mdomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Usijaribu kununua haya magari mawili utalia kilio cha mbwa mdomo juu

    Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda. Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari...
  2. Izy_Name

    Mdomo umemsaliti Antonio Conte Tottenham

    Kocha Antonio Conte ameachana na klabu ya Tottenham akisema ni kwa makubaliano na pande zote mbili ambazo zimefikia haki. Hata hivyo, ni wazi kuwa mdomo ndio uliomkumba Conte klabuni hapo kwa kauli zake motomoto huku Spurs wakipendelea kula njaa. Kocha Antonio Conte ameondoka katika klabu ya...
  3. aka2030

    Mdomo wa Adam Mchomvu, tabia na mwenendo wake

  4. BARD AI

    Ripoti Afya: Asilimia 76 ya watu wazima Tanzania hawapigi Mswaki

    Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa nchini umeonesha zaidi ya Watanzania Milioni 47 wameoza Meno na sababu ikitajwa kuwa ni kutosafisha mdomo inavyopaswa. Pia, Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Baraka Nzobo amesema uchungizi wao umebaini...
  5. Shy land

    CCBRT walivyotatua tatizo la mtoto wangu la mdomo sungura

    hii ni kabla Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF. Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura. Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo...
  6. DR HAYA LAND

    Jirani yangu kapigwa kipigo kikali na mumewe hadi kapoteza fahamu, mdomo umemponza

    Hapa ninapopanga, jirani yangu usiku wa kuamkia leo katembezewa kichapo kikali sana. Huyu Mwanamke ni mzuri tu, lakini tatizo lake mdomo tu. Tatizo lake ameshindwa kufahamu kuwa, mume wake ni chapombe. Huyu mume wake ni muungwana sana, lakini akilewa ukaanza msumbua lazima atembeze Mandonga...
  7. J

    Wanawake tupunguze mdomo, tunawaponza waume zetu wenyewe

    Ni kweli wanawake tunapenda kuongea tena ni jadi yetu, lakini tujitahidi kuchuja maneno tusisahau hata Bibilia imeandika, "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe". Leo ntaongelea wenzangu na mie mama wa nyumbani. Dada unajijua huingizi...
  8. mugah di matheo

    Ruvu shooting leo wanamfunga mdomo utopolo

    Leo natarajia tambo na shombo nyingi za Masau Bwire. Ruvu 2 Utopolo 1. Timu lao bovu msimu huu.
  9. Lady Whistledown

    Ulemavu wa Mdomo wa Sungura hausababishwi na Laana au kuchepuka

    Laana na kuchepuka ni miongoni mwa imani potofu zinazoaminika katika jamii kuwa zinasababisha ulemavu wa mdomo sungura na mdomo wazi kwa watoto. Mdomo sungura na mdomo wazi ni ulemavu unaosababishwa na hitilafu ya kimaumbile ambayo mfumo wa mdomo unashindikana kuungana ipasavyo wakati wa...
  10. The unpaid Seller

    Kweli mdomo uliponza kichwa, "Anaepinga ahamie Burundi" hii kauli najua anaijutia sana sana kuiropoka

    Jamaa atatumbuliwa hilo liko wazi kama uchi wa mbuzi lakini atakua katolewa kafara ili wakubwa wake wapate sifa. Siasa achana nayo yote yaliyotokea walishauriana na kuafikiana ila mzigo wa lawama anatupiwa yeye alafu wakubwa wanashangiliwa. Tengeneza tatizo kisha tatua tatizo. Walimuweka...
  11. Liverpool VPN

    Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

    Habarini Wana JF.. Ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A YANGA BINGWA. Sasa story iko hivi.. Juzi nilisafiri kwenda Mbeya (hata navyoandika huu Uzi nipo Tunduma@Songwe) kufatilia bidhaa fulani hivi. Safari yangu ilianzia Morogoro. Nilivyopanda basi la NEW FORCE ndani ya basi nikakutana na baba...
  12. S

    Korea Kaskazini yakataa ofa ya Korea Kusini ya kuacha nyuklia ili ipewe misaada ya kiuchumi, yamwambia rais huyo afunge mdomo wake

    North Korea imemwambia rais wa South Korea afunge domo lake kufuatia rais huyo kuiomba North Korea iache silaha zake za nyuklia kisha South Korea itaipatia misaada kedekede ya uchumi. Majibu hayo kuntu yametolewa na dada yake Kim Jong-Un aitwaye Kim Yo Jong ambapo pia akaongezea kuwa South Korea...
  13. Shy land

    Mtoto wangu kazaliwa na kilo 6 na tatizo la mdomo sungura

    Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF. Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura. Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo la kuweza moja...
  14. JanguKamaJangu

    Kenya 2022 Uhuru Kenyatta amwambia Ruto hafanyi kazi amekalia mdomo tu

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemjia juu Naibu wake, William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu akisema kama ameshindwa kufanya akiwa na nafasi ya juu Serikalini ataweza vipi kwa mara nyingine anapoomba nafasi ya Urais Kenyatta akizungumza katika Sherehe za Ushirika amesema: “Mimi nasikitika kuona...
  15. Jackwillpower

    Swali la Yesu ambalo linakufunga mdomo

    Siku moja Yesu katika harakati zake ,Wayahudi hasa mafarusayo wale ambao hawakumuelewa hasa kuhusu Asili yake ,aliwatandika Swali ambalo liliwaziba mdomo Hawa Wayahudi walikuwa wanajifanya wanayaamini maandiko asilimia 100, Na Yesu alikuwa hasumbuani nao Sana anawatandika kwa maandiko Kisa...
  16. S

    Nani kamziba mdomo Waziri wa Mambo ya Nje Mulamula, kulingana na kauli ya ahadi aliyotoa mwenyewe kuhusu uraia pacha?

    Nimesema siku zote huwa siwaamini wanasiasa. NI mara chache sana mwanasiasa ataongea kitu nimwamini, na siku zote wanasiasa wenyewe wananipa sababu za kusimama katika msimamo wangu wa kutowaamini. Generaly speaking, wanasiasa ni watu waongo. Sasa leo sintasema mengi, bali nitwakumbusha tu...
  17. M

    Sasa ni wazi: Sifa ya kuwa mchambuzi wa soka hapa Tz ni kumiliki mdomo!

    Nianze kwa kuwaomba radhi wachambuzi wachache sana wa ukweli wa soka hapa bongo, hususan Ally Mayai Tembele. Hili bandiko haliwahusu wao. Hili bandiko linawahusu makanjanja lukuki yanayojiita wachambuzi wa soka wakati hawajawahi hata kucheza soka!! Hili kundi kubwa la wachambuzi wa soka...
  18. Analogia Malenga

    Kilimanjaro: Mama adaiwa kumchoma moto mwanawe mdomo, pua

    MKAZI wa Newland Kijiji cha Mvuleni, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Grace Pima, anadaiwa kumchoma moto mtoto wake wa miaka mitano mdomo pamoja na pua. Mama huyo anadaiwa kutekeleza kitendo hicho kwa kutumia banio linalotumiwa kuunganisha njia ya reli, pia inadaiwa alimfungia ndani mtoto...
  19. K

    CHADEMA Toeni Japo Asante Ya Mdomo Kwa Mama

    Yaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila.. Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma? Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea Kamanda.Mama Kajibu maombi...Badala ya Kushukuru nyie 'Wazee Wa Pinga pinga' mmeanza Kuchonga...
  20. Ophonso

    Mdomo umewaponza kwa kuwashutumu wengine wanatoa kafara ndugu zao

    Hakuna kitu kibaya sana kama ulimi. Usipouchunga ulimi wako utakuletea aibu, madhara kwako na kwa wengine. Hii familia imekuwa inaropoka sana wengine wakipoteza wapendwa wao tena katika mazingira ya kawaida tu ya kifo kama ajali au magonjwa. Utasikia tu eti Wamemtoa Kafara. Mtu kafa kwa...
Back
Top Bottom