Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini.
Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado...
Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo.
Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila kukariri huwezi kujua kusoma na kuandika, bila kukariri huwezi kushika verbs, bila kukariri huwezi...
Nitakuwa Mpumbavu na siyo Mwanamichezo kama nisipowapongeza Watani zangu Yanga SC kwa Ushindi wao wa Kipigo dhidi yetu Simba SC wa Goli 1 la Nguruwe linalouma sana.
Vile vile nadhani Mightier nitakuwa ni Mwendawazimu kabisa kama nisipowapongeza Wachezaji wa Yanga SC kuanzia Yanick Litombo...
jemedarisaid ....imetimia misimu 4 kamili Yanga SC haina kikombe chochote cha maana.....
Nami Krav Maga nasema wasipoangalia wanaweza hata Kukosa tena Vikombe vyote kwa miaka 15 ijayo.
Waziri wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Usambazaji wa Maji vijijini (Ruwasa), Mhandisi Nevard Kihaka kwa kumdanganya na kumpa taarifa za uongo juu ya upatikanaji wa maji katika vizimba 14 Kati ya 16 jambo ambalo sio kweli.
Aweso amemsimamisha kazi jana...
Habari ya kazi! Pole na majukumu.Mi nina dukuduku ambalo linasumbua watu wengi hasa watu wanaohitaji huduma hasa mafao Ya Uzazi.
Tatizo lililopo ofisini kwako hapo ni kwamba kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa watumishi wa umma wanapokuwa wanafuatilia mafao yao hasa ya uzazi kuanzia kwenye upokeaji...
Wakuu, Manager wa Mwanamuziki DAVIDO aliyejulikana kama OBAMA na maarufu sana kwenye viunga vya Lagos nchini Nigeria amefariki ghafla baada ya moyo kusimama kushindwa kupumua..
Apumzike kwa Amani Mjuba OBAMa p
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi chama kiendelee. Kabla baadhi yenu hamjaanza kunisumbua kutaka nitoe maoni yangu kuhusu kushindwa kwa komredi Simba kwenye tuzo za BET, nimeona niyatoe mapema. Kama kawaida maoni yangu ndo yatakuwa msimamo wa JF. Soma kwa makini.
Kwanini kashinda...
Jemedari Said ( Meneja wa Kipa Metacha Mnata ) mwenye 'Matatizo' sasa na Klabu yake ya Yanga SC katika Mtu ambaye huwa sisahau, najua Kukariri haraka na natunza Kumbukumbu kwa 100% Ubongoni ni Mimi GENTAMYCINE hivyo kwa 'Uwongo' wako ulioutoa leo Redioni nimeanza rasmi 'Kukupuuza' nawe japo...
Japo ni 'Poti' wangu kabisa kutoka Mkoani Mara (Musoma) ila kwa hili na haya yanayokutokea sasa hapo Yanga SC Kipa Metacha Mnata wala sikuonei 'Huruma' kabisa kwani umeyataka Mwenyewe na tunaokupenda na Wanaokupenda tumekushauri vya kutosha na unatuona Mangumbaru (Wajinga) na Mapopoma...
Wadau wa JF
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Benki ya Dunia (World Bank) imefanya uteuzi wa Meneja wake Nchini Cambodia
Aliyeteuliwa ni Bi Maryamu Salim ambaye ni Mtanzania mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kwenye sekta ya fedha duniani
Kabla ya uteuzi huo Bi...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani asiishie kuwasimamisha kwa siku kumi tu Meneja wa TEHAMA wa TANESCO na Wasaidizi wake, bali wakae pembeni hadi hapo uchunguzi zaidi utakapokamilika.
Kitendo cha Tshabalala kuongeza mkataba wa kuitumikia Simba SC bila kumshirikisha meneja wake, Henry Mzozo, hakuna namna nyingine ya kukielezea zaidi ya kusema ni udhalilishaji wa hali ya juu wa mchezaji kwa meneja huyo.
Mzozo katika siku za hivi karibuni amekuwa akizungumza katika vyombo vya...
Naona wanaohangaika sana na hili suala ni baadhi ya wachambuzi na Mzozo. Nadhani kama Simba wanamuhitaji wataongeza wau wangemwongeza.
Sioni issue inakuaje kwa Mohammed Hussein aonekane bila yeye Simba haiwezi kwenda mbele? Nadhani wamwache tu aamue anachotaka, ana haki ya kwenda popote...
Binafsi namtakia kila la heri na namuomba Mwenyezi Mungu ampe Maisha marefu .
Huyu mtu mambo aliyoyatenda kwenye ule ulioitwa uchaguzi mkuu wa octoba 2020 nchini Tanzania yatakumbukwa Daima
WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kukuta wananchi hawapati maji kutokana na changamoto mbali mbali hali iliyopelekea kuchukua hatu ya kumsimamisha kazi Meneja wa mradi wa maji wa RUWASA Nevill D. Msaki.
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kushindwa kuisimamia ipasavyo menejimenti ya mamlaka hiyo kutimiza majukumu yake kwa ufanisi...
Nimepata bahati ya kuja masasi kula sikukuu ya xmass na nimepata bahati ya kuongea na watu tofauti tofauti hasa wafanyabiashara
Asilimia kubwa ya wafanyabiashara ambao tumekaa na kuongea nao malalamiko yao makubwa ni kutoka kwa Meneja wa TRA Masasi
Huyu jamaa anazorotesha sana biashara kwa...
Gati za pande zote mbili kwenye ardhi imekuwa ni kero ya muda mrefu sana kwa magari ya chini (saloon cars).
Hiki kivuko ukiwa unaingiza gari au ukiwa unashuka, ni lazima ukwangue bampa la mbele la gari. Hata uwe makini namna gani kukwepa, lazima uburuze bampa!
Mark X ya jamaa yangu ishawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.