meli

Meli is an Italian surname and a given name. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Ritz

    Meli ya mafuta ya Ugiriki yakiuka marufuku ya kusafiri kwa bandari za Israel yalipuliwa.

    Wanaukumbi. Ansar Allah ya Yemen AILIPUA meli ya mafuta ya Ugiriki katika Bahari Nyekundu kwa kukiuka marufuku ya kusafiri kwenda bandari za Israel. Yemen wamesema wazii kabisa hawataki kuona Meli yeyote ikipita red sea kupeleka bidhaa zozote Israel kwa wauaji wa Watoto wa Gazza...
  2. J

    Meli mbili za ufilipino na china zagongana Manila watajwa kuhusika

    Meli zinazopeperusha bendera za China na Ufilipino zimegongana leo Jumatatu, Agosti 19, 2024 karibu na mwamba unaogombaniwa katika Bahari ya Kusini ya China. Kulingana na vyombo vya habari vya Serikali ya Beijing, China inaishutumu Manila kwa kusababisha ajali hiyo kwa makusudi. Msemaji wa...
  3. Webabu

    Wahuthi wazifikia meli zinazowakimbia.Waanza kupiga ndani ya bahari ya Mediteranean

    Mashirika mengi makubwa ya kusafirisha mizigo zimeacha kutumia njia ya bahari ya mkato kupitia bahari nyekundu na Suez kutokana na mashambulizi ya wanamgambo wa Houth walioahidi kuzipiga meli zinazoelekea au kutoka Israel wakiwa na lengo la kuwasaidia watu wa Gaza. Meli hizo imebidi zipite...
  4. H

    SoC04 Taifa ni kama meli

    Aaah jamani humu nyote muwazima haya mm Nina mchango kidogo kwenye sekta ya vyombo vya baharini kama tunataka nchi yetu ifikie maendeleo kwa haraka, kwanza Jambo la mwanzo la kufanya ni kuwa na mashirikiano mema Kati yetu raia pamoja na vyombo vya usalama wa baharini kwa sababu tukienda kinyume...
  5. Webabu

    Huku meli ya kivita ya Eisenhower ikirudi nyumbani,Houth kwa kushirikiana na wenzao wa Iraq waipiga meli nyengine bila upinzani

    Meli ya kivita kubwa ya Marekani pamoja na kikundi chake inarudi nyumbani baada ya miezi 8 ya kupambana na HOuth ndani ya bahari ya Red Sea.Nafasi yake itachukuliwa na meli nyengine ya USS Theodore Roosevet Japo Houth wametangaza kuwa walifanikiwa kuijeruhi meli hiyo lakini wasemaji wa jeshi la...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Ndege yapata ajali baharini offshore

    Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.
  7. Webabu

    Mabaharia wote wahamishwa kutoka meli iliyopigwa na Houthi

    Mabaharia wote waliokuwa kwenye MV Tutor iliyopigwa na Houth hapo juzi na kusababisha tobo kubwa pamoja na moto wameondolewa kwenye meli hiyo ambayo imeanza kunywa maji. Awali baharia mmoja alipotea baada ya shambulio hilo wakati ambapo meli za kivita za Marekani zilijaribu kuzima moto...
  8. Sir John Roberts

    Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

    Kwa hali inavyoendelea Ukraine inaenda kufanywa kifusi muda si mrefu. Nadhani NATO wangemshauri Zelensky aachane na hii vita.
  9. R

    Meli zinachukua zaidi ya wiki 3 kushusha mizigo

    Habari watanzania, Naomba kujua kama uwekezaji wa DP world bandari umeongeza speed ya ufanisi kazi au ndio kwanza mambo yamekuwa taratibu. Nime experinece kutoa container mbili. Meli nyingii sasa zinachukua zaidi ya wiki 3 naa mpaka kufunga na kushusha Mizigo. Wakati zamani ilikuwa ndani ya...
  10. SweetyCandy

    Kenya na bus lao ambalo lipo kama meli

    MMeona wenzenu hawaangaiki na robot ambaye hajui lugha hadi awekewe google translate. Gari Limetua ziwa victoria mmekuja onyeshwa akiri ni mari. HIvi ndivyo vitu hadìmu mkiona kuna mafuriko linaelea kama meli juu ya maji sio mwendo kazi wenu siku ya mvua na haiendi mwaka mzima akili kila mtu...
  11. Kurunzi

    Nilinusurika Kifo Baada ya Kuzama kwa Meli ya Titanic”

    ILIANZA nikiwatembelea wazazi na mjomba wangu wazee huko Jacksonville, Florida. Hii ilikuwa muda mfupi kabla ya mjomba wangu kufariki miezi michache iliyopita. Kama kawaida, tulienda kwenye Ibada ya Mashahidi wa Yehova siku ya Jumapili na kusikiliza hotuba iliyotolewa yenye Kichwa “Je...
  12. ndege JOHN

    Meli hujengwaje?

    Kuunda boat ndogo ni rahisi utengeneza body , unaweka injini na vifaa vingine vya elektroniki, na inaweza kwenda kwenye trela ili kusafirishwa popote. Mchakato wote unaweza kudumu kwa miezi kadhaa. Lakini vipi kuhusu jambo kubwa zaidi, tufanye meli ya mizigo yenye urefu wa zaidi ya mita 200...
  13. BARD AI

    Prof. Mukandala: Meli ya MV Bukoba ilifanya kazi Tanzania kwa miaka 17 bila kusajiliwa na haikupaswa kuletwa nchini

    Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amezitaja sababu mbalimbali zilizosababisha kuzama kwa meli ya Mv Bukoba kwa kurejea maandiko, hotuba, tafiti, hukumu za kesi zilizohusu sakata hilo. Profesa Mukandala ameyasema hayo leo Jumanne Mei 21...
  14. Dalton elijah

    Meli ya MV. Clarias yazama ikiwa Bandarini

    Meli ya MV. Clarias iliyokuwa kwenye maegesho ya bandari ya Mwanza Kaskazini imekutwa imepinduka na kuzama majini katika Ziwa Victoria asubuhi ya leo Mei 19, 2024, huku chanzo cha kuzama kwa meli hiyo kikiwa bado hakijafahamika. Meli hiyo ambayo hivi karibu ilikuwa kwenye matengenezo bandari ya...
  15. Webabu

    Spain yazuia meli ya silaha zinazokwenda Israel kutia nanga nchini mwake.

    Hapo majuzi taifa la Spain liliizuia meli iitwayo Marianne Danica kutia nanga kwenye moja ya bandari zake kwa vile ilikuwa imebeba tani 26.8 ya silaha za miripuko kupeleka Israel. Meli hiyo ilikuwa ikitokea India na iliomba kutia nanga kwenye bandari ya Cartagena mnamo Mei 26. Waziri wa mambo ya...
  16. Kaka yake shetani

    China wazindua meli kubwa inayotumia umeme kujiendesha

    Kampuni ya COSCO Shipping, ambayo ni mali ya serikali ya China, imeanzisha meli kubwa zaidi inayoitwa Green Water 01. Meli hii kubwa, yenye uzito wa zaidi ya tani 10,000, inafanya kazi kwa kutumia umeme pekee. Ina urefu wa mita 119.8, upana wa mita 23.6, na kina cha mita 9. Inaweza kutembe...
  17. Sir John Roberts

    Yemen watangaza Kufunga Mediterranean Sea kwa meli yeyote inayoelekea Israel

    Hii ndo habari mpasuko kwa wale jamaa zetu wa Houth kutoka Yemen baada ya kufanikiwa kwa zaidi ya 100% kufunga bahari nyekundu (red sea) kwa meli kuelekea Israel sasa wamekuja na operation mpya. Safari hii wamesema meli zote bila kujali ni ya nchi gani ni marufuku kupita Mediterranean Sea...
  18. green rajab

    Iran imeteka meli ya Israel ikiwa na shehena ya mizigo

    Meli ya mizigo ikiwa na shehena ya container imekamatawa nakuchukuliwa na Iran kama ile Tank ya US yenye mafuta wizi toka Mashariki ya kati Tehran, Iran – Iranian armed forces have seized a container ship near the Strait of Hormuz amid rising tensions across the region after a deadly Israeli...
  19. MK254

    Marekani yasogeza meli za kivita na kuziweka mkao wa tayari kuichakaza Iran

    Iran imetafutwa siku nyingi na raundi hii naona inaingia yenyewe kichwa kichwa kwenye ndoano..... The U.S. rushed warships into position to protect Israel and American forces in the region, hoping to head off a direct attack from Iran on Israel that could come as soon as this weekend. The...
Back
Top Bottom