Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono.
Mdude ameyasema hayo Februari 16, aliposhiriki ibada ya misa maalum ya kumuombea Lissu iliyofanyika kijijini kwao Mahambe...
Kwamba tume ya uchaguzi Tanzania @TumeUchaguziTZ imepoteza sifa za kusimamia uchaguzi huru na haki kutokana na mapungufu ya kikatiba yanayompa mamlaka Rais kuteua viongozi na watendaji wa tume hiyo. Kumbuka kwamba Rais anayeteua viongozi na watendaji wa tume pia ni kiongozi wa chama mojawapo...
Hii ni mpya kabisa, haijawahi tokea, inakuwaje kesi iendeshwe bila mtuhumiwa kuwepo? Only in my country!
---
Wakili Peter Madeleka anayemwakilisha Dk. Wilbord Slaa kwenye kesi Na.993 ya mwaka 2025 ya kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa X ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
Wakuu,
"Kwahiyo ukisoma Biblia yote na imeandikwa kabisa, hakuna nabii mkubwa kuliko Mussa lakini Mungu alimpumzisha akampa Joshua akamalizie kazi, kwahiyo hata sasa tunaye Freeman Mbowe amefanya kazi kubwa sana, ni kama Mussa amewatoa wana wa Israel sasa tuko jangwani, tunataka kutoka hapa...
"Leo naota jua tangu wamenikamata, hawa watu wananitesa sana." Kauli ya Mdude Mpaluka Nyagali baada ya kuachiwa kwa dhamana.
"Walinigonga (kumpiga) mpaka wenyewe wakasema tumemzidishia dozi, wakaanza kuambiana 'atakata moto'." Mdude Mpaluka Nyagali
PIA SOMA
- LGE2024 - Polisi wasema kuna...
Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo cha Polisi Kati Dar Es Salaam na Vwawa Songwe.
Mdude Nyagali alikamatwa na Jeshi la Polisi Novemba...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi huwa sipendi unafiki wala kumfariji mtu wala kuzunguka zunguka.Mimi huwa nasema ukweli hata kama ni Mchungu kwako.
Binafsi nimefarijika sana na Hatua ambazo Jeshi la Polisi limechukua za kuendelea Kumshikilia Mdude Nyagali kwa ajili ya kumhoji tuhuma mbalimbali juu...
Leo Jumatatu Desemba 2, 2024 Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya mawakili wa upande wa utetezi yaliyotolewa na mawakili Boniface Mwabukusi na Philip Mwakilima kwa madai kuwa kiapo kinzani hakijathibitisha kujeruhiwa na kushikiliwa kinyume cha sheria kwa...
Leo, ilikuwa siku ya kusomwa uamuzi wa kesi ya Habeas Corpus inayomhusu Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RCO Songwe na wenzake wawili.
Hata hivyo, kutokana na kuingiliana kwa usikilizwaji wa kesi nyingine ya mauaji, maandalizi ya hukumu ya shauri hili hayajakamilika.
Soma zaidi: Mdude amburuza...
Tangu mwanzo wanasiasa hawa walikuwa wakiongea maneno ya hovyo, kwenye mikutano ya TCD, mikutano ya kutoa maoni ya dira ya Taifa, mikutano yoyote yenye mikusanyiko ya watu, walikuwa wakitoa kauli za kibabe sana.
Mfano Boni Yai anawaambia wana chadema msinipigie simu nataka mtu akinipigia simu...
Wakuu
Kesi ya Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RPC wa Songwe imeahirishwa. Kesi hiyo, ambayo ilikuwa ikitarajiwa kusikilizwa leo tarehe 26 Novemba 2024, sasa imepangwa kusikilizwa tarehe 28 Novemba 2024 mbele ya Jaji Pomo katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mbeya.
Soma, Pia: Mdude...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.
Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili...
Imeelezwa kuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali Mdude anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe anatuhumiwa kutenda makosa matatu (3) ikiwemo kujeruhi, kutoa lugha ya matusi na kuvuruga ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
Hayo yameelezwa na...
Siasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
Ndugu zangu Watanzania,
Ikiwa tutaacha Taifa likajenga utamaduni wa watu wakatumia mitandao ya kijamii kuchafua viongozi wetu,kuwapaka matope, kuwadhalilisha, kuwatukana matusi bila kuchukuliwa hatua wala kukamatwa ili watoe ushahidi tutakuwa tunariharibu Taifa letu.tutakuwa tunaharibu maadili...
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
Mdude huwa akishapiga misokoto yake, akijiangalia kwenye kioo huwa anajiona amefikia ukubwa wa tembo au ana meno makali kama ya simba.
Nilitarajia nimuone pale Mbeya ofisi ya RPC akilianzisha. Taarifa zilizopo ni kwamba anachati akiwa uvunguni mwa kitanda chake.
Huyu ni simba wa kuchongwa kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja...
Ndugu zangu Watanzania,
Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.