Mtu anapofanya kazi vizuri apongezwe, mtu anapokosea akosolewe na kushauriwa.
Mimi na wenzangu tunampongeza Meneja Ahmed Ally na wenzake. Kwa kweli wanafanya kazi nzuri, wanatendea haki mishahara na upenzi wao kwa Simba SC. Hawa wana Simba wameirudisha Simba SC kwa mashabiki. Kina Ahmed...