Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Ndiyo maana wengi huwaoni jukwaani.
Vijana utuuzima unamajukumu mengi saana. Unataka kulog-in JF mke anahitaji cuddling, watoto wanachezea simu yako kazini labda kwasababu ya umri wewe ndiye boss undocuments kibao za kumalizia.
Tusiwalaumu wanakosa muda wa kuingia. Nawajua members kadhaa ambao kwasasa wapo kwenye late 50...Hawa ni watu wazima.
Hapa nawazungumzia members waliojiunga miaka ya 2006-2013...kama mtu alikuwa na miaka 30 kwasasa atakuwa na 50 au zaidi.
Hata nyie baada ya miaka 10 ijayo wengi hamtaonekana humu....tunapokezana vijiti.