Habari wadau!
Leo nimevaa viatu vya baba yake Sabaya nikaona havinitoshi nikajaribu vya mdudu ndio kabisa.
Kama una mtoto unajua vipi mtoto anavyouma, tuwaombee vijana wenzetu wapate haki wanayostahiri.
Najua wengi wata comment ujinga kutokana na mlengo wao wa kisiasa.
Bado tunawaitaji hawa...
Leo Juni 14,2021 ni siku ya Hukumu ya Mpaluka Nyagali Mdude (32) kwa jina maarufu Mdude CHADEMA.
Namuombea Mdude, Hakimu atakaye soma hukumu Mwenyezi Mungu ampe Hekima kama ya Mfalme Suleiman.
Awali Upande wa mashtaka umemuondolea kada wa chadema, mdude nyagali shtaka la uhujumu uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.