meli

Meli is an Italian surname and a given name. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    Bandari ya Mtwara imepokea meli iliyobeba viuatilifu maarufu kama salpha tani 9,202

    Bandari ya Mtwara mkoani Mtwara, imepokea meli ya kwanza kati ya nne ambazo zinatarajiwa kuleta viuatilifu kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa zao la korosho nchini, kwa msimu wa mwaka 2025/2026. Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa Bandari Ferdinand Nyath, amesema meli hiyo imewasili...
  2. Roving Journalist

    TASHICO: Ni kweli huduma za Meli ya MV Victoria zimesimama kwa ajili ya service ya kawaida

    Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu kusimama kwa huduma ya Meli ya MV Victoria, ufafanuzi umetolewa, kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Nimekosa huduma ya Meli ya MV. Victoria, inadaiwa haifanyi kazi wiki ya pili sasa, Mamlaka mbona mpo kimya? MAELEZO YA KAMPUNI YA MELI...
  3. JanguKamaJangu

    DOKEZO Nimekosa huduma ya Meli ya MV. Victoria, inadaiwa haifanyi kazi wiki ya pili sasa, Mamlaka mbona mpo kimya?

    Kuna taarifa ya kuwa Meli ya MV. Victoria imesitisha kufanya safari kwa takribani wiki mbili sasa, hiyo ni baada ya kupata hitilafu kwenye mfumo wa uendeshaji lakini mamlaka inayohusika ya Tanzania Shipping Company Ltd (TASHICO) imekuwa kimya. Ni kweli kuhusu taarifa hizi? Maana inadaiwa kuna...
  4. T

    KAZI zote/ fani zote upatikana kwenye meli za watalii omba

    Meli ni sawa na Dunia inayoelea majini mwaka mzima masaa 24 yenye watu zaidi ya elf 10 sawa na uwanja wa mpira na wote wanahitaji huduma za kila siku. Kazi ndani ya meli za utalii (cruise ships) ni nyingi na zinahusisha maeneo mbalimbali ya utumishi, uendeshaji, na usimamizi wa meli. Baadhi ya...
  5. X

    Meli vita za China zinafanya mazoezi halisi ya moto katika pwani ya Australia. Serikali ya Australia ijifunze yaliyoikuta Ukraine

    Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani. Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania? Chinese exercises 150km from Sydney Ikumbukwe kuwa...
  6. Ojuolegbha

    Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli

    Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imeongezeka kutoka meli 1,547 mwaka 2020 hadi meli 4,487 mwaka 2024. Pakua Samia App...
  7. I

    Baharia wa kitanzania ajinyonga kwenye meli nchini Uholanzi.

    Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga. Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro...
  8. Ojuolegbha

    Meli ya Kitalii ya Ledumont D'urville yaweka Nanga Kilwa

    Meli ya Kitalii ya Ledumont D'urville yaweka Nanga Kilwa Februari 3, 2025 Meli ya kifahari ya Ledumont D'urville ikiwa na watalii 146 kutoka nchi za Marekani, Uingereza, Australia, Ufaransa, na Italia waliofika na kutembelea hifadhi na fukwe ya kihistoria ya Kilwa Kisiwani. Hii ni meli ya tatu...
  9. B

    Meli imeshusha mzigo, imeelekea Mombasa na kushusha na sasa imeishafika india! Siku 11, bado mzigo haujatoka bandarini, kisa mfumo wa TRA

    Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini? Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya...
  10. Ritz

    Yemen itaachia meli ya Israel Galaxy Leader pamoja na wafanyakazi wake baada ya Hamas kuwaombea.

    Wanaukumbi. ⚡️🇾🇪BREAKING: Yemen itaachia meli ya Israel Galaxy Leader. Katika taarifa ya Ansarallah "Houthis" VP ya vyombo vya habari: “Kwa ombi la ndugu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hamas na kupitia kwa ndugu zetu katika Usultani wa Oman, wafanyakazi wa meli ya Israel, ambao...
  11. Webabu

    Marekani yarudisha mapigo baada ya meli yake kushambuliwa

    Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa. Shambulia hilo la Marekani maeneo ya Al-Azraqeen kama ilivyothibitishwa na televisheni ya Houth ya ALmasira ni...
  12. Mejasoko

    Mashujaa wa Meli ya Titanic

    Wakati meli ya Titanic inazama ilikua imembeba Billionare John Jacob Astor IV, Pesa aliyokua nayo alikua ana uwezo wa kujenga Meli zaidi ya 30 kama hiyo ya Titanic, Titanic ilijengwa kwa mwaka 1912 kwa $7.5 million ambayo kwa sasa ni sawa na $ 400 million ambayo ni sawa na Tsh...
  13. Damaso

    Meli ya MV Serengeti yazama upande

    Meli ya MV Serengeti iliyokuwa imefungwa katika gati ya bandari ya Mwanza Kusini imezama upande mmoja wa nyuma majini usiku wa kuamkia leo Desemba 27, 2024. Taarifa hiyo imetolewa na Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO)na kueleza kuwa MV Serengeti ilisimama kufanya safari zake mwaka 2016 wakati...
  14. BabaMorgan

    Kwa mujibu wa data, meli ya HOEGH AURORA(vehicles carrier) ndio meli inayobeba magari mengi takribani magari 9100

    Let's say hii meli ndio imekuja bongo na mzigo wote inabidi ushuke Bandari ya Dar es salaam yaani TPA na mdau wake DP world watabaki Wanaumiza vichwa eneo la kupaki magari yote 9100 katika good condition na kuhakikisha hawachanganyi chochote kwa maana ya rekodi za vitabu na mzigo physically.
  15. Allen Kilewella

    Yanga jifunzeni Kwa meli ya Titanic. Mungu huchukia maapizo.

    Wakati meli ya Titanic inazinduliwa, walioijenga walisema kuwa ile meli haitazama Kamwe (unsinkable) Historia inaonesha kila aliyepanda ile meli alikuwa na Imani nayo kubwa Sana kuwa haitazama. Lakini mwisho wa siku ilizama na kuua watu kadhaa. Yanga nao mpaka wakatuga na wimbo kabisa kuwa...
  16. Pfizer

    Bandari ya Tanga sasa inashughulikia meli kubwa baada ya uwekezaji wa Tsh 429.1 Bilioni

    Tanga. Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni. Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 1914 ili kukidhi mahitaji ya kibiashara na kilimo kaskazini mwa Tanzania. Bandari hii...
  17. Metronidazole 400mg

    Vifo vya ajali ya meli Congo vyafikia watu 78

    Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana. Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka...
  18. Webabu

    Meli ya kivita ya Marekani imepata athari mbaya.Uchunguzi unaendelea

    Meli moja ya kivita iitwayo USNS Big Horn imeharibika kama ambavyo inadaiwa picha zimekuwa zikirushwa mitandao kuifanya Marekani ianze kutoa taarifa ya tukio hilo. Meli hiyo imepata athari kama hiyo karibu na eneo la bahari ya Oman .Hata hivyo mabaharia wa meli hiyo wako salama ingawaje...
  19. ndege JOHN

    Meli kupeperusha bendera ya nchi nyingine

    Naombeni kujuzwa hili jambo kuhusu meli kupeperusha bendeea ya nchi nyingine kwa mfano meli inafanya safari bahari ya hindi lakini unakuta ina peperusha bendera ya venezuela.hii imekaaje je ile bendera ni nchi iliyotengenezwa au mmiliki ni wa huko..na hata ikiwa tuseme imesajiliwa huko inakuaje...
  20. Webabu

    Iran na Uturuki kuunda meli ya kubebea droni kuzipiku meli za kubebea ndege za kivita za Marekani, Urusi na China

    Mataifa ya Uturuki na Iran yapo mbioni kutengeneza meli kubwa za kijeshi zitakazobeba droni kushambulia adui badala ya zile meli zilizozoeleka na zinazohofiwa ambazo huwa zinabeba ndege za kijeshi kama vile F-16 na F 35. Tofauti na meli za kubebea ndege za kivita,meli hizo zao la ubunifu wa...
Back
Top Bottom