Ndiyo maana wengi huwaoni jukwaani.
Vijana utuuzima unamajukumu mengi saana. Unataka kulog-in JF mke anahitaji cuddling, watoto wanachezea simu yako kazini labda kwasababu ya umri wewe ndiye boss undocuments kibao za kumalizia.
Tusiwalaumu wanakosa muda wa kuingia. Nawajua members kadhaa ambao...