Lamu port will receive the third vessel this week from CMA CGM as three shipping lines position themselves to start handling freight by transporting cargo handling equipment to the facility.
The first CMA CGM vessel to make a maiden call will dock in Lamu on July 4 from the former Soviet Union...
15 June 2021
Mwanza, Tanzania
Rais Samia anashuhudia utiaji saini mikataba 5 ya ujenzi na ukarabati wa meli Shilingi Bilioni 417.
Rais Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji saini mikataba 4 ya ujenzi wa meli mpya na mmoja wa ukarabati wa meli . Mheshimiwa Rais amefarijika kuona kazi inaendelea...
Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana.
Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali...
Bado hakuna habari rasmi toka serikali ya Iran.
Huu ni mwendelezo wa matukio ya kuungua kushambuliwa ya mara kwa mara kwa Iran. Huenda Israel ikahusika kulipua meli hii kubwa ya kijeshi. DW inasema meli hiyo imezama kabisa
Chanzo cha habari DW kiswahili.
🎥 Telegraph
=====
Meli kubwa kabisa...
Huduma zimesimama ili kuruhusu zoezi la maboresho kufanyika. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema Mei 03, 2021 Meli hiyo ya Abiria na Mizigo ilipata changamoto ya kupigwa mawimbi makubwa katika Bandari ya Matema kuelekea Bandari ya Mbamba Bay
Hatua hiyo ya maboresho inazingatia umuhimu wa...
Mwenye meli aliwatelekeza mabaharia hao tisa na kukataa kuwalipa mishahara yao. Mabaharia hao kutoka Syria wamekwama katika bandari ya Mombasa kwa muda wa mwaka moja na miezi tisa.
Mahakama ya Kenya imewaruhusu kuuza meli hio na kujilipa mishahara ambayo mwenye meli alikataa kuwalipa. Meli hio...
Mabibi na mabwana kutokea Afrika Kusini, kuna habari za meli kuwasili huko ikiwa na mzigo wa hatari na wa kutosha kutokea India:
https://www.enca.com/news/vessel-india-docked-durban-crew-tests-positive-covid-19
Huu umewasili kwenye meli. Tena bila shaka kabla ya kutoka India walipimwa dhidi...
3 May 2021
Matema Beach,
Tanzania
MELI ZA TANZANIA ZAKUMBWA NA DHORUBA KALI KTK ZIWA NYASA
Kutoka Ziwa Nyasa meli mbili zinazomilikiwa na Mamlaka ya Bandari ya Tanzania zimekumbana na dhoruba kali inayoambatana na mvua kubwa.
Meli ya abiria MV Mbeya II imepigwa na mawimbi makali jioni hii...
Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar.
Sasa vipi...
Heshima kwenu wakuu sana!
Niliwahi sikia kuna meli zilizo na shehena ya mafuta ya kupikia zimeingia na siku si nyingi bei ya mafuta ya kupikia itashuka kwa maana ya kurudi kama ilivyokuwa mwanzo. Baada ya kusubiri kwa miezi karibia miwili leo nimeenda kununua mafuta na cha ajabu bei imepanda...
Mh. Tundu Lissu kwi,kwi, kwi kwi ,kwi, kwi.
Mabadiliko ni lazima hata Ombeni Sefue alibadilishwa fasta;
Vyeo sasa vinaanza kusambaa nchi nzima, kanda ya ziwa hehehehe, huhuhu.
Jana usiku nlikuwa napitia taarifa kadhaa wa kadhaa mtandaoni, nikakutana na taarifa moja kwambe meli kubwa ya Evergreen iliyokwama pale Suez Canal imeanza kuelea, nikapitia habari kadhaa nipo nikakutana na hivi vitaharifa vya watu ambavyo watu huviwekea mhemko wa hisia tofauti.
Coincidence...
Shughuli ya kuondoa meli kubwa ya mizigo iliyokwama katika mfereji wa Suez nchini Misri na kuziba njia kwa vyombo vingine vya maji kupita imeingia siku ya tatu hii leo bila mafanikio yoyote.
Jitihada za kugeuza meli yenye uzito wa tani 220,000 na urefu wa mita 400 iliyopewa jina Ever Given...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.