meli

Meli is an Italian surname and a given name. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15

    MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15 Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka. Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
  2. O

    JamiiForums Tanzania MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15

    MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15 Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka. Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha usafirishaji wa Parachichi Nje ya nchi kwa Meli. Yatoa masharti mapya kwa Wafanyabiashara wa Maembe

    Mamlaka ya Kilimo na Chakula nchini Kenya (AFA) imetangaza kusitishwa kwa usafirishaji wa parachichi kwenda katika masoko ya kimataifa kwa njia ya bahari kuanzia Ijumaa, Oktoba 30, 2026, huku ikiweka masharti mapya kwa wafanyabiashara wanaosafirisha maembe nje ya nchi. Katika taarifa...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Fedha ujenzi wa meli abiria 600 zatafunwa fedha ujenzi wa meli abiria 600 zatafunwa,mradi wakwama Kigoma

    FEDHA UJENZI WA MELI ABIRIA 600 ZATAFUNWA,MRADI WAKWAMA KIGOMA Mradi mkubwa wa Meli ya abiria 600 iliyokuwa imekusudiwa kujengwa mkoani Kigoma umekwama kutokana na fedha za awali (advance) zilizokuwa zimetolewa na serikali ili kuanza ujenzi zimetafunwa. Mradi wa meli hiyo ambayo ujenzi wake...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wana habari na wasanii wamechangia kutufikisha hapa! Mtazama na Meli Tanzania

    Wana habari na wasanii wamechangia kutufikisha hapa! Mtazama na Meli Tanzania. Wanahabari wamebaki kuwa machawa na wasanii badala ya kufikiria kukuza biashara wanafikiria kuwa machawa.
  7. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuunda na kununua meli zetu kama ilivyo kwenye ndege

    Kama ilivyo kwa AIR TANZANIA sasa ni muda muafakq wa kuunda na kununua meli kubwa za mizigo ili kurahisisha utoaji wa mizigo nchini kuelekea nchi za nje. Shipping line hii imilikiwe na serikali na tuache woga wa kufanya hivyo. Tukajifunze IRAN,CHINA ,INDIA N.K....
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sh 219.3 Milioni zalipwa kuikomboa meli ya mbolea ya Kenya kutoka kwa Maharamia Somalia

    Takribani Sh219.3 milioni zinaripotiwa kulipwa kama fidia ili kuikomboa meli iliyokuwa imebeba mbolea kuelekea Kenya, baada ya kutekwa na maharamia katika pwani ya Somalia kwa zaidi ya miezi minne. Meli hiyo, MV Sward, ilitekwa Aprili 26, 2026 ikiwa njiani kuelekea Mombasa. EU Naval Force...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Meli za Mafuta za Iran kushambuliwa na Marekani Iran yatoa ONYO tena kwa Marekani

    Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Iran ilionya kwamba shambulio lolote dhidi ya meli za mafuta za Iran lingesababisha mashambulizi dhidi ya kambi za Marekani kote katika eneo hilo, huku meli 3 za mafuta za Iran zikipigwa risasi karibu na pwani ya kusini ya Iran, karibu na Kisiwa cha Kharg na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Meli ya Tanzania inawaka moto! Captain hajitambui! Wote tunaenda majini

    Captain wa meli yetu anasema yeye ndiyo captain! Sawa lakini angetakiwa kujikita kuokoa meli yeye bado anafukuza watu ndani ya meli na kulaumu abiria wakati moto unawaka kwenye meli na bila kuuzima wote watateketea
  11. JamiiForums Tanzania Hivi inawezakana vipi meli kongwe MV liemba kukarabitiwa kwa Billion 34 si mngenunua mpya?,aibu hiii

    Aisee ni aibu zaidi ya aibu.Hii nchi alafu msigwa anajisifia kabisa
  12. JamiiForums Tanzania Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

    Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini? Leo ni siku 106 tangu izinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Serikali inapata faida gani kuzindua meli za wachina, wachimbaji na kusema za kwetu, Jin hang Vessel

    Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina la Jin hang, na zitakuwa zikichukua makaa ya mawe kutoka bongo kwenda kwenye migodi yao mikubwa, na...
  14. JamiiForums Tanzania Meli yenye Kupeperusha Bendera ya Tanzania yalipuliwa na Russia

    Meli yenye bendera ya Tanzania imelipuliwa na Jeshi la Russia huko kwenye Bahari Nyeusi. Russia wanadai meli hiyoilikuwa inatumika kusaidia Ukraine. Ni vizuri serikali yetu ikatoa majibu ya kina kuhusu ili tukio. Hasa ukizingatia ya kuwa tuna mahusiano mazuri na Russia na juzi tuu viongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Meli kubwa zaidi ya LNG yaweka rekodi mpya duniani

    Meli kubwa ya makontena duniani inayotumia gesi ya LNG, CMA CGM NOTRE DAME, imeandika historia baada ya kufanyiwa kwa mara ya kwanza ujazaji wa mafuta ya Bio-LNG katika Bandari ya Rotterdam, Uholanzi. Bio-LNG ni aina ya mafuta yanayotengenezwa kutoka kwenye taka za kilimo na mabaki ya viumbe...
  16. JamiiForums Tanzania Usafirishaji mpya wa madawa ya kulevya bila meli kujua inasafirisha madawa.

    Kila siku mbinu mpya zinabuniwa ili mradi madawa ya kulevya kufika duniani kote. Kuna mbinu mpya ambayo meli za mizigo zimejikuta zikisafirisha madawa bila kujua . Kinachofanyika ni kwamba wanatumia wale diver Meli wakati hipo bandarini au zikiwa zimepark.diver wanazama na vifaa maalumu na...
  17. JamiiForums Tanzania IRGC yaionya Marekani dhidi ya mashambulizi dhidi ya meli zake uvumilivu umefika mwisho. Italipiza kisasi kwa nguvu kubwa.

    Wanaukumbi. TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
  18. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya mabeberu kutengeneza magonjwa Mungu anawaona. Panya kwenye meli ya kitalii wapi na wapi.

    Watu watatu wamefariki baada kushukiwa kuambukizwa virusi vya hantavirus katika meli moja ya kubeba abiria iliyokuwa ikisafiri katika bahari ya Atlantiki, hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa na shirika la afya duniani WHO. Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano...
  19. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Hanta virus unasambaa na kuendelea kuua watu kwenye meli ya kitalii

    Picha zilizopatikana na shirika la habari la Associated Press za meli ya kitalii iliyo katikati ya mlipuko wa virusi adimu zinaonyesha sitaha (decks) zilizo tupu na maeneo ya pamoja yasiyo na watu, timu za matibabu zikiwa na mavazi ya kujikinga, na mandhari tulivu mbele wakati meli hiyo na...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania Mumeona eti Meli ya Uvuvi Samia Suluhu aliyozindua? Ni Vichekesho 🤣🤣🤣

    Hivi huyu Bibi kweli anaitakia Mema Tanzania? Ile ni meli ya kuzinduliwa na Rais? 🤣🤣🤣 Yaani Tanzania ndo tujivunie ile Meli? Hii awamu inatia aibu hadi wamekosa vya kuzindua White Elephant.. Specification zake zinabaki kuwa mali ya Rais🤣🤣🤣 Dau lililozindua wakaliita meli.. Eti ni kijimeli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…