mpaka...
  18. Melki Wamatukio

    Mdomo wangu umepelekea wanawake wa mtaa mzima kunitazama kila muda. Waume zao wamenijengea hofu

    Napitia kipindi kigumu ndugu zanguni katika kipindi hiki kigumu cha wanaume wazee wa vilainishi Daslamu. Mtaani naanza kuishi kwa mashaka sana Hivi karibuni imeibuka hali ya kuzubaa ambayo inaukumbuka uso wangu. Kuna muda nikitizama kitu najikuta naganda, mwisho wa masaa najisahau kabisa, kuja...
  19. kipara kipya

    Baada ya kelele nyingi za rushwa nda ya CHADEMA Lissu afungwa mdomo na Mbowe!

    Pesa haijawahi muacha mtu salama tangu enzi za mitume na manabii pesa ni sabuni ya roho,ukiona mtu anapiga kelele sana kuhusu rushwa hajaunganishwa kwenye mfumo,nani hataki raha toka aanze ni yeye na kupanda punda tu, Sasa kapandishwa chopa anacheeka hatutosikia tena pesa za mama Abduli...
  20. D

    Mtu kutokuwa na harufu ya jasho au mdomo ni sawa?

    Nimeona jambo Hilo kwa mtoto mwenye miaka kama nane hivi. Wataalamu wa miili ya watu embu mtusaidie, Hali hii hutokana na Nini? Na Je sawa? Kama si sawa ni Nini kifanyike?
Back
Top Bottom