Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.
Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende.
Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika...
Wahenga walisema “Muungwana akivuliwa nguo huchutama” na “asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.“
Tarehe 01 Julai 2021 Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) akiwa katika kongamano la kudai katiba mpya alitoa matamshi yasiyokuwa na staha yenye kuleta ukakasi na kichefuchefu kwa kila anayeyasikia...
Habari zenu ndugu zangu,
Wakuu wenzangu, wakati Rais Samia anaingia madarakani wengi tulimshauri aache kufanya maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya watu ndani ya mitandao ya kijamii. Kama ilivyo kawaida ya ushauri ni mshauriwa kufuata au kuacha kufuata anachoshauriwa.
Raisi akaamua kupuuza...
Nimefuatilia malalamiko na mijadala mingi kuhusu ujio wa 'lugha za Mdude' kwa watawala. Tujifunze kidogo kuvaa viatu vya watu wengine ata kama havitutoshi.
Mdude ni muhanga wa utawala katili kuliko tawala zote tangu uhuru. Amepewa kesi ya kubambika kama iliyothibitika hivyo kwa maandishi ya...
Kwanza, Alloyce Nyanda kwa nafasi yake katika jamii apaswi kuwa mtu wakuhubir au hata kujaribu kuutukuza ukabila. Yeye Sasa ameshakuwa zao la jamii.
Pili, kauli ya Mdude nyangali kwamba Atatumia Wembe uleule aliotumia kumnyoa mtanguliz wa Rais aliyepo kumnyoa aliyepo ni kauli thabiti na ambayo...
DEMOKRASIA HAIWAFAI WATU AINA YA MDUDE CHADEMA
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Mwaka juzi niliandika makala moja iliyokuwa ikimuonya na kumrekebisha Mwanaharakati na mwana chama wa Chadema, Ndugu Mdude Chadema kuwa ukosoaji wake haufai kwani anatumia lugha chafu zilizochanganyika na matusi...
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.
Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya...
Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za nchi na watu waliomzidi umri.
Kauli ya Mdude kwa Rais si tu ni ya kishenzi isiyopaswa kuvumiliwa...
Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu.
Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba.
Hawa CCM...
Wanabodi,
Lazima tuwe watu wapya, watu wapya wenye maono mapya, watu wapya wenye mtazamo mpya, watu wapya walio na hamu mpya ya usawa, haki na ujumuishaji, watu wapya wanaobeba Mwenge wa Tanzania mpya, ambayo haki na uhuru kwa wananchi unaheshimiwa na kulindwa tusikubali kuogozwa na wahuni...
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?
Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week...
Leo katika mkutano wao wa katiba ambao Ndg. Mbowe ameendelea kudhihirisha ukaidi alionao kwa mamlaka za nchi ya "kijamaa" ndugu yetu mdude nyagali ametushangaza.
Mdude nyagali amenishangaza vipi?
Tabia inayoota mizizi hapa nchini.
Mdude nyagali alitoa ishara ya saluti kwa meza kuu pale...
1. Waliohusika kumkamata wafunguliwe mashtaka.
2. Waliomtesa wafunguliwe mashtaka.
Tatizo kubwa la Watanzani wengi wana short term vision. Tayari wamesharidhika. Mdude asaidiwe waliomtendea huyo Unyama wote wafunguliwe mashtaka. Wasiachwe hivi hivi. Ili next time wanapotakwa kufanya huo unyama...
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.
Mdude...
Mungu wa Ibrahimu, Isaack, Yakobo hata Yusufu, asubuhi leo nasogea mbele ya kiti chako kwa unyenyekevu, lakini kabla ya kusogea mahali patakatifu pako naomba kutibu maovu yangu ya kuwaza, kuona, kutamani, kusikia, kunena kwangu na kuonja kwangu kinyume na mapenzi yako.
Mungu wangu ni Mungu mkuu...
Mdude Nyagali ambaye ni Mkulima duni wa Jembe la Mkono kutoka Mlowo Mbozi , ameingia kwenye vitabu vya maajabu ya dunia kwa kushitakiwa kwa makosa mazito ya kusafirisha madawa ya Kulevya kutokea Pakistan kuja Tanzania na kuyasambaza bila kuwa na hati ya kusafiria (PASSPORT).
Bado tunaendelea...
Mahakama inapanga tarehe ya kusoma hukumu ya mtuhumiwa, tarehe inafika na mtuhumiwa anafika mahakamani the mahakama inadai hukumu haijakamilika na mtuhumiwa kurejeshwa rumande kwa zaidi ya siku 14.
Hakimu Kama huyu analipwa pesa na serikali na hakuna sehemu utasikia viongozi wake wakilalamika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.