meneja

  1. aka2030

    Tetesi: Sallam SK kutambulishwa kama Meneja wa Konde Gang Christmas

  2. K

    Kwanini scale za geologists kwa bongo ziko chini kuliko meneja wa vitengo?

    Wanabodi, nimefuatilia mambo ya migodini nikagundua geologist, engineer ambaye ana cheo kama geology manager, au Gelogy supervisor mshahara wao unakuwa wa kawaidi, mfano 9-10 Million/mwezi wakati Supervisor wa maendeleo ya jamii anakula hata million 14. Je hii ni kwanini au wana malipo ya ziada...
  3. J

    Meneja wa TARURA Wilaya ya Kilombero aondolewa

    MENEJA WA TARURA WILAYA YA KILOMBERO AONDOLEWA Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff amemuondoa kwenye majukumu yake aliyekuwa Meneja wa TARURA Wilaya ya Kilombero kwa kushindwa kusimamia kikamilifu miradi ikiwemo ujenzi wa Boksi Kalavati...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Meneja wa Simba Ahmed Ally hatukudai, huna baya

    Mtu anapofanya kazi vizuri apongezwe, mtu anapokosea akosolewe na kushauriwa. Mimi na wenzangu tunampongeza Meneja Ahmed Ally na wenzake. Kwa kweli wanafanya kazi nzuri, wanatendea haki mishahara na upenzi wao kwa Simba SC. Hawa wana Simba wameirudisha Simba SC kwa mashabiki. Kina Ahmed...
  5. J

    Karagwe: Waziri Aweso amsimamisha kazi Meneja wa RUWASA kwa kushindwa kusimamia miradi

    WAZIRI AWESO AMSIMAMISHA KAZI MENEJA WA RUWASA KARAGWE KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA MIRADI Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru kwa kushindwa kusimamia miradi ya Maji inayoendelea...
  6. B

    DOKEZO Wizi wa Fedha NHIF unaofanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma (Fidelis Shauritanga) na baadhi ya Watumishi

    Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
  7. A

    DOKEZO Wizi wa Fedha za NHIF unaofanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma na baadhi ya Watumishi

    Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
  8. Erythrocyte

    Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

    Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI. Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao...
  9. Lady Whistledown

    TUCTA yapinga kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa meneja wa TRC kanda ya Dar es Salaam

    Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni. Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga...
  10. sifi leo

    Tukubaliane gharama za Marketing Meneja wa Mitungi ya Gesi huyo January Makamba, zililipwa na Rostam?

    Nataka kujua marketing meneja wa Mitungi ya Gesi aliyeisamabaza mpka visiwani huko ukerewe na Ghana alilipwa na ROSTAM au serikali yetu? Mh Rais nchi hii ni ya kwetu jaman mbona Kuna matumizi hatuyaelewi sisi wengine jaman? Mbona tozo zimekuwa tozolo?jaman nchi hii na tozolo tunaelekea wapi jaman
  11. Kurunzi

    Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

    Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa. ===== Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa...
  12. Bikirajohola

    Meneja wa TRA Kigoma asimamishwa kazi

    Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi! Alichokifanya bwana Mwangosi alipofika Kigoma ni kuziba mianya yote ya...
  13. luangalila

    Hili la Haji Manara kushangaa Meneja wa mchezaji kutojua English ni UTUMWA wa kifikra

    Wadau wa Sports mwanzoni mwa Juma hili tulishuhudia Yanga Sc kumuongezea mkataba mpya mchezaji wake Farid Mussa, Kuliitishwa Press conference na msemaji wao Bw.Haji Sunday Manara, na katika press hiyo pia ilitamkwa au alitangazwa manager mpya wa mchezaji Farid Mussa, ajabu sasa ikaja ambapo...
  14. EINSTEIN112

    Meneja Mpya wa Harmonize Kajala Adaiwa Kumuondoa Mjerumani Konde Gang

    OGOPA mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama Paula kuwa C.E.O na meneja wake mpya, meneja mwingine wa jamaa huyo, Beauty Mmari almaarufu Mjerumani anadaiwa kufungasha virago. Katika ukurasa wake wa Instagram, Mjerumani...
  15. beth

    Meneja Afrika Mashariki: Bolt inaweza kusitisha huduma Tanzania

    Baada ya Kampuni ya Uber kusitisha baadhi ya huduma zake Nchini Tanzania, huenda Kampuni ya Bolt nayo ikafanya hivyo kwa upande wa Huduma za Usafiri wa Gari kutokana na ada ya huduma ya 15% iliyowekwa na LATRA Meneja wa Bolt Kanda ya Afrika Mashariki, Kenneth Micah amesema Kampuni hiyo imeomba...
  16. M

    Meneja wa kivuko cha Busisi anaibia abiria chenji zao akishirikiana na wakatisha tiketi. Prof Makame Mbarawa naomba umulike.

    Leo asubuhi nikitokea Sengerema nimeshuhdia hili. Nauli ya kivuko ni sh 400 ukitoa buku unarudishiwa sh 500 badala ya mia sita. Mkatisha tiketi anachenji kibao za mia tano miatano lakini mezani hana mia hata moj. Nimerudi jioni hii nimetoa buku mbili nimerudishiwa buku jero. Ina maana kila...
  17. GENTAMYCINE

    Simba SC ndiyo Klabu pekee nchini yenye Meneja Mawasiliano na Habari huku zingine zikiwa na Maafisa Habari na Wapayukaji tu

    Kama umekasirika na Unabisha haraka sana hapo ulipo nitafutie Klabu nyingine ukiiondoa ya Simba SC yenye Cheo cha Meneja Mawasiliano na Habari. Kuna Klabu moja ( ya Ligi Kuu ) siikumbuki Jina ila ninachokumbuka na kujua tu ni kwamba ina Maafisa Habari na Wapayukaji tena Wawili ambapo wakiwa...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Meneja Ahmed Ally afafanua Simba kufanya majaribio

    Anaandika Msemaji Mstaarabu Ahmed Ally katika kurasa ya Instagram Ni kweli tuna wachezaji watatu tunawafanyia majaribio Mashabiki wa Simba wamepata hofu kwanini timu yao na ukubwa wao wanafanya majaribio?? Kwanza kabla ya yote niwaambie tuu Wachezaji ambao sisi tunawafanyia majaribio wakienda...
  19. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC upesi sana 'Watimueni' Kocha Matola na Meneja Rweymamu Kikosini kwani 'Wanamhujumu' Kocha Kipenzi Pablo

    Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja na Rweymamu ni vibaya ila kwa Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE na tunaomjua Kocha Matola na Swahiba wake mkubwa Meneja Rweymamu wala...
  20. F

    Meneja KNCU asafiri kwa pikipiki toka Moshi hadi Shinyanga na kupata ajali

    Unaweza ukashangaa lakini huo ndiyo ukweli wenyewe. Meneja wa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro, Godfrey Massawe,hivi karibuni alisafiri kutoka Mjini Moshi kwenda Mkoani Tabora kwa shughuli za kichama akitumia usafiri wa pikipiki lengo likiwa ni kubana matumizi lakini kilichomtokea...
Back
Top Bottom