Members wengi wa zamani wa JF walijiunga wakiwa watu wazima kidogo

Members wengi wa zamani wa JF walijiunga wakiwa watu wazima kidogo

Vijana wana machache....

Unamajukumu sawa na ya baba yako? Wakati mimi ndiye nakuwekea ugali mezani!!
Watu hata kuandika kiswahili hawawezi,uje kufanya nini!?.. mwenyewe ntapotea baada miezi miwili
 
Ndiyo maana wengi huwaoni jukwaani.

Vijana utuuzima unamajukumu mengi saana. Unataka kulog-in JF mke anahitaji cuddling, watoto wanachezea simu yako.....kazini labda kwasababu ya umri wewe ndiye boss undocuments kibao za kumalizia.

Tusiwalaumu wanakosa muda wa kuingia. Nawajua members kadhaa ambao kwasasa wapo kwenye late 50...Hawa ni watu wazima.

Hapa nawazungumzia members waliojiunga miaka ya 2006-2013...kama mtu alikuwa na miaka 30 kwasasa atakuwa na 50 au zaidi.

Hata nyie baada ya miaka 10 ijayo wengi hamtaonekana humu....tunapokezana vijiti.
mbona kina mshana namshangazi.com wanajirusha tu humu? kazi hawana au
 
Ndiyo maana wengi huwaoni jukwaani.

Vijana utuuzima unamajukumu mengi saana. Unataka kulog-in JF mke anahitaji cuddling, watoto wanachezea simu yako.....kazini labda kwasababu ya umri wewe ndiye boss undocuments kibao za kumalizia.

Tusiwalaumu wanakosa muda wa kuingia. Nawajua members kadhaa ambao kwasasa wapo kwenye late 50...Hawa ni watu wazima.

Hapa nawazungumzia members waliojiunga miaka ya 2006-2013...kama mtu alikuwa na miaka 30 kwasasa atakuwa na 50 au zaidi.

Hata nyie baada ya miaka 10 ijayo wengi hamtaonekana humu....tunapokezana vijiti.
Mbona mimi na memba mwenzangu Pascal Mayalla sasa hi tuna turn 60÷ lakini tunapata wasaa wa kuingia humu mkuu?
 
Mm kuijua n 2011 Sasa n Nina miaka 32 ,na aliyenifanya nijiunge n bro wangu mmoja anapenda sana kusomaa soma ,NAMI pia napenda sana kusoma Sasa nikamuuliza akaniunga, now yy ana miaka 43 😄😄😄😄
 
Kazi na umri ukijumlisha na majukumu uwezi ukawa available muda mwingi.
 
Kweli tushakuwa vibibi na vibabu...ni hadithi na wajukuu tu.
 
Nikijiunga 2011 kabla sijabadili account ingine nilikua nikiingia nasomaga story tu za uchawa alikua anasimulia mshana 😀😀 hayo mambo mengine nilikua sielew mpka nilipopata faham
Hapa unaonekana umejiunga 2021, ina maana jf wengi wamebadili ID na usernames. Angalau hata hiyo 2011 ulikuwa umeshavunja ungo basi😅
 
Back
Top Bottom